Juliana Shonza amlipua Mbowe

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Kama elimu ya UDJ na Form 4 ya Mbowe inawanyima usingizi CCM kiasi hiki, basi Mbowe hahitaji kuwa na elimu ya form6 wala chuo kikuu, wala Udaktari kama wa Kikwete!
 
Unaweza kumaliza chuo kikuu na mwisho wa siku ukawa umejifunza kusoma na kuandika kuelimika kukawa sifuri.
Dada Juliana naona wewe ni kati ya wale walioenda shule na mwisho wa siku umejifunza kusoma na kuandika,haujaelimika ili kulisaidia Taifa lako.Personal attacks unazozifanya hazimsaidii mtanzania wala wewe mwenyewe mwisho wa siku unajiweka unajivua nguo mwenyewe.Amka sasa endelea na maisha yako kwani kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza pole.
 
Elimu discrimination kwenye suala la uongozi....ni ubaguzi mkubwa.
 
Huyu binti ashukuru Ze Utamu ilifungwa. Angetolewa uchi uchi ndo angeachana na Siasa kabisa
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
[h=1]Morgan Tsvangirai waziri mkuu wa Zimbabwe ana elimu gani? Hao wenye elimu kubwa ndo kama waziri wa elimu na naibu wake wanaotuletea aibu kwenye nchi hii? Je elimu ndogo ya Mbowe imemfanya ashindwe kutimiza majukumu yake? Yeye Shonza na wenzake wenye elimu ya chuo kikuu wamefanya kipi cha mno hapa nchini kitakachowatofautisha na wasio soma?

Badala ya kujadili kwa nini serikali dhaifu ya CCM inashindwa kusimamia elimu mpaka wanafunzi wamefeli kiasi hiki kidato cha nne, nyie mnaongea mambo ya ajabu ajabu.[/h]
 
Yaani CCM inatia aibu sana. Wanawaalika hayo mapimbi Radio Uhuru kuitukana Chadema na viongozi wake wao wakidhani huko ndiko kurudisha heshima ya Ccm kumbe ni kujimaliza.
Kwanza wanapotosha watu kuwa eti walijitoa Chadema wakati wao walifukuzwa na bado walikuwa wanalalamikia kufukuzwa kwao.
Hii ndiyo kazi iliyopewa Sekretariet mpya ya kupambana na Chadema,wakati wenzao wanajiimarisha kwa M4C vijijini wao wanahoji Mnyika na elimu yake,mara Slaa sijui nini na Mbowe vipi. Nchi iko kwenye matatizo mengi,vita ya kidini,kuanguka kwa Elimu,migogoro kati ya serikali na wananchi nk lakini viongozi wa CCM badala ya kukesha macho na kufikiria utatuzi wa kero hizo wao wanakesha kuwazia Chadema.
Jee wenye chama chao (wanachama) wanakubaliana na huu ujinga wa viongozi wao? Kama wanakubaliana nao basi ile Ccm iliyotokana na TANU ishakufa na haipo tena. Hao wachumia tumbo waliofukuzwa CDM wanakiaibisha chama kikongwe. Au ukiwa kikongwe na akili nazo zina zeeka?
 
Hakuna mahala wanapobainisha kiongozi lazima awe mwenye digrii.
What matters ni delivery, effciency.
 
Kwani kipindi Mbowe ni mwenyekiti wake alikua ana elimu ya chuo kikuu, mpaka leo ndo agundue kuwa ana elimu ya form 4?? Hana lolote huyo dada, yeye na elimu yake imemsaidia nini?
Mkuu usijisumbue ni wale wale masalia kaingia na ID nyingine, anajulikana!!!CCM sare zao kama Chale Champrin!!!

Yaani CCM inatia aibu sana. Wanawaalika hayo mapimbi Radio Uhuru kuitukana Chadema na viongozi wake wao wakidhani huko ndiko kurudisha heshima ya Ccm kumbe ni kujimaliza.
Kwanza wanapotosha watu kuwa eti walijitoa Chadema wakati wao walifukuzwa na bado walikuwa wanalalamikia kufukuzwa kwao.
Hii ndiyo kazi iliyopewa Sekretariet mpya ya kupambana na Chadema,wakati wenzao wanajiimarisha kwa M4C vijijini wao wanahoji Mnyika na elimu yake,mara Slaa sijui nini na Mbowe vipi. Nchi iko kwenye matatizo mengi,vita ya kidini,kuanguka kwa Elimu,migogoro kati ya serikali na wananchi nk lakini viongozi wa CCM badala ya kukesha macho na kufikiria utatuzi wa kero hizo wao wanakesha kuwazia Chadema.
Jee wenye chama chao (wanachama) wanakubaliana na huu ujinga wa viongozi wao? Kama wanakubaliana nao basi ile Ccm iliyotokana na TANU ishakufa na haipo tena. Hao wachumia tumbo waliofukuzwa CDM wanakiaibisha chama kikongwe. Au ukiwa kikongwe na akili nazo zina zeeka?
 
anaonekana kwao ni mboga saba...naomba number tafadhali.

224892_102121916628743_1899781345_n.jpg

Wengine huko kwenye siasa ni mawindo kwa kwenda mbereeee, asiyekubali kuingia kwenye mtego nia adui number one, kazi ni kurusha ndoana tu kunasa samaki ziwani.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
security guard ni busara vile vile ukatukumbusha elimu ya marehemu Kawawa na Fredrick Sumayi ili wafuatiliaji tujue unachotaka kusema
 
Last edited by a moderator:
Jk na PhD yake ya Uzururaji kalisaidia nn Taifa? Na hata hvyo huwezi msimamisha JK na Mbowe kwa hoja...mnakumbuka alivyokimbia midahalo?
 
Na katika maraisi wote duniani, ni huyu JK ndiye mwenye digrii ya uchumi faluire kwani alipata "PASS".
 
Mnawapa kichwa hawa vilaza kuwajadili humu! Mmesahau watoto wetu walioishia kubalehe shule na kurudi na makarai ya kutosha?
 
Kumekucha...

Kumekucha nn,form four ya miaka hiyo ni zaidi ya digree ya chup ya juliana shonza,marehemu kawawa alikuwa la saba hapo unaonaje!tujadili matatizo ya watoto wetu kufeli kuliko kuzungumza utumbo huu.
 
32.jpg

Juliana akimwaga sera goba, dsm. kama kweli mbowe ana four 4, nchi hii tumekwisha.
 
Mnawapa chati kwa kuchangia uzi wa kijinga kama huu...nchi iko kwenye lindi la mpasuko wa kijamii, watoto wetu wanaandaliwa kufelishwa, madini yetu yana sombwa hovyo, Gesi yetu washagawana na ngawira ziko uswis, Twiga wetu wanakunjiwa kwenye ndege, Tembo wanakwisha, wananchi wanapoteza muda mwingi kwenye foleni barabarani, Hakuna maji safi wala salama kwa wananchi, Njaa inawaua raia wetu...Maprofessa wa CCM wametufanyia nini la kukumbukwa kwa miaka 51 ya uhuru? ...Elimu ya JJ mnyika, Slaa na Mbowe zinatatua vipi matatizo yetu?
...mimi sichezi ngoma ya CCM, nategemea nanyi GTs mtaliona hili na kuwapotezea hawa MABAZAZI...
 
Back
Top Bottom