Juliana Shonza amlipua Mbowe

Mama ishakula kwako, usilazimishe akili ndogo ifikirie kwa naiaba ya akili kubwa za watz walio wengi. Haka kamdada sijui na wanaokapatia air time wana agenda gani nako. we mama hebu kafie mbali.
 
uyu dada ubongo wake una mchwa!......
this is too low!..
mbona akusemaga siku zote hizo!
 
Hi JF members.

There is one thing to note in Leadership.

That Leaders are just born, they are not created or manufactured! Kuna watu hawana hata elimu ya chuo wameishia elimu ya secondari na A levels lakini ni viongozi wazuri kuliko hata waliosomea mambo ya uongozi kwa ngazi za Masters au PhD!

Soma huu wasifu wa John Major, Waziri Mkuu wa Uingereza(rtd) mwaka 1990-1997 uone kama kweli elimu ya mtu inaweza kumfanya awe kiongozi bora. Bila shaka utagundua ya kwamba education is not so much important when you come to the issue of Leadership.

John Major left school at age 16 in 1959, with three O-levels: History, English Language, and English Literature. He later gained three more O-levels by correspondence course, in the British Constitution, mathematics and economics. His first job was as a clerk in the insurance brokerage firm Pratt & Sons in 1959. Disliking this job, he quit, and for a time he helped with his father's garden ornaments business along with his brother, Terry Major-Ball. Major joined the Young Conservatives in Brixton at this time.[SUP][5][/SUP] Major was 19 years old when in 1962 his father died at the age of 83. His mother died eight years later at the age of 65.
After Major became prime minister, it was misreported that he had failed to get a job as a bus conductor because of failing a maths test, when in fact he passed all of the tests, but had been passed over for the job to another candidate owing to his height.
[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP]
After a period of unemployment, Major started working at the
London Electricity Board (where his successor as the Prime Minister, Tony Blair, also worked when he was young) in 1963, and he decided to undertake a correspondence course in banking.[SUP][8][/SUP] Major took up a post as an executive at the Standard Chartered Bank in May 1965, and he rose quickly through the ranks. He was sent to work in Jos, Nigeria by the bank in 1967, and he nearly died in a car accident there.[SUP][9][10][/SUP]

Kwa hiyo Juliana Shonza asitake kuwapotosha watu kwamba kuwa kiongozi lazima uwe na elimu kubwa kama anavyofikiri yeye.

Nina hakika huyu mama kwa tabia hii ya umbeya,uzandiki,unafiki na uongo haitamsaidia hata siku moja katika maisha ya uongozi. Tabia hii itakuja kugharimu hata ndoa yake mwenyewe iwapo atakuja olewa maana Biblia inasema wazi: MWANAMKE MPUMBAVU HUVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEEEEWE!!!
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

mbona hazungumzii wazee wa ccm walopewa PhD bila ya kuwa na masters

pili mbona ccm wamejaa wenye phd lkn hakuna maendeleo, hakuna maji, hakuna barabara bora na ufisadi umekithiri, elimu yao imetusaidia nn, mbona mbowe ana elimu kidogo lkn si anaona shughuli yake ccm hawalali.

uongozi ni kipawa na sio wingi wa vyeti alivyonavyo mtu
 
Jamani Hutu binti, sio saizi ata ya mwenyekiti wa kitongoji wa CDM anatapatapa tuu, ni kama yuda alivyo mkana Yesu kwa rushwa...!
Tamaa itakuuwa binti.
 
kwanza kabisa kawadhalilisha wanawake wenzake lakini pia katuzalilisha sisi wenye elimu ndogo ambao tuna iman na hao wanawake yeye aliowadhalilisha na tatu kamdhalilisha kiongoz ambaye ndiye mjenz mkuu wa taifa hili na kipenz cha watanzania na pia kawadhalilisha wanachama na wapenz wa chama cha upinzan ambacho ndiyo tegemeo pekee la watanzania ana balaa huyu mtoto


huhitaji degree ili uwe na akili ya shonza kwanza ni mropokaji pili haangalii wala kusoma historia ya nchi hii na nchi zingine
then anadhani anajua kila kitu. sidhani hata ana muda wa siasa za nchi zaidi ya kubebwa bebwa. amedhalilisha wanawake saaana
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Kwani SHONZA akisema ukweli nikosa? Kweli ukweli unauma sana."Mkuki kwa Nguruwe tamu kwa mwanadamu mchungu"
 
naona tunakosa mwelekeo sas kama tunatumia hoja kujadili elimu ya Mbowe katikati ya taifa lisilo na mwelekeo!hata kama mbowe angekuwa hajasoma kabisa hilo linamwathiri vipi mama mjamzito anayekufa kwa kuwa tu kituo cha afya kipo mbali na hakuna huduma? Elimu ya Mbowe inaathiri vipi mfumuko wa bei na kukosekana kwa huduma bora za elimu?! Hii ni hoja dhaifu labda kama tupo hapa kusikiliza majungu.
 
mzee kawawa na mzee Ruksa wanaelimu gani?
Katika nchi za
Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye
elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa
wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe
Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu
nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
 
Back
Top Bottom