Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Hajui kuwa Mh Mbowe elimu yake imemuwezesha kuwa na utajiri na kufanya biashara kubwa. Ifikie hatua watanzania tuache ubabaishaji wa kudhania kuwa hata kama una PhD lakini maskini wewe ni higher class citizen than mtu wa darasa la saba mwenye biashara ya mabilioni
Juliana Shonza ni maskini anayetegemea kujipendekeza apewe posho na chama kuendesha maisha yake, anapojifanya yeye ni bora kuliko Mbowe anayemiliki biashara za mabilioni eti kwa kuwa ana ka-degree ka sociology ni upofu wa hali ya juu amaboa watanzania tuukatae. Mtu aheshimike kwa mchango wake kwa jamii. Biashara za Mbowe zimeajiri watanzania kibao na kikubwa ni kuwa Mbowe ame- exceed expectation za kuiongoza CHADEMA hadi sasa CCM hawalali.
Hizi ajenda za elimu walizozipeleka CCM hawa watoto masalia zitawarudi tu CCM wenyewe kwa sababu licha ya serikali ya CCM kuwa na maprofesa kibao imefelisha watoto 240,000 kwa kupata sifuri mtihani wa kidato cha nne