John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

Iiiiih, .....aisee mpewa kazi ngumu sana kuitetea hii kitu!!

Yaani mpaka sasa mna alama chini ya 10% dhidi ya mnaokomoana nao!!

Na kwani, hili limefanyika kumbe kwa ajili ya kuwakomoa CHADEMA siyo?


Na hivi CHADEMA kwani wako wangapi nchi hii eti?

This is a wrong move at a wrong time!!

Barbarosa waambie hawa unaowaunga mkono, hili litawa cost sana muda si mrefu.

Kwa sbb iwe isiwe upepo wa mabadiliko haurudi nyuma bila kujali obtacles zozote zile, utawapitia na kuwasomba tu no matter what obstacles you will put on the way!!


Hakuna kitu kama hicho, WatanZania wengi wala hawana mpango na kuangalia Bunge live sasa hivi wako kwenye shughuli zao za kujipatia kipato na mwisho wa siku wataihukumu Serikali ya V kama itakuwa imetimiza yale iliyoyaahidi au ala na siyo kuangalia Bunge live muda wa kazi!
 
Hakuna kitu kama hicho, WatanZania wengi wala hawana mpango na kuangalia Bunge live sasa hivi wako kwenye shughuli zao za kujipatia kipato na mwisho wa siku wataihukumu Serikali ya V kama itakuwa imetimiza yale iliyoyaahidi au ala na siyo kuangalia Bunge live muda wa kazi!
sisi huku hai kwa MBOWE tunapalilia robo kwa sasa inafikia 16000/= sasa nashangaa wanaokomaa na bunge , hata huo muda wa kufikiria kuna bunge haupo sembuse kuangalia
 
Katika bunge la leo .. Mheshimiwa john mnyika amesema kuwa rais jakaya mrisho kikwete kuwa ni dhaifu.. Na ccm na wabunge wake ni wazembe..kwa utendaji kazi wao.. Mi binafsi namuunga mkono asilimia mia na hamsini... Nin mtazamo wako..? Na tathmin yako? Bunge lenu kwa kuwa ni FAKE.. LIMEAMUA KUMTOA NJE MHESHIMIWA MNYIKA KWEL N HAKI?
Yule naye aliyemuita rais wa sasa dikteta na kumtangazia siku za kuishi? Tukubali, wanadam ukifanya zuri, watakupondo, ukifanya baya watakuponda. Ndio ubinadam
 
Mtu akiwa mwanademokrasia munamuita dhaifu.... kaja mjomba wa kunyoosha ooooh anakaza alegeze...

Acheni izo..
Mambo yakienda kombo yaache usiende nayo
 
Miaka 7 tumekuwa na raisi goi goi, lege lege, dhaifu, mwenye mawazo mfu! Nchi ipo kwenye auto pilot hadi lini? Uingereza wasiishie kurudisha FARU tu watuletee na RAIS tulkiye naye anakichwa cha nazi. Asante sana Mnyika sidhani hakuna asiyejua umesema kweli. Huyu kwere ni mtu wa mizaha tu.....Bravo Mnyika ....mumesahau huyu raisi aliaguka jangwani kwa udhaifu?
Leo mnamlilia?? nyie watu ni wanafki sana
 
Sijaelewa imani ya Zitto Kabwe ipo upande upi, nimeona akishangili kitendo cha kutolewa nje Mh Mnyika, ame RT moja ya TWEET kama hii:
Zittokabwe: RT @Vannmoo: Nidhamu ni kigezo kimojawapo katika siasa za kiungwana,alichokifanya Mnyika sio hekma na sikutegemea kabisa kutoka kwake.
Huyu zito Alimponda Nasari lkn leo anamuunga mkono Assad. UNAFKI NI HATARI KULIKO UCHAWI.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Mnyika nilikuwa namuona kama kijana makini lakini leo kaniangusha kwa utovu wa nidhamu, sasa kama Rais ni dhaifu kwa nini ulienda Ikulu.
Vipi na Yule anayesema Bunge ni dhaifu yuko sahihi?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Back
Top Bottom