Just in: UDSM wafukuzwa

University chiefs have told the House of Lords their institutions put £45bn into the UK economy and deserve continued strong investment.
In a debate, vice-chancellors have said universities are vital to the economy.

They said the sector supported 580,000 jobs and brought in £3.6bn income from international students alone. Universities are trying to secure funds from the summer spending review. Lady Warwick, the chief executive of Universities UK, which represents university vice-chancellors, acknowledged that finances had improved since the turn of the century.

But she said that universities still needed a good level of central funding despite the introduction of variable tuition fees. She said universities were at the forefront of tackling many of the UK's long-term challenges.

"Our world class research departments in both the social sciences and the sciences are essential to combating and understanding the threat of global conflict and terrorism. "With regard to our ageing population, higher education has a key role in equipping the UK workforce to be more productive for longer; and finally universities are at the forefront of the green agenda," she said.

'International envy'

In a speech to the Higher Education Funding Council for England (Hefce) on Wednesday, Education Secretary Alan Johnson said the country needed its world class higher education system more than ever.

"England's universities have always played a vital role in shaping our country's role in the world," he said. "They are a source of national pride and international envy." But England's historic eminence in higher education did not come with a life-time guarantee and hard work was needed to ensure the universities remained world class.

"If we don't, our economy will suffer and we will lose our share of the growing market of 100 million overseas students worldwide," he said. It was vital to press ahead with efforts to encourage children from poorer backgrounds to go to university and this had to start at a young age.

Mr Johnson also said efforts should also continue to develop new ways of delivering higher education, with more virtual institutions.

Story from BBC NEWS:
http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/1/hi/education/6571371.stm

Only foolish leaders do not invest in education heavily!
 
Kama zilitolewa 111.3bn/= kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi, basi mahesabu yako hivi: Ukizigawa kwa wanafunzi elfu 40, kila mmoja anapata karibu shilingi milioni 3 (2,782,555/= to be exact). Kama unazigawa kwa wanafunzi elfu 30, kila mmoja anapata karibu shilingi milioni 4 (3,710,000/= to be exact).

Hii mikopo ni kwa ajili ya wanafunzi wangapi? Kila mmoja alipata kiasi gani? Au hizi fedha zinaliwa wizarani?

Augustine Moshi
 
augistine
nnakuoa tano nna wasi wasi na wizara husika kuhusu hu ulaji wa pesa.

kwanza wanafunzi wanapojaza fomu za mikopo hawatakiwi kujaza figure wanazokopa, sasa kwa nini baadhi ya wanafunzi wanahoji reason behind????????

mie nna wasi wasi kuwa hizi pesa kuna wajanja wanaziramba na kukata cha juu huko kwa huko
 
Mtumwitu,

Una uhakika kuwa wanafunzi hawatakiwi kujaza figure wanazokopa katika form za mikopo?
 
Vijana wasiwe na wasiwasi..kwani LOWASA amesema "elimu ya vyuo vya juu itatolewa bure siku hali ya uchumi itakapotengemaa"(Mtanzania Daima 21.04.2007)

Sijui lini uchumi wetu utatengemaa... kweli Tanzania elimu ni siasa na siasa ni elimu.Lowasa anatugeuza watanzania kama watoto vile kwa kauli za kishenzi kama ya hapo juu.
 
Kama zilitolewa 111.3bn/= kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi, basi mahesabu yako hivi: Ukizigawa kwa wanafunzi elfu 40, kila mmoja anapata karibu shilingi milioni 3 (2,782,555/= to be exact). Kama unazigawa kwa wanafunzi elfu 30, kila mmoja anapata karibu shilingi milioni 4 (3,710,000/= to be exact).

Hii mikopo ni kwa ajili ya wanafunzi wangapi? Kila mmoja alipata kiasi gani? Au hizi fedha zinaliwa wizarani?

Augustine Moshi
Wote hawakopeshwi kwa kima sawa!
 
Tarehe Friday, April 20, 2007 11:17:00 AM, Mtoa Maoni: bubu

UJUMBE KWA WANAFUNZI NA PIA KWA RAIS KIKWETE...

WATU WENGI HUMU MNAPIGA YOWE ISIYO YA MSINGI SERIKALI ILITAMKA MAPEMA KABISA KWAMBA MWAKA HUU KILA MWANAFUNZI ATALIPA ASILIMIA 40, NA KAMA HUWEZI BASI ACHANA NA SHULE SASA IWEJE WANAFUNZI ZAIDI YA MILLION MOJA HAWANA HIYO LAKI NANE WAKATI KILA KUKICHA WATU WAKO BAA WANAENDESHA MAGARI MAZURI SASA NI KWELI KILA KIJANA WA CHUO KIKUU KAKOSA ADA? HUU NI UPUMBAVU KUONA KILA MWANAFUNZI ANAANDAMANA INGEKUWA VIZURI WALE WACHACHE WASIYO JIWEZA NDIYO WAGOME LAKINI MIJITU MIZIMA NA AKILI ZAO YANAENDESHWA NA HAYO YANAYOJIITA ETI PUNCH, PUNCH MY ASS...SORRY MICHUZI KWA LANGUAGE YANGU, KAMA HUNA UWEZO WA KULIPA BASI JALIBUNI NJIA MUUAFAKA YA KUDAI HIZO HELA NA WENGINE WENYE UWEZO WA ENDELEEE NA MASOMO KAMA KAWAIDA KULIKO KUSABABISHA WATU WENYE UWEZO KUKOSA MASOMO KUNA WATU WANATOKA NJE YA NCHI WANA SHOLARSHIP ZAO LAKINI WAABIDI WAKOSE MASOMO KWA SABABU YA ISSUE ZA KIPUNGUANI.

KIKWETE... NA WEWE KIKWETE UNAKOSAJE HELA ZA WANAFUNZI WAKATI UNAPATA HELA ZA KUWALETA WACHOVU REAL MADRID KUCHEZA DAKIKA TISINI KWA POUND MILLIONI 150? JALIBU KUFIKILIA KWANZA KABLA YA KUWATIMUA HAO WANAFUNZI. TIMUA REAL MADRID NA DEAL ZAO FAKE, HAO WALIO KUTAPELI RADA WAMBIE WAKURUDISHIE PESA UWAPE WANAFUNZI, HAO WALIOINGIZIA HASALA TAIFA KWA MIKATABA FAKE YA MADINI WAMBIE WALIPE FIDIA UWAPE WANAFUNZI,HIZO RUSHWA NA UKWEPAJI KODI ZA KUINGIZA MAJENERETA WAMBIE WALIPE KODI WAPE WANAFUNZI WASOME... ACHANA NA USANII KIKWETE WATHIBITISHIE WANAFUNZI HAKUNA HELA KABLA YA KUWATHIBITISHIA REAL MADRID KUNA PESA YA KUWAKODISHIA NDEGA NON STOP FROM SPAIN!

nime Copy tu kutoka pale kwa michuzi nikaona unafaa kwa hapa...
 
mmhhhhhhh makubwa haya madogo yana afadhali.
maisha na michezo, sasa wakikusikia wapenda michezo wakueleweje? kuna mambo yaangaliwe sana kwa hiyo tusimamishe mambo yote ya michezo tuue wizara za michezo ili tulipie ada?

harusi zisifanyike kwa wanafamilia kwa kuwa kuna kusoma?

hapana mipango mizuri inahitajika ili kila kitu kipate nafasi yake.

hata mwalimu wetu tulipokuwa primari alikuwa akitwambia kusoma na kucxheza ndio kunaJENGA AFYA.
 
hii ahadi ya uchumi kutengemaa ilianza tangu mwaka 1979, baada ya vita vya kagera. wakati huo Baba wa Taifa alisema tutakabiliwa na miezi 18 ya hali ngumu ya uchumi.
 
If the only benefit for taxpayers paying to educate university students is money these students will send home from abroad, then we might as well invest that 111.3bn/= in promoting tourism. I am sure tourists who will visit Tanzania will bring in more dollars and euros than the money these graduates will send home.

People are not seeing the big picture or looking at the long term consequences. Brain drain has long term consequences, politically, economically and socially. In countries like China and India only 3 percent of it's educated professionals actually leave the country. The rest remain home building their countries. I was watching a documentary on television about Yangtze dam in China which will be the largest dam in the world when it is finished. Most if not all the engineers and scientists involved in that project were chinese not foreigners. Here in Tanzania, engineers building Mtera dam come from all over the world. The country is paying the cost of importing foreigners to do these jobs. It is the same thing for doctors who flee the country after graduation looking for greener pastures. Back in the days Muhimbili used to have good doctors. Now if you need complicated surgery or procedure done you have to travel to India or Europe. All the good doctors are working in Botswana, South Africa, UK or America. Sure they send some money back to their families but the impact of the departure is greater.

Since we can't force these educated Tanzania to remain home after graduation, then they should pay for their own education. Why should the Tanzanian taxpayers subsidize economies and welfare of countries where these graduates will eventually end up working? Let them carry their own cross and we will carry our own.
 
Jamani hii inasikitisha sana kweli tuanajenga taifa la aina gani? Hivi kweli Mzazi wa kule kwetu Nkasi anaweza kupata wapi 640,000 kwa ajili ya kijana wake? wengine hiki kiasi huwa wanakiona kwenye maandishi tuu sasa kweli elimu ni kwa matajiri tuuu. Mimi nadhani hawa waliotoa huu uamuzi wamefilisika kiungwana na hawana uzalendo. Hapa no doubt kuwa watoto wa wakubwa tuu ndio wataenda university. Mimi naone msemo wa ELIMU KWA WOTE si sahihi inabidi iwe ELIMU KWA WATOTO WA WAKUBWA.


Wanabodi kiasi hicho cha 40% ni Shs ngapi hasa. Nashindwa kuamini kama ni Shs 640,000. Na je ni kwa Mwaka au miaka yote ya Kozi: miaka 3 au 4..???
 
Bwana Manji Suporter, sorry sana kwa maneno nitakayo tumia. Mimi naona wewe upeo wako wakufikiri ni mdogo sana ndio maana unasema hayo uyasemayo. Pia inaonekana wewe umejaa sana ubinafsi nachuki kwa watanzania ambao wako nje ya nchi. Ni jukumu la serikali yeyote hususani serikali za nchi masikini kuwapatua wananchi wake public goods kama elimu, afya, barabara n.k. Kila mtu duniani anajua kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. even if you have physical capital without human capital nchi haiwezi kuendelea. Malengo ya uchumi mpana(macroeconomics) ni nini? Ni kupambana na mfumuko wa bei, kupunguza tatizo la ajira, nk. watu wetu wanaenda kufanya kazi nje ya nchi pamoja na kuwa wanatuma pesa za kigeni ambayo unaaita kidogo lakini pia wanapunguza tatizo la ajira. Nakuhakikishia kama BOT walikuwa na uwezo wa kutoa data za remitance ambayo inatumwa na watanzania walioko nje sidhani kama ni kiasi kidogo. Angalia data za Nchi kama Philipine uone remitance inachangia % ngapi ya pato la taifa.

Tumejiunga na SADC na EA ili kupanua soko la bidhaa na pia soko la ajira. Tunalalamika kuwa wa kenya watachukua ajira zetu sasa kama ilikuwa ni faida kupokea wageni kuliko wetu kwenda nnje si tufurahie wakenya na watu wengine wanakuja TZ kufanya kazi? Kwa taarifa yako pato la Mtz aliyeko nnje kwenye culculation ya GNP tunaihesa. Mimi nadhani tuwapongeze na kuwapa moyo waTz wanaoenda kufanya kazi nje ya nnchi. Na ni Jukumu la serikali kuwapatia elimu watu wake. Kama anavyosema Lowasa, Uchumi hauweze tengamaa kama taifa halina wasomi.
 
Wandugu...huyu Manji Supporter ni Raj Patel. Hivi hamjagundua tu? If he is not Raj Patel then I dare him to write in Kiswahili.

So I think you guys should not even bother to engage with him. Let me have him for an appetizer!
 
Wandugu...huyu Manji Supporter ni Raj Patel. Hivi hamjagundua tu? If he is not Raj Patel then I dare him to write in Kiswahili.

So I think you guys should not even bother to engage with him. Let me have him for an appetizer!


Nyani....hao wanaomjibu bila shaka ni wageni kwa Raj. Hawakuwepo kule BCStimes wakati wewe ni Ngabu mkubwa mkimfanyizia huyu ponjoro.
 
Maskini wana Mlimani waligoma kwa nia nzuri wametimuliwa kwa nia mbaya
 
Nia nzuri ni ipi katika mgomo?

Hawa ni vijana ambao hawakuexplore all options za negotiations wamegoma...i can understand their argument lakini they about it the wrong way!
 
Mzee Kulikoni,

Heshima mbele mkuu, hawa wanafunzi ni lazima tuwaangalie for what they are, kisheria migomo inaruhusiwa kwenye Private Institutions na sio Government owned ones, kwa hiyo walipotishia kugoma mara ya kwanza na kupewa nafasi ya kuonana na rais, ilikuwa ni nia njema tu ya rais kujaribu kuwasikiliza kilio chao, rais hakuwa na sababu ya kwenda kuwaona maana bureucratically kuna viongozi wengi tu kwenye mstari ambao walipaswa kuonana nao kabla ya kuonana na rais, labda ile kupewa nfasi ya kuonana na rais mapema mno ndio ikawafanya wadhanie kuwa next time wanaweza wakarudia tena,

Kufukuzwa kwa wanafunzi bongo huko Mlimani sio kitu kigeni, hata enzi za Mwalimu za awamu ya kwanza pia Mwalimu aliwafukuza, sasa kufukuzwa kwao safari hii sio kitu cha ajabu kuna history, kugoma ni sawa pale tu njia zingine zote zinazokubalika kisheria zikikwama, ama sivyo tutajenga taifa la wagomaji kila kona, hapana,

ninaamini kuwa wanafunzi walikuwa na sababu nyingi valid za kulalamika kwa serikali, lakini ilikuwa ni makosa kujaribu kutafuta solutions kwa njia ya mkato, yaani mgomo, ilikuwa ni makosa makubwa sana kisheria na serikali ilihitaji kusimama firm kwenye hili, nafikiri uongozi wa wanafunzi hawa una walakini mkubwa, watakaporudi wanahitaji kuchagua viongozi wapya wenye vision!

Hatuwezi wote kuwa vipofu, yaani kuanzia viongozi wa nchi, wananchi, mpaka wanafunzi wa Higher Institutions nazo pia? Wanafunzi wametutia aibu sana wapenda maendeleo Tanzania!
 
Nia nzuri ni ipi katika mgomo?

Hawa ni vijana ambao hawakuexplore all options za negotiations wamegoma...i can understand their argument lakini they about it the wrong way!

Actually I was being Sarcastic, ila kama Alivyosema Mzee Es nadhani walivyopewa kiganja wakaona next time wakikooa wanapewa mkono mzima matokeo yake ndio haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom