13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb) - Pengine anawakilisha albino. Lakini Bi Helen Simba au Ananilea Nkya wangetoa mchango mkubwa zaidi ya huyu mheshimiwa.
14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE - huyu ni nani na ameingiaje kwenye hii katiba?
1. | Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA | - Mwenyekiti |
2. | Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI | - Makamu Mwenyekiti |
1. | Prof. Mwesiga L. BAREGU | |
2. | Nd. Riziki Shahari MNGWALI | |
3. | Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI | |
4. | Nd. Richard Shadrack LYIMO | |
5. | Nd. John J. NKOLO | |
6. | Alhaj Said EL- MAAMRY | |
7. | Nd. Jesca Sydney MKUCHU | |
8. | Prof. Palamagamba J. KABUDI | |
9. | Nd. Humphrey POLEPOLE | |
10. | Nd. Yahya MSULWA | |
11. | Nd. Esther P. MKWIZU | |
12. | Nd. Maria Malingumu KASHONDA | |
13. | Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb) | |
14. | Nd. Mwantumu Jasmine MALALE | |
15. | Nd. Joseph BUTIKU | |
1. | Dkt. Salim Ahmed SALIM | |
2. | Nd. Fatma Said ALI | |
3. | Nd. Omar Sheha MUSSA | |
4. | Mhe. Raya Suleiman HAMAD | |
5. | Nd. Awadh Ali SAID | |
6. | Nd. Ussi Khamis HAJI | |
7. | Nd. Salma MAOULIDI | |
8. | Nd. Nassor Khamis MOHAMMED | |
9. | Nd. Simai Mohamed SAID | |
10. | Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA | |
11. | Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN | |
12. | Nd. Suleiman Omar ALI | |
13. | Nd. Salama Kombo AHMED | |
14. | Nd. Abubakar Mohammed ALI | |
15. | Nd. Ally Abdullah Ally SALEH | |
1. | Nd. Assaa Ahmad RASHID | - Katibu |
2. | Nd. Casmir Sumba KYUKI | - Naibu Katibu |
hao wapemba 15 watatuharibia tanganyika yetu
Shivji is no saint. Hao walioandikwa kama kweli wamo wanatosha sana. Wengine wapate nafasi ya kuongea wakiwa nje. Ila uwepo wa Kabudi unanichukiza.Mkuu sidhani kama Shivji hatatumika in one way or another. Hata maoni yake atakayotoa kuhusu katiba iweje yanafaa. Ila ningefurahi sana kama ange-Chair hii Tume. Tatizo ni kwamba watawala wanataka watu wanaoweza kuwa-manipulate, Shivi ni mtaalam huwezi kumuagiza afanye upuuzi unaotaka wewe, hayupo tayari ku-impair taaluma yake kwa mwanasiasa mbumbumbu wa sheria, kama ambavyo mahakama zetu sasa zinavyokubali kutiwa najisi na wanasiasa.
Shivji vipi?
Babu M.Shivji angefaa zaidi kuwa mwenyekiti zaidi ya Warioba.Nina wasiwasi kama Warioba atakubali kumpunguzia rais nguvu