UTEUZI: Rais wa Zanzibar amemteua Jaji George Joseph kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

Azniv Protingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2020
264
405
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023.

Pia ameteua wajumbe mbalimbali wa tume hiyo; Jaji Aziza Iddi Suwedi, Ndugu Idrisa Haji Jecha, Ndugu Juma Haji Ussi, Ndugu Halima Mohamed Said, Ndugu Ayoub Bakar Hamad na Ndugu Awadh Ali Said.

1692894279440.jpg
 
Ahueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.

Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
 
Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
 
Dr. Mwinyi ni kiongozi fair sana, sioni ajabu kumteua Mgalatia mwenzetu kwenye nafasi nyeti kama hiyo.
Hajamteua sababu ya dini au minority kamteua kwa uwezo wake

Nyerere mzanaki alitoka kabila dogo kuliko yote Tanzania na katawala miaka zaidi ya 30

Wazanaki ni moja ya kabila ambalo liko njiani kufutika kwa ndoa za.mchanganyiko

Mikoa karibu yote sio.rahisi kumkuta mzanaki hawapo hata wakiwepo unawamulika kwa torch kujua kuna mzanaki mkoa ,wilaya au kata au kijiji NI kabila linakaribia kupotea hewani kwa ndoa za mchanganyiko

Lakini lilitoa Nyerere kwa uwezo wake sio kwa sababu alitoka kabila kubwa

Raisi Mwinyi yuko on the right track anateua watu Zanzibar post nyingi kubwa sio sababu wanatoka minority au majority Zanzibar anachojali uwezo tu sio dini kabila kubwa au dogo nk anaangalia uwezo tu

Hongera Raisi Mwinyi kwa Hilo
 
Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Acha kusifia wanaume wenzako,kwani huku bara watu wamekosa hadi uone huyo ndio anastahili vyeo tu.
Kwani tumezaliwa tutawaliwe na watoto wa viongozi wa zamani.
Kwani wewe huwezi ?
 
Ahueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.

Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
Wacha ujingaa
 
Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Malizaa
 
.
 
Ahueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.

Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
Akiri za namna hii hazina mchango kwenye maendeleo ya nchi
 
Back
Top Bottom