Bunge lapitisha mapendekezo ya Mwenyekiti na makamu wa NEC kupendekezwa na kamati ya usaili badala ya kuteuliwa na Rais moja kwa moja

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa ,Nguli wa sheria ,mwanamke jasiri na msomi wa sheria kuwahi tokea kutoka nyanda za juu kusini na Rais Wa umoja wa Mabunge Duniani yaani IPU Dr Tulia Acksoni Mwansasu limepitisha mapendekezo ya kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kutoteuliwa moja kwa moja na Rais .

Badala yake ni kuwa kutakuwa na utaratibu mpya ambapo sasa viongozi hao watapendekezwa majina yao kwenda kwa Mheshimiwa Rais na kamati ya usaili.

Ambapo katika miswaada ambayo mimi nilisoma awali ilionyesha wafuatao kuwa wajumbe wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye atakuwa mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa Zanzibar ambaye atakuwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na Utawala bora

Na wa mwisho ni mjumbe mmoja ambaye atateuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa na Rais Wa IPU De Tulia Acksoni Mwansasu limepitisha mapendekezo ya kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kutoteuliwa moja kwa moja na Rais . badala yake ni kuwa kutakuwa na utaratibu mpya ambapo sasa viongozi hao watapendekezwa majina yao kwenda kwa Mheshimiwa Rais na kamati ya usaili.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kamati ya usaili inaundwa na akina nani? Wanatoka sayari ya Mars au ni wateule wa Rais?
 
Wasichojua wengi, hata Tume igeuzwe vipi, nani apendekezwe na nani,bado watakuwa watu wa mfumo tu, hata akiamua achukue kwenye vyama vya siasa, sio lazima iwe chadema kwa kuwa sheria haikitaji, mfumo unaweza kuunda au unavyo vyama vyake, au watu wake ndani ya vyama, na hao ndio watapendekezwa na kuteuliwa.

Ni sawa na mzunguko wa maji au oil kwenye injini, yatazunguka, lakini yatakuwa ndani ya mfumo wa injini
 
Na hiyo kamati ya usaili itatoka wapi? Utaratibu gani wa kuipata?
Inaundwa na jaji mkuu wa jamuhuri ambaye atakuwa mwenyekiti,

jaji mkuu wa Zanzibar ambaye atakuwa makamu wa kamati ya usaili.

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na Utawala bora

Na mjumbe mwingine ambaye atateuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia.

Hii ni kwa mujibu wa miswaada iliyokuwa imewasilishwa bungeni na mheshimiwa waziri Mkuu
 
Kamati ya usaili inaundwa na akina nani? Wanatoka sayari ya Mars au ni wateule wa Rais?
Mkuu ukipata Muda pia Muulize kuwa hata Kipindi cha Nyuma kulikuwa na Tume ya Vetting ambayo ndo Mamlaka teule ya Rais ambayo ndo hufanya uteuzi kabla ya kupeleka jina lolote kwa rais..

Sasa kipi kimebadilika Au Jina la Kamati ya uteuzi na Kamati ya vetting au mamlaka za uteuzi imebadilishwa na kuitwa Kamati ya Usaili ndo tunacheka?

Jamani Wananchi tunatakiwa tusome sana kuondoa Adui namba mbili Anayeitwa Ujinga..

CC: Lucas mwashambwa
 
Nimeshajibu tayari swali lake alilouliza juu ya wajumbe wa kamati ya usaili.

Mkubali tu kuwa CCM Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu . Utaenda wapi usiikute CCM? Wapi ambako hakuna CCM na Wana CCM? Ni vipi unaweza ikwepa CCM? CCM inapendwa na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua ndio maana huwezi kuikwepa CCM na wanaccm.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa na Rais Wa IPU De Tulia Acksoni Mwansasu limepitisha mapendekezo ya kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kutoteuliwa moja kwa moja na Rais .

Badala yake ni kuwa kutakuwa na utaratibu mpya ambapo sasa viongozi hao watapendekezwa majina yao kwenda kwa Mheshimiwa Rais na kamati ya usaili.

Ambapo katika miswaada ambayo mimi nilisoma awali ilionyesha wafuatao kuwa wajumbe wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye atakuwa mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa Zanzibar ambaye atakuwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na Utawala bora

Na wa mwisho ni mjumbe mmoja ambaye atateuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kamati ya usaili inapatikanaje?,tuanzie hapo kuona kama itakuwa huru
 
Ndugu zangu Watanzania,

Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa ,Nguli wa sheria ,mwanamke jasiri na msomi wa sheria kuwahi tokea kutoka nyanda za juu kusini na Rais Wa IPU Dr Tulia Acksoni Mwansasu limepitisha mapendekezo ya kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kutoteuliwa moja kwa moja na Rais .

Sio mambo yaleee ya ukoo uleee🤔
 
Nimeshajibu tayari swali lake alilouliza juu ya wajumbe wa kamati ya usaili.

Mkubali tu kuwa CCM Ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu . Utaenda wapi usiikute CCM? Wapi ambako hakuna CCM na Wana CCM? Ni vipi unaweza ikwepa CCM? CCM inapendwa na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua ndio maana huwezi kuikwepa CCM na wanaccm.
Mkuu Mimi ni CCM damu!
Nimejiunga na CCM Toka mwaka 2008 mpaka leo..
Hapa nilipo natumia apps Ya CCM mwanachama hai na Nilishalipia Ada zangu zote..(Nimeshalipia Jumuia ya wazazi, Nimeshalipia Mchango wa kawaida CCM Sidaiwi miaka mitano yote mpaka mwaka 2027)

Na kwa bahati nzuri zaidi Ni mgombea wa Ubunge katika Jimbo fulani Chama cha mapinduzi japo sikufanikiwa kupata kura za Wajumbe..

Kwahyo mkuu Sio kila mtu anayehoji ukajua ni Chadema wengi tunataka kujua hasa mwelekeo wa Chama chetu tuliokipigania kwa muda mrefu,Ili kisiwe mali ya watu wachache..

Turudi kwenye swali langu sasa liko pale pale tubishane kwa hoja mkuu..
Screenshot_20240202_190543.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Bunge letu tukufu chini ya Dada wa Taifa ,Nguli wa sheria ,mwanamke jasiri na msomi wa sheria kuwahi tokea kutoka nyanda za juu kusini na Rais Wa IPU Dr Tulia Acksoni Mwansasu limepitisha mapendekezo ya kwamba mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kutoteuliwa moja kwa moja na Rais .

Badala yake ni kuwa kutakuwa na utaratibu mpya ambapo sasa viongozi hao watapendekezwa majina yao kwenda kwa Mheshimiwa Rais na kamati ya usaili.

Ambapo katika miswaada ambayo mimi nilisoma awali ilionyesha wafuatao kuwa wajumbe wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambaye atakuwa mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Jaji mkuu wa Zanzibar ambaye atakuwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya usaili.

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na Utawala bora

Na wa mwisho ni mjumbe mmoja ambaye atateuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Acheni mambo ya kujikuna wenyewe.
Kwani walio kuwa wame oendekeza hao wa mwanzo ni vyama vya upinzani au ni nyie nyie Ccm? Kusinge kuwa na kelele za upinzani wabunge wa mchongo walisha pitisha kama ilivyo kuwa ime pendekezwa.
Umemuona Jenister alivyo kuwa ana komalia mapendekezo yao? Hapa tuwape kongole wadau wa upinzani na sio maCcm
 
Back
Top Bottom