Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,348
nyangwine jamani anaunga mkono bajeti, lkn vitu vyote anavyoongea vinapingana na bajeti. Nyangwine unatia aibu

Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
Ndiyo Rais ni dhaifu, wabunge ni wazembe na ccm ni wapuuzi. Nitoeni nje ya mtandao.
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu!
Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
nyangwine jamani anaunga mkono bajeti, lkn vitu vyote anavyoongea vinapingana na bajeti. Nyangwine unatia aibu
nakupa tano mbunge wangu....wembe ni ule ule