John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

nyangwine jamani anaunga mkono bajeti, lkn vitu vyote anavyoongea vinapingana na bajeti. Nyangwine unatia aibu
 
hakukuwa na haja ya kumtoa kwa kuwa hoja ya kikwete dhaifu yajulikana na kila mtu mwenye akili timamu.
 
Mnyika ametolewa bungeni kwasababu ya kutamka kwamba Rais Kikwete ni dhaifu,Hilo ni kosa kweli kama sio urais wa kifalme unaosemwa.
Nawasilisha
 
Ndugai anamatatizo swala la rais kuwa dhaifu mbona lipo wazi kabisa!alafu kingine cha ajabu mbona wabunge wa ccm wanaongea lugha za kuudhi na lukuvi nakaa kimya?ila wakiongea wabunge wa upinzani anasimama chap chap.
 
Kwa mtazamamo wangu, kama Lukuvi na Naibu Spika wangekaa kimya, hii kauli ya Mnyika kuhusu isingepata nguvu. Sasa hivi kila mtu atakuwa anamjadili rais na upo uwezekano wakakubaliana na Mnyika. Bad calculations ya Lukuvi na Ndugai!
 
mbunge wa jimbo la ubungo JOHN MNYIKA amemwita RAIS NI DHAIFU ambapo ni kinyume na kanuni za bunge....
Amellita bunge ni ZEMBE ....
Na KUKITAA CHAMA CHA MAPINDUZI NI UPUUZI...

Kwa hili mnyika umepotoka sanaaa....tumia hekima hata kama una uchungu na nchii hii,
 
Mnyika hajakosea kumwita rais kikwete kuwa ni dhaifu,hakuna mtu alie hodari ktk kila idara,yawezekana alikuwa na sababu ya kumwita dhaifu rais kwa sababu zake,Bunge lingemsikiliza,kwa upande wangu Bunge halikumtendea haki.
 
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!

Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.

Peopleeeeeeeeeezz nimeipenda hiyo kamanda Mnyika kweli nimeamini Mbunge mmoja wa Chadema ni sawa na Wabunge 100 wa CCM. Myika amesimamia kauli yake na ametoka bila kuguswa.
 
sijui bunge linatupeleka wapi... mmoja akitukana sawa, mwingine la hasha
 
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!

Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.

Katika chama cha CHADEMA mtu makini ni mmoja tu Zitto.
Huwezi kuenda nje ya mada na kuanza kusema raisi dhaifu duniani kote watu wanakutazama na wewe ni mbunge wa Ubungo. Wewe Mnyika umekuwa mtu mtovu wa nidhamu, ndio chama chako mnavyotaka?
Hivi sasa bunge limekuwa sehemu ya kupiga porojo?
Nyie watu wa CHADEMA mnadhani nchi hii ni yenu tu?
ninaona mmeanza kulewa madaraka.
Wewe mnyika jifunze kutumia nidhamu. Mbungeni sio sehemu ya mipasho.
Kama huelewi waulize wengine.
 
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!

Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.


Hizi kanuni za Bunge la Chama Cha Magamba-CCM inakuwaje?

Yaani mtu kusema kuwa RAIS NI DHAIFU ni kosa kweli la kumtoa Mbunge nje ya Bunge?? Kwa maana hiyo hata Naibu Spika ni DHAIFU!!! Watanzania wengi wanajua kuwa RAIS KIWETE NI DHAIFU na siyo siri!!!

Hivi kama Mbunge yeyote angelisimama na kusema kuwa Rais Kiwete ni IMARA sana mibunge yote ya CCM ingelipiga meza kwa furaha. Ni mtazamo tu. Mtu mwingine anasema ni KIONGOZI IMARA na mwingine anamwona kinyume chake yaaniFF KIONGOZI DHAIFU. Kosa liko wapi???

Kama Rais amekaa madarakani kwa miaka 7 mpaka sasa lakini AMESHAVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI MARA 2 kama siyo UDHAIFU ni kitu gani???? Ukweli lazima usemwe ingawa unauma.

Naibu Spika Ndugai acha upuuzi huo!
 
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!

Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.

KIkwete SI TU NI DHAIFU ILA NADHANI ANA MTINDIO WA UBUNGO.HANA TOFAUTI NA FARU MWIGULU,LUSINDE NA MBUNGE WA DOLE.....NI WADHAIFU NA HATA WAO WANAJUA.CCM HAMNA SERA NDO MAANA MNATIBUKA KWA HOJA ZA MSINGI ZA CDM
 
Hali imeendelea kuwa mbaya Mjengoni Dodoma baada ya Mh. John Mnyika kuamriwa kutoka nje ya kikao cha bunge kwa sababu wakati akichangia hoja alisema kuwa Rais Kikwete ni dhaifu,CCM imejaa upuuzi mtupu,alipotakiwa kufuta kauli hizo aligoma ndipo rungu la Naibu Spika likamashukia.
 
duh lyatonga anakumbushia barabara ya kwao, naona ameamua kuachana na vijembe. Wabunge wa ccm wanafiki sana! Wa kwanza zee la gombe aka wassira, wa pili Lukuvi wewe Lukuvi jimbo lako 2015 lazima chadema tuchukue ili uone jinsi tunavyokubalika
 
Back
Top Bottom