Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Kama ilivyotolewa kama tetesi ndani ya JF tarehe 29th February 2012; (SOMA TETESI HII) Leo Ikulu imetoa taarifa rasmi:​


TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,

Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)

______________________________

UONGOZI WA JUU

1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA - Mwenyekiti

2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1. Prof. Mwesiga L. BAREGU

2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI

3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4. Nd. Richard Shadrack LYIMO

5. Nd. John J. NKOLO

6. Alhaj Said EL - MAAMRY

7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8. Prof. Palamagamba J. KABUDI

9. Nd. Humphrey POLEPOLE

10. Nd. Yahya MSULWA

11. Nd. Esther P. MKWIZU

12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15. Nd. Joseph BUTIKU


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1. Dkt. Salim Ahmed SALIM

2. Nd. Fatma Said ALI

3. Nd. Omar Sheha MUSSA

4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5. Nd. Awadh Ali SAID

6. Nd. Ussi Khamis HAJI

7. Nd. Salma MAOULIDI

8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9. Nd. Simai Mohamed SAID

10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12. Nd. Suleiman Omar ALI

13. Nd. Salama Kombo AHMED

14. Nd. Abubakar Mohammed ALI

15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH


UONGOZI WA SEKRETARIETI

1. Nd. Assaa Ahmad RASHID - Katibu

2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu


Updates:


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete atazindua rasmi Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Mabadiliko ya Katiba na kuapisha wajumbe wa Tume hiyo Ijumaa ijayo, Aprili 13, mwaka huu, 2012.

Tume hiyo itazinduliwa na wajumbe wake kuapishwa kulingana na matakwa ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 iliyounda Tume hiyo.

Aidha, Tume hiyo itazinduliwa rasmi wiki moja baada ya kuwa imetangazwa rasmi. Rais Kikwete alitangaza Tume hiyo jana, Ijumaa, Aprili 6, 2012, kwenye mkutano wa wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam.

Tume hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Joseph Sinde Warioba akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhan ina wajumbe 30, ikiwa ni wajumbe 15 kutoka kila moja ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wajumbe wa Tume hiyo kutoka Tanzania Bara ni Profesa Mwesiga L Baregu, Ndugu Riziki Shahari Mngwali, Dkt. Edmund Adrian Sengodo Mvungi, Ndugu Richard Shadrack Lyimo, Ndugu John J Nkolo, Alhaji Saidi El Maamry na Ndugu Jesca Sydney Mkuchu.

Wajumbe wengine wa Tume hiyo kutoka Bara ni Profesa Palamagamba Kabudi, Ndugu Humphrey Polepole, Ndugu Yahya Msulwa, Ndugu Esther Mkwizu, Ndugu Maria Malingumu Kashonda, Mheshimiwa Al-Shaymaa J Kwegyir, Ndugu Mwantumu Jasmine Malale na Ndugu Joseph Butiku.

Wajumbe wa Tume hiyo kutoka Tanzania Visiwani ni Dkt. Salim Ahmed Salim, Ndugu Fatma Saidi Ali, Ndugu Omar Sheha Mussa, Ndugu Raya Suleiman Hamad, Ndugu Awadh Ali Saidi, Ndugu Ussi Khamis Haji na Ndugu Salma Maoulidi.

Wengine kutoka Visiwani ni Ndugu Nassor Khamis Mohammed, Ndugu Simai Mohammed Said, Ndugu Muhammed Yussuf Mshamba, Ndugu Kibibi Mwinyi Hassan, Ndugu Suleiman Omar Ali, Ndugu Salama Kombo Ahmed, Ndugu Abubakar Mohammed Ali na Ndugu Ally Abdullah Ally Saleh.

Shughuli za Tume hiyo zitaratibiwa na Sekretarieti ambayo Katibu wake atakuwa Ndugu Assaa Ahmad Rashid na Naibu Katibu atakuwa Ndugu Casmir Sumba Kyuki.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
07 Aprili, 2012

 
Judge Warioba Mwenyekiti Tume ya Katiba. Judge Ramadhani Makamu. Mvungi ndani, Kabudi ndani, Mkwizu ndani and ofcourse Baregu. Happy

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Sheriaya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,

Toleola 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________

UONGOZI WA JUU
1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA- Mwenyekiti

2.Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1.Prof. Mwesiga L. BAREGU
2.Nd. Riziki Shahari MNGWALI
3.Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
4.Nd. Richard Shadrack LYIMO
5.Nd. John J. NKOLO
6.Alhaj Said EL- MAAMRY
7.Nd. Jesca Sydney MKUCHU
8.Prof. Palamagamba J. KABUDI
9.Nd. Humphrey POLEPOLE
10.Nd. Yahya MSULWA
11.Nd. Esther P. MKWIZU
12.Nd. Maria Malingumu KASHONDA
13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
14.Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
15.Nd. Joseph BUTIKU

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA- ZANZIBAR

1,Dkt. Salim Ahmed SALIM

2.Nd. Fatma Said ALI

3.Nd. Omar Sheha MUSSA

4.Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5.Nd. Awadh Ali SAID

6.Nd. Ussi Khamis HAJI

7.Nd. Salma MAOULIDI

8.Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9.Nd. Simai Mohamed SAID
10.Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
11.Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
12.Nd. Suleiman Omar ALI
13.Nd. Salama Kombo AHMED
14.Nd. Abubakar Mohammed ALI
15.Nd. Ally Abdullah Ally SALEH

UONGOZI WA SEKRETARIETI
1.Nd. Assaa Ahmad RASHID- Katibu
2.Nd. Casmir Sumba KYUKI- Naibu Katibu



CHANZO-Neville C. Meena,(mabadiliko)
 
Wasiwasi wangu kwa jaji Warioba mara nyingi amekuwa akitetea na akipendezwa uwezo wa rais
 
Walau naona dalili za matumaini kwa hiyo timu lakini hofu yangu ni kuwa baada ya tume kupendekeza rais na serikali yake hawatachakachua? Kama alivyofanya mkapa
 
Mwenyekiti ni Jaji Joseph Warioba na Makamu wake ni Jaji Augustino Ramadhani.
Ina wajumbe 30 , 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Visiwani.

Katika timu hiyo wapo .
.Profesa Mwesiga Baregu,
.Dk Salim Ahmed Salim,
.Ndugu Joseph Butiku,
.Dk Sengodo Mvungi,
.Esther Mkwizu,
.Yahya Msulwa,
.Said El Maamry  N.K
What a wonderful combination..naanza kuipenda nchi yangu ghafla.
 
Shivji angefaa zaidi kuwa mwenyekiti zaidi ya Warioba.Nina wasiwasi kama Warioba atakubali kumpunguzia rais nguvu
 
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu wanasemaje kuhusu hii 'taarifa ya siri' toka Ikulu?
 
mbona hicho ni kikosi cha maangamizi? Kwa kuwa sio april fools ngoja niamini tu!
 
Back
Top Bottom