Asante sana Bwana ANJOA CPN kwa ushauri wako mzuri.
Sijaelewa unaposema Katiba.
Najua Memorandum and Articles of Association ndio inayofungua kampuni hasa kwa mfano ya mtu na mke wake. Hiyo katiba ni lazima iwepo?
Gharama za brela zimeongezeka kuanzia july 1 2015 ,nitaziweka hapa hivi karibuni kwa kuanzia mtaji mdogo mpaka mkubwa zaidi kwa upande wa limited company by share capital,company by guarantee without share capital na business names + returns
Asante sana Bwana ANJOA CPN kwa ushauri wako mzuri.
Sijaelewa unaposema Katiba.
Najua Memorandum and Articles of Association ndio inayofungua kampuni hasa kwa mfano ya mtu na mke wake. Hiyo katiba ni lazima iwepo?
Mkuu Anjoa hebu niweke wazi hapa, majina haya yanakubalika kuwa business name?
1)kawe procesing company
2)migomba company
3)migomba enterprises
kama yanakubalika vipi nayo lazima uainishe mtaji? je madhara ya kuandika mtaji mdogo ni upi?
Nadhani alikosa tafsiri nzuri ya kiswahili lakini nadhani alimaanisha Memorandum and Articles of association maana vitu hivi ni kama katiba
Nahisi tu hivyo wanaweza kujibu wenyewe
hapo kwenye taasisi za mikopo nahitaji msaada wa maelezo flani flani ila ningependa kujua km kuna gharama kwa ajili ya hyo huduma ni kiasi gani?
na mimi nahitaji kuzifahamu
0753 125 474.....wanajamvi kuna huyu mdau kanitapeli na wadau wangu watatu tulimpa laki sita sita....wiki ya tatu sasa hapokei simu...na office yake magomen kafunga....alikuwa yanapatikana CRDB Lumumba nako imekuwa shida kumpata......ilkuwa atufanyie mchakato Wa kufungua kampuni brela na kuandika mkataba Wa kampuni