Rais Samia chukua hatua za haraka Wizara ya Elimu mambo yanaharibika

Acholile

Member
May 30, 2022
91
59
Raisi Samia Soma Alama Za Nyakati Chukua Hatua Wizara Ya Elimu Kabla Mambo Hayajaharibika .

Kelvin Mutabingwa

Kawe - Dar

Waandishi Wengi Wa Dola Ya Kirumi Na Ile Ya Ugiriki Wakati Huo Wameandika Sana Kuhusu "Mji Uliopotea" Mwaka 373B.C,Mji Wa Helike (Helice) .

Mji Huu Uliharibiwa Na Watu Wote Kuangamia Kutokana Na Tetemeko La Ardhi Na Kimbuka Kikali Toka Baharini (Tsunami) .

-Mwanahistoria Maarufu Wa Ugiriki Wakati Huu Bw Thucydides (Diodorous) Anasema Siku Chache Kabla Ya Tetemeko Wanyama Kama Mbwa,Paka Na Viunbe Wadogo Kama Panya Na Hata Mijusi Walionekana Kuukimbia Mji Huo Kuelekea Mji Wa Cerynea.Wakazi Wa Mji Huu Waliendelea Na Maisha Ya Kawaida Licha Ya Kuwa Wadudu Na Wanyama Waliwapa Ishara Mpaka Siku Tano Baadae Watu Wote Na Mji Wao Walipoangamizwa.

Hawa Wote Waliangamia Kwa Kuwa Hawakuweza Kusoma Ishara Za Hatari Ilivyokuwa Mbele Yao.

Tukio Lingine La Hivi Karibuni Linaloonyesha Umuhimu Wa Kusoma Alama Za Nyakati Mapema Kabla Ya Hatari Kutokea Ni Lile La 26-Desemba- 2004 Katika Kijiji Cha Bong Koeyn Nchini Thailand

Wananchi Wa Kijiji Hiki Waliamka Asubuhi Na Kuona Nyati Wakiwa Ufukweni Mwa Bahari Wakiinua Vichwa Vyao Na Masikio Yao Huku Wakiangalia Baharini Kisha Kutoka Mbio Kuelekea Kwenye Miinuko Iliyopo Karibu Na Fukwe Za Bahari (Mattkaplan:2007)

Dakika Kadhaa Baada Ya Ishara Hii Ya Hatari Tetemeko La Ardhi Tokea Bahari (Tsunami) Liliangamiza Kijiji Hiki, Waliosalimika Ni Wale Wachache Walioweza Kusoma Na Kuelewa Tukio La Nyati Kama Alama Ya Nyakati.

Kuna Msemo Maarufu Pia Wa Kiafrika
" Anayeamka Mapema Ndio Atasalimika Kuchomwa Na Jua ".
Mifano Yote Hii Inaonyesha Umuhimu Wa Kusoma Haraka Alama Za Nyakati Ili Kukabiliana Na Hatari Iliyopo Mbeya.

Moja Kati Ya Makosa Makubwa Katika Uongozi Ni Mtu Kuchelewa Kusoma Alama Cha Nyakati Na Kuchukua Maamuzi Kwa Muda Stahiki .

Kwa Wakati Tulionao Na Yanayoendelea Wizara Ya Elimu Kwa Muda Mrefu Na Yanayojili Sasa Hakika Ni Wakati Muafaka Kwa Raisi Samia Kuchukua Hatua Stahiki Ili Kusafisha Wizara Na Kuongeza Imani Ya Watanzania Kwake.

Nitatoa Mfano Wa Mambo Machache Ambayo Raisi Samia Anapaswa Kuyamulika Na Kuchukua Hatua Za Haraka Kadri Iwezekanavyo.

Vita Mpya Kati ya HESLB Na Waziri Mkenda .
Raisi Samia Kwa Kutambua Uhitaji na Umuhimu wa Elimu, Uliongeza Bilioni 70 Mwaka Jana Kutoka Katika Pesa Zetu Za Mkopo Wa Benki Ya Dunia Kwenda Kuboresha Elimu Ya Juu Kupitia Mradi Wa HEET Na Kufanya Bajeti Ya Mikopo Elimu Ya Juu Ni Kufikia Bilioni 570 Na Kufaidisha Vijana Wapya 11000 Zaidi Ambao Walikuwa Wakose Mikopo Juu Ya Kuwa Wanavigezo , Bila Shaka Ni Raisi Samia Uliongeza Bajeti Hii Baadae Ya Kuridhika Na Ufanisi Wa Utendaji Wa Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu, Lakini Waziri Wako Anasema Hapana HESLB Kuna Madudu.

Jambo Lengine Ni Ufadhili Wa Vijana Waliofanya Vizuri Masomo Ya Sayansi Kidato Cha Sita, Hapa Waziri Mkenda Amekugombanisha Na Wanyonge Unaowatetea, Zaidi Ya Nusu Ya Wanufaika Wa Hizi Bilioni 3 Ni Watoto Wa Familia Za Hali Ya Juu Na Sio Wale Uliwatetea Kwa Kuwafuatia Ada Ya Mtihani.

Eneo Lengine Ambalo Waziri Mkenda Anatengeneza Mtandao Wa Watu Wachache Kufaidika Ni Milioni 50 Za Kila Tafiti Nzuri Kama Motisha, Usikubali Hili Mama,Hii Itakuwa Kama "Samia Scholarship" Nyingine Na Kikundi Kichache Cha Wasomi Wapigaji Wanataka Kujinufaisha Kwa Kutumia Eneo Hili La Tafiti .

Matumizi Ya Rushwa Kwenye Taasisis Za Wizara Ya Elimu Yapo Juu Mno Na Waziri Wako Anajua Hilo. Maafisa Uthibiti Ubora Wizara Ya Elimu Wamekuwa Wala Rushwa Na Waziri Anajua. Baada Ya Sheria Ya Heka Tatu Na Nusu Kusajili Shule Mjini Na Heka Saba Vijijini, Idara Ya Ukaguzi Na Wathibiti Ubora Wamekuwa Wakitumia Fursa Hii Kuchukua Rushwa Kwa Watanzania Wanaotaka Kusajili Shule Huku Wakiwa Na Uchache Wa Ardhi.

Ukitaka Kujua Hili Kwa Wepesi Peleka Timu Yako Manispaa Ya Kigamboni Wapime Shule Zilizosajiliwa Ni Uchafu Tu Kubwa Uwe Na Pesa, Wathibiti Ubora Na Mabosi Zao Idara Ya Ukaguzi ,Huu Mtandao Unaanzia Kwa Wathibiti Ubora Wa Halmashauri Mpaka Idara Inayowasimamia Makao Makuu Ya Wizara Dodoma.

Taasisi Ya Elimu Ya Watu Wazima(TEWW) Hapa Siku Hizi Kumekuwa Ndio Mahala Rushwa Ilipozaliwa. Nashangaa Waziri Mkenda Anakwenda Kuongea Na Bodi Kule Morogoro Hata Kuwakemea Anakwenda Kusema Uongo Bungeni Kuhusu Bodi Ya Mikopo. Mama Kwenye Taasisi Hii Ambayo Umeipa Kazi Maalum Ya Kuhakikisha Mabinti Wetu Walioupata Ujauzito Wanarudi. Shule Na Kuwapa Maketi Kubwa. Watu Wanagombana Na Kunyang'anyana Bajeti Na Safari Zenye Pesa.

Baada Ya Watanzania Wengi Kuamua Kuanzisha Shule Huria (Open School) Baada Ya Kuchoshwa Na Ile Sheria Ya Heka Tatu Na Nusu Ili Usajili Shule. Jambo Ambalo Limeongeza Fursa Ya Matumizi Ya Rushwa Kwenye Usajili Wa Shule Hizi (open school) Hasa Jiji La Dar Es Salaam. Tuma Watu Waende Makao Makuu Ya Taasisi Ya Elimu Ya Watu Wazima Omba Idadi Ya Shule Huria Zilizosajiliwa Mwaka Jana Na Mwaka Huu.

Angalia Siku Ambazo Zimetumika Kufanya Usajili Utagundua Kuna Waliotumia Mwaka Mzima Kusajiliwa(Hawakutoa Rushwa) Na Wengine Siku Chache Baada Ya Kutoka Pesa Na Rushwa Inaongezeka Baada Ya Watanzania Jamii Ya Kiasia Kuamua Kuanzisha Shule Nyingi Huria Ndipo Wakaanza Kuwakamua Watu Hawa Na Hoja Wanayoitumia Kuwalaghai Hapa Ni Kuwa "Tutawapa Usajili Na Watawaruhusu Kufanya Mitihani Ya Nje (Cambridge)" Hivyo Kukichukulia Mamilioni Ya Pesa (Ushahidi Upo).

Waziri Mkenda Anajua Haya Na Anayaacha Na Kukimbilia HESLB.

Kule ADEM Bagamoyo Ndio Usiseme Wao Wanafikiria Namna Ya Kufaidika Na Pesa Zako Za HEET Badala Ya Kufanya Kazi Yao Ya Asili Waliyopewa Kama Wakala Wa Serikali Wa Kuhakikisha Wanasimamia Ubora Wa Elimu Yetu Tanzania Kwa Kuandaa Wataalamu Wa Ngazi Ya Kati Kuboresha Elimu, Wao Wanapambana Kuhakikisha Kuwa Eti Wanapewa Kibali Na TCU Waanze Kutoa Shahada Ya Kwanza Ili Wanufaike Na Pesa Za HEET Na TCU Wapo Wanaawangalia TU.

Mama Waziri Mkenda Anajua Kuwa Kwa Muda Mrefu Udom Haiko Shwali, Anajua Kwenye Chuo Kuna Activists Ambao Kiongozi Yeyote Wa Chuo Atakayeletwa Kama Hatoenda Sawa Nao Lazima Ang'oke, Upendeleo Dhulma Na Rushwa Bado Zinakimaliza Chuo Hichi Ambacho Ni Alama Ya Kweli Ya Matumizi Ya Mapato Yetu Ya Ndani Kwenye Maendeleo, Waziri Hajawahi Kukemea Hilo.

Waziri Mkenda Anajua Kuwa Kwa Kiasi Kikubwa Uongozi Wa Wizara Yake Hasa Wakurugenzi Na Wakuu Wa Idara Ukitoka Sehemu Moja, Yaani Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Hasa Idara Ya Kemia Chuoni Hapo Jambo Ambalo Halina Afya Kwa Wizara Nyeti Kama Ya Elimu, Jambo Hili Limeleta Upendeleo Na Kujuana Halikuwahi Kumshtua Waziri Mkenda.

Waziri Mkenda Anajua Kuwa Hamisha Hamisha Ya Udom Na Mgogoro Wa Kutengeneza Ulipelekea Wahadhili Wengi Kuhamishiwa Vyuo Vya Kati Licha Ya Kuwa Na PhD Haukuwa Na Afya Kwa Taifa.

Leo Hii Amekushauri Raisi Sehemu Ya Pesa Za HEET Zikasomeshe Wahadhili Kwa Kuwa Kuna Upungufu Mkubwa Wa Wahadhili Sawa Jambo Jema Lakini Hakukwambia Kuwa Ana Wahadhili Ambao Wizara Yake Wakishirikiana Na Utumishi Waliwapeleka Vyuo Vya Kati Na Wengine Vyuo Vya Ualimu Kwa Sababu Wanazojua Wao (Hata Katibu Mkuu Wake Elimu Anajua Hili Yeye Ndie Alisimamia zoezi Akiwa Utumishi), pengine umuulize akwambie aliwapeleka wapi na kwa sababu zipi.

TCU Inanuka Rushwa Imekuwa Wakala Wa Vyuo Vikuu Vya Nje Na Binafsi Tanzania. Agenda Zao Hupitia Huko. Vyuo Vikuu Binafsi Vya Nje Vimekuwa Vikitoa Rushwa Kwa Maafisa Wa TCU Kupitia Mawakala Wao Wa Ndani Ili Kupata Wanafunzi Wa Tanzania Na Kusahau Jukumu lake La Msingi Lakusimamia Elimu Ya Juu nchini. TCU Imeshindwa Kuzuia Agenda Zenye Maslahi Ya Wachache Kama.

Udsm Kuendelea Kuendesha Chuo Cha Udaktari Mbeya Wakati Hawana Wataalamu, Udsm Kuendelea Kusimamia Taasisi Ya Sayansi Bahari *Zanzibar Kwa kigezo cha Ulezi wakati Zanzibar kwa Sasa kuna Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA) Kipo Mita Chache TU na kinauwezo wa kusimamia Ama kuiacha IMS isimame yenyewe Ulezi wa miaka zaidi ya 40 kama ni mtoto amekuwa na hivyo ni wakati sasa kusimama chenyewe kama ilivyokuwa kwa MUHIMBILI NA CHUO CHA ARDHI Lingine ni hili la Chuo Kikuu Cha Udsm Kuchukua Vyuo Vya Kati Vya Kimkakati Kama Chuo Cha Madini Dodoma Kwa Jina La Ulezi Wakati Udom Kipo Mita Chache Pale Na Mipango Mengine Ya Kufanya Udsm Kuwa Chuo Cha Nchi Kinyume Na Sheria Ya Vyuo Vikuu ya 2005.

Nactvet Ambayo Zamani Ikiitwa Nacte Nayo Itupiwe Jicho Kwani Haifanyi Kazi Kwa Ufanisi, Kuna Shida Kubwa Hapo Na Nyingi Ni Matokeo Ya Rushwa.

Utitili Wa Vyuo vya Kati Hasa Vya Afya Vinavyosajiliwa Kwa Nguvu Ya Pesa Badala Kanuni Na Sheria Unatishia Usalama wa Taifa. Ni Wakati Muafaka Wa Kuitazama Nactvet Kwa Macho Yote Hasa Baada Ya Kuiongezea Jukumu La Kuthibiti Masomo Yetu Ya Ufundi Stadi.

Wajanja Wachache Pia Wamebadili " Harmonized Scheme " Kwa Watumishi Wa Vyuo Vikuu Vya Umma Na Kuongeza Vipengele Vyenye Upendeleo Na Yeye Anajua Kuwa Hili Bomu Litamlipukia Mheshimiwa Rais Samia Si Muda.

Vipengele Kama Wateule Wako Ambao Ni Wahadhiri Wa Vyuo Vikuu Kupata Promosheni Za Kitaaluma Wakiwa Kwenye Meza Na Viyoyozi Vya Ofisi Zao. Na Kuruhusu Kila Chuo Kikuu Kiwe Na Utaratibu Wake Wa Kufanya uthamini Wa Wataaluma Wanaohamia Kwenye Taasisi Husika Hili Ni Bomu Na Wameweka Hili Makusudi Kuchochoe Migomo Ya Watumishi Elimu Ya Juu. Na Wamefanya Hivi Bila Kushikikisha Wadau.

Mama Taasisi Angalau Zimekuwa Zikienda Sambamba Na Nia Yako Nzuri Ya Kuijenga Tanzania Mpya Ni HESLB Na NECTA TU Chini Ya Dr Msonde (NECTA) Wakati Huo Na Badru (HESLB) Hakika Hawa Ni Wazalendo Wa Taifa Letu. Hawa Hawakutaka Kuyumbishwa Ni Watu Wa Kanuni Na Taratibu.

Hata Utakapoteuwa Mrithi Wa Dr Msonde Hakikisha Taifa Linapata Mtu Wa Aina Ya Yake Pale NECTA.

Ndio Maana Tunashauri Raisi Samia Asome Alama Za Nyakati Na Afanye Maamuzi Magumu Ya Kuifumua Wizara Ya Elimu Na Taasisi Zake Na Kuiunda Upya Vinginevyo Asubiri Bomu Lilipuke .

Ahsante
 
Matatizo ya hesbl yametokana siasa.

Wamepeleka vilaza wengi mwisho wamekosa pesa za kulipa
 
Andiko zuri. Nadhani kifuatacho ni ufuatiliaji wa hay
 
Raisi Samia Soma Alama Za Nyakati Chukua Hatua Wizara Ya Elimu Kabla Mambo Hayajaharibika .

Kelvin Mutabingwa

Kawe
- Dar

Maoni mazuri
 
Back
Top Bottom