Juliana Shonza amlipua Mbowe

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
 
Tuna watu wana degree za kuunga unga ndani ya CCM na kuna wasomi wa kweli kwenye serikali ya CCM lakini Tanzania iko nyuma mno .Kuna wasomi kama yeye kama anaji hesabu kama msomi leo anachuma tumbo .Alishindwa hata kulipa karo ya shule nadhani sina hakika Chadema walimlipia .Sasa yeye hizi ndiyo sera kwa watanzania ? Jamani kweli huyu hata umande haujamsaidia .Lingana naye basi kwa lolote tuone na elimu yako .Paka mkubwa wewe
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?
 
Mbona huyu wa kwenu ana shahada ya udsm hata familia yake inamshinda kuiongoza?Wewe ni gamba.Huyo Shonza na umbo lake ni chakula ya wazee.
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
 
Tutolee mawazo ya takataka hiyo ,,,twamjua ni mnafiki msaliti mkubwa ananunuliwa na nape pamoja na mwigulu muulize lukuvi ana elimu gani??????
Nape nauye aweke elimu yake twamjua kote alikosoma india alienda kufanya nini ??? Form four na six alipata ngapi??????lukuvi alimaliza la saba shule gani???? Na dr feki nchimbi ?????kawawa alikuwa na elimu hipi?????????
katika nchi za jumuiya ya sadc, freeman mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
Ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi juliana shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na radio uhuru fm, kama dk.slaa atakuwa rais, mbowe waziri mkuu ..basi taifa litakuwa na waziri mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya udj!
 
Andry Nirina Rajoelina born 30 May 1974, is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on 21 March 2009 during a political crisis, having held the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. He began his career as an entrepreneur in his teenage years, first as a DJ at local clubs and parties, and later by organizing and promoting musical events in the capital.
 
CCM wawafunde hawa vibaka wao. Wataletea balaa. UDJ? Serikali ya CCM inatakiwa iwashukuru ma-DJ na wanywa pombe. Serikali inategemea wanywa pombe. Bila ya kodi ya pombe TRA inakufa, na kwa taarifa tu huyo binti anatakiwa kujuwa kuwa the biggest tax payer ni TBL. Chibuku analipa kodi kubwa kuliko makampuni ya simu.
 
Katiba inaruhusu!hayo mengne ni wivu tu!akitaka tuseme yake tunayo mengi sana,ila hayana msaada wowote katika kujenga taifa letu,so ccm waache blabla nchi imeshawashinda hii!
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
send off yako lini dada?
 
Mbona Mbowe alisoma Ihungo Sekondari na kumaliza kidato cha sita? Na Hull Univeristy je aliendaje? I doubt ukweli wa huyu dada lakini muhimu si elimu ila uwezo. Hivi Jacob Zuma alimaliza darasa la ngapi? How many of Tanzanian politicians can match him? Aibu kwa wanasiasa wa chama tawala ku capitalize kwenye personal attacks!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom