Juliana Shonza amlipua Mbowe

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Kumbe bado ana tuakili...anajua Dr Slaa atakuwa Raisi!!
Sasa anahangaika nini!?
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Mbona mimi nafahamu kwamba Juliana ndio malaya kuliko wote aliyewahi kutokea kuwa mwanasiasa duniani

Haya mambo yapo tu, kwenye kila tukio kuna awali

Na mbowe atakua awali ya elimu ndogo lakini ya ukweli na si ya kchakachua
 
Ahsante sana kwa taarifa mkuu. Kama alipata credits tatu (3) akajiendeleze.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
juliana juliana juliana umeacha ulokole mdogo wangu?? Mama shonza wa mabibo loyola analitambua hilo?? acha kutangatanga.
"mtu hataishi kwa mkate tu..." sasa huyu dada keshamini kuwa bila 'mkate' hakuna uhai!
 
Hizi siasa za maji taka za Juliana zitam cost sana.
Sijui ni nani kamdanganya kwamba singles za namna hii zitamtoa kisiasa.
 
Hivi huyu mdada anamatatizo gani? Ushauri wsngu kwake (tulia watu wajiulize).
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
toa neno kama binti unamkataa kinywani wakati moyoni ndivyo ilivyo rais ajae atatoka CDM
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!
Jamani wana CHADEMA na wakuu tunaoichukua nchi yetu! mbona huyu mnyama CCMABWEPANDE anakufa haraka hivi!! Anatupa mateke na ameanguka chali na mapovu mengi. Sogeeni mbali teke la mkata roho linaua!! mtasikia mengi!! na kuona mateke ya wakata roho!!
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

katiba inasemaje kuhusu kiwango cha elimu kwa nafasi ya waziri mkuu?kipimo cha elimu ni vyeti au uwezo na ufanisi wa mtu?
 
Sidhani kama habari hizi ni za kweli kuhusu elimu ya Mbowe!!! All in all, ones education does not matter in some instances but what matters is deliverables!!!! Mbona tuna PhD holders kibao na performance yao ni questionable?

Tiba
 
Hivi kile kitabu cha Msemakweli kimeishia wapi? Na zile kesi walizosema wanamfungulia zimeyeyukia wapi? Sasa naona umeanza kuwatukana viongozi wako wa juu wa chama chako huko kwa style mpya. Hivi kwanini unapenda kumuandama Kamanda Mbowe, alikunyima nini????

View attachment 83753
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Nadhani atakuwa hamjui Dr Jacob Zuma na elimu yake...au South Africa haimo SADC?

Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of the province of KwaZulu-Natal). His father was a policeman who died when Zuma was young, and his mother a domestic worker. He received no formal schooling. As a child, Zuma constantly moved between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph
 
Sasa kama mMbowe ni form 4 mbona amekuwa na uwezo wa kuongoza chama chenye nguvu na kuwanyima usingizi hao wenye vyama vya ma Phd feki wa CCM?
 
Hizi siasa za maji taka za Juliana zitam cost sana.
Sijui ni nani kamdanganya kwamba singles za namna hii zitamtoa kisiasa.

sijui huyu binti hana wazazi wa kumshauri hakuna mtu ambaye amewahi kuwa maarufu kwa kukashifu wengine.hizi kashfa ndo zile ambazo zinapatikana kwenye zile doc walizoiba cdm?
 
juliana juliana juliana umeacha ulokole mdogo wangu?? Mama shonza wa mabibo loyola analitambua hilo?? acha kutangatanga.
ulokole na kutafuta pesa wapi na wapi? maisha ndiyo haya; akishapata anachokitafuta atamrudia mungu.

ila namwonea huruma huyu dada, sijui hana washauri? CHADEMA hutawaweza dada yangu unapoteza muda achana na siasa hizi huziwezi.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Hivi hata hajui kuwa tuna Rais SADC ambaye hata shule hakusoma lakini anaongoza Taifa tajiri Afrika hii.

Nina wasiwasi huyu mtoto inaelekea hakunyonyeshwa maziwa ya mama!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom