Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mimi ndiye Singo ambaye member Qsm ametoa ushuhuda wa kumsajilia jina la biashara(bisinessname).Business name nitakufanyia 40,000/=Tshs only,gharama ikijumuisha na gharama ya brela ambayo ni sh 6000/=tu,ndani ya week mbili kazi inakamilika na unapata Certificate of Registration.

Pia ninauzoefu wa kuandaa Memorundum and Articles of Association ya kampuni ya aina yoyote ile ilimradi tu haipingani na Companies ACT 2002

SPECIAL FEED BACK :JF MEMEBERS NILIOWASAJILIA BUSINESSNAMES NA COMPANY LIMITED 2013-2014
(nime nukuu my own thread kwa ambao hawajaweza kuisoma)


Gharama za usajili wa Company Limited by Shares

capital 200,000---------not more than 500,000 = Tsh 111,200(registration,filling fee +stamp duty)

'' 500,000---------not more than 1,000,000 = '' 141,200 ''

'' 1000,000------- '' 2000,000 = '' 161,200 ''

'' 2,000,000------ '' 3000,000 = '' 181,200 ''

'' 3000,000------- '' 5000,000 = '' 211,200 ''

'' 5000,000------- '' 10,000,000 = '' 241,200 ''

'' 10,000,000----- '' 30,000,000 = '' 262,200 ''

above 30,000,000 na kuendelea = '' 361,200 ''

NB; Gharama hizi ni kwa mujibu wa Brela, pia ikiwa umewasilisha vitabu vitatu(Memorandum and Articles of Association),ukiwasilisha vitabu zaidi ya viatatu, bei yake itaongezeka sh 5000,kwa kila kitabu ( for stamp duty)

Malipo yangu

nitakuchaji 180,000 ,mpaka unapata Certificate of Incorporation. Kazi niatazokufanyia itajumuisha kuandika barua ya Company Name Search(kwa kawaida majibu hutoka baada ya siku tatu) ,kuandaa vitabu vitatu(Memorandum) ambavyo vinagongwa na wanesheria sehemu 6 ambazo Directors mmesaini kugawana share za company, maelekezo ya ujazaji wa form itayoambatana na vitabu na gharama za ufuatiliaji mpaka document ina kamilika ambayo kwa uzoefu wangu ndani ya week mbili usajili unakuwa umekamilika
.

kama vitabu mtataka viwe vingi gharama zangu zitaongezeka kidogo,sababu gharama za printing na binding zitaongezeka,pia gharama nitazowalipa wanasheria zitaongezeka
Mkuu ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata nikitaka kusajili COMPANY LIMITED na je gharama zake ni shilingi ngapi?
 
gharama nimezianisha,na uzi huu una kila kitu,labda kwa msaada zaidi nipigie no yangu
 
Waheshimiwa naomba msaada wenu!

Nahitaji kufahamu namna ya kusajili biashara/jina la biashara BRELLA hatua kwa hatua
Nawasilisha
 
Waheshimiwa naomba msaada wenu!

Nahitaji kufahamu namna ya kusajili biashara/jina la biashara BRELLA hatua kwa hatua
Nawasilisha

mkuu ukisoma huu uzi utapata kufahamu yanayohitajika. ukitaka kusajili kampuni limited kwa siku tatu za kazi (3 working days) nitumie PM
 
Company isiyokuwa limited ,hiyo itakuwa katika kundi la business name, gharama za businessname ni 6000 tu, na kwa nyie mlioko mkoani ,aidha unitumie mimi nikusjilie ambapo itabidi unipatie 40,000 tu kukusaidia kukusajilia na ufuatiliaji ama uje wewe Dar na ufanye mwenyewe usajili(hii itagharimu zaidi na nisingekushauri).kuna form maalum ya usajili, na kuna taarifa muhimu nitahitaji kupata kutoka kwako.

Kwa kunifahamu zaidi kwa maswala ya usajili pitiaprofile yangu,kisha utakutana feedback ya jf members kadhaa wa sehemu tofauti tofauti niliowasijilia.Pia waweza nipigia kwa na yangu 0712 74 22 33

ndugu yangu na mim nimekusoma kwa upande wataratibu zakusajil kampun ila naomba unibrief juu ya taratibu za biashara yenyewe mfano mim nataka niwe wakala wa bima za vyombo vya moto e.g pikipiki sasa nashndwa nianzeje? nipo iringa(0752344830)
 
ndugu yangu na mim nimekusoma kwa upande wataratibu zakusajil kampun ila naomba unibrief juu ya taratibu za biashara yenyewe mfano mim nataka niwe wakala wa bima za vyombo vya moto e.g pikipiki sasa nashndwa nianzeje? nipo iringa(0752344830)
sina ufahamu wa biashara ya uwakala wa BIMA, ila nitajipa muda wa kufuatilia na nitakujulisha kwa namba yako.
 
1.Kampuni nzuri kwa ajili ya kazi ndogondogo za tender hasa stationery ni ipi.
2. Pia ipi athari ya kuwa na limited company. Je gharama zinakuwa kubwa zaidi au?
3.Aina ipi ya kampuni inakaguliwa hesabu zake?
4.Je nikioadiriwa kiasi kikubwa cha kodi ya mapato nikashindwa nifanye nini.
5. Pia kama nilikosea nikasajili limited company nataka niibadili kama sole proprietorship nifanyeje? Naomba msaada wenu wapendwa.
 

okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

BUSIMINET COMPANY LIMITED

Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com

BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, School, Colleges, NGO’s, Succoss and Company registration.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals

IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance



Business in the smooth environment ensures growth


 
Nataka nisajili kampuni kwa jina 'MARTTHOM FRUITS & VEG, nataka mimi na mke wangu tuwe ndo wenye kampuni, nina watoto 2 wa kiume mmoja ana miaka 3 na mwingine mwaka 1, tataka kulima nyanya kisasa ikiwezekana ku-export ulaya, naomba wanaojua waje
 
Nakushauri Utakapoenda Hapo Brela Usije Ukataja Hilo Jina La Kampuni Unalolitaka Wewe,we Nenda Tu Jina La Kampuni Mtajadiliana Na Watakuchagulia, Hilo Unalolitaka Wewe Huenda Lishasajiliwa Na Kuna Mtu Analitumia Katika Kampuni Yake,ni Hayo Tuu
 
Nakushauri Utakapoenda Hapo Brela Usije Ukataja Hilo Jina La Kampuni Unalolitaka Wewe,we Nenda Tu Jina La Kampuni Mtajadiliana Na Watakuchagulia, Hilo Unalolitaka Wewe Huenda Lishasajiliwa Na Kuna Mtu Analitumia Katika Kampuni Yake,ni Hayo Tuu
Jina la kampuni unaenda nalo mwenyewe. Kama tayari Lishasajiliwa utaambiwa. Cha msingi ni kujiandaa na majina mengi ili likishindikana la kwanza uangalie jingine
 
Nataka nisajili kampuni kwa jina 'MARTTHOM FRUITS & VEG, nataka mimi na mke wangu tuwe ndo wenye kampuni, nina watoto 2 wa kiume mmoja ana miaka 3 na mwingine mwaka 1, tataka kulima nyanya kisasa ikiwezekana ku-export ulaya, naomba wanaojua waje

hao watoto hawana sifa ya kuwa directors kwa sababu umri wa directors kwa mujibu wa companies act 2002 ni kuanzia miaka 21 hadi 69, ila wewe na mke wako sawa, jina la company kuna uwezekano likapitishwa brela na ukalitumia , kama utahitaji msaada zaidi nitafute
 
okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam
Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com

BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, School, Colleges, NGO’s, Succoss and Company registration.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals
IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance


Business in the smooth environment ensures growth




 
okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam
Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com

BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, School, Colleges, NGO’s, Succoss and Company registration.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals
IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance


Business in the smooth environment ensures growth





Naona watwanga kotekote kama Zantel. From AC installation to business proposal!!! Duh
 
Gharama za brela zimeongezeka kuanzia july 1 2015 ,nitaziweka hapa hivi karibuni kwa kuanzia mtaji mdogo mpaka mkubwa zaidi kwa upande wa limited company by share capital,company by guarantee without share capital na business names + returns

Updates....

Mtaji usiozidi million 1
95000+66000+16200(registration+filling +stampduty)=177200

Mtaji zaidi 1,000,000-5,000,000
175000+66000+16200=257200

Mtaji zaidi ya 5,000,000-20,000,000
260000+66000+16200=341200

Mtaji zaidi ya 20,000,000-50,000,000
290000+66000+16200=371200

Na mtaji zaidi ya milioni 50 mpaka kiwango chochote zaidi
440000+66000+16200=522200

Na kwa company zisizo na mtaji kwa jina lingine company by guarantee without share capital(charitable company
3,000,000 +66000+16200=382200

NB: memorandum zaidi ya nakala 3, kila itayozidi italipiwa 5000 kama gharama ya stampduty hivyo ktk hiyo 16200(stamp duty) utajumlisha na hiyo 5000 kea kila nakala itayoongezeka

Naweza kufanya kazi ya kukupa ushauri bure ,kuandaa nyaraka husika na ufuatliaji mpaka usajili unakamilika 0712742233 tuwasiliane
 
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUSAJILI KAMPUNI
1. Jina. Unapotafuta jina jitahidi jina liwe linatamkika kirahisi ili isikusumbue katika marketing lakini kikubwa ni maana ya jina. Kuna maneno mengine ni matusi kwa lugha nyingine, hivyo jitahidi sana kufanya utafiti wa kina wa jina hilo.

2. Mtaji: Maamuzi ya mtaji kiasi gani kiandikishwe ni jambo la msingi sana. Wengi hupenda kuweka mtaji mdogo ili kupunguza gharama za usajili na kodi, vema, lakini hicho kisiwe kigezo mama cha kukuamulia mtaji uwe kiasi gani. Tambua kwamba mtaji unawakilisha ukomo wa kuwajibika kwa kampuni katika wajibu wake.

3. Wanahisa: Wanahisa mnatakiwa kuwa watu mnaofahamiana vema, wenye mrengo unaofanana na mnaelewana. Tofauti na hilo itasababisha kuchelewa kwa maamuzi muda wote na kuhatarisha ustawi wa biashara.

4. Uandishi wa katiba: Ni hatari kutegemea mtu yeyote asiye na utaalam wala ujuzi wa kuandika katiba akuandikie. Kibaya zaidi wengine huandika wao wenyewe hata kama hana utaalam na uzoefu huo. Hata kwa wanasheria, si kila mwanasheria anaweza kukuandikia katiba iliyo standard. Kitu kibaya zaidi watu hudhani kwamba unaweza kuchukua katiba yoyote na kubadili majina tu kisha ukaendelea na usajili. Hawaangalii mpangilio wa maneno na malengo, hawazingatii kama katiba ina vipengele vya kuruhusu mambo Fulani Fulani kufanyiwa mabadiliko, Hawazingatii ni namna gani founders wanalindwa na katiba, na mengine mengi. Hivyo unashauriwa kuwatumia wataalam wenye uzoefu kufanya kazi hiyo.

Kwa huduma za uhakika na weledi katika masuala hayo yote, waone Anjoa company limited. Pia tunatoa usaidizi katika kusajili NGO, Huduma za kihasibu, kuandika michanganuo ya biashara, na usaidizi kwa wale wanaotaka kuanzisha taasisi za mikopo n.k Wasiliana nasi kwa namba 0759-692024 au 0688-510564, Email: anjoa_limited@yahoo.com, website: www.anjoa.co.tz au fika ofisini kwetu Dar es Salaam kinondoni –manyanya, mtaa wa Togo, Jengo la Tiger tower ghorofa ya pili.
 
Back
Top Bottom