Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kwa mfano ninataka kufungua kampuni moja ila iwe na biashara tofauti tofauti. mfano niwe na duka la nguo, pharmacy, milling company etc. lakini zote ziwe chini ya kampuni moja. natakiwa kusajili vipi huko brela?
 
HI wakuu
nimefanikiwa kuserach jina brela nikapata approval ya jina moja ivi...sasa wananiambia nilipe fee ya 50,000 tshs kama ada ya kushikilia jina kwa siku 60..kuna haja ya mimi kufanya hivyo>?or else what should i do next ili kupata certificate yangu
 
ORLFLAME ORLFLAME,inakupa nafac ya kuwa mrembo/mtanashat,kuvuta mkwanja na kufurahia maisha.mawasiliano 0657438139
 
HI wakuu
nimefanikiwa kuserach jina brela nikapata approval ya jina moja ivi...sasa wananiambia nilipe fee ya 50,000 tshs kama ada ya kushikilia jina kwa siku 60..kuna haja ya mimi kufanya hivyo>?or else what should i do next ili kupata certificate yangu
Ulifanikiwa?,kama ulikutana na ugumu/ulikwama niulilize
 
Kusajiri kampuni kwa tz,ni rahisi sana,ila nchi za nje ni gharama kubwa,mfan msumbiji,mm nmekuja na kampuni tayar na kampun ambyo imesajiriwa Tanznia,mwanasheria anataka zaid ya em moja kukusaidia,lugha ni kikwazo kama kireno ujui,unaweza ukachukua mwaka kusajiri kampun moja,sheria kibao,sasa me nadhan tz,sio sana,huku una maliza mamilion kusajil kampun 1.ila nguvu ya kibiashara ipo juu.sio kama tz.ika ukisema nataka kufungua kampun,wanajua wewe ni bilionare,cz0 huku weng hawasajir,n kutumia majna bnafsi,wale kutoka Asia na s.africa ndio wanajisajhr,wengne ni wazamiaji tu.
 
HI wakuu
nimefanikiwa kuserach jina brela nikapata approval ya jina moja ivi...sasa wananiambia nilipe fee ya 50,000 tshs kama ada ya kushikilia jina kwa siku 60..kuna haja ya mimi kufanya hivyo>?or else what should i do next ili kupata certificate yangu
Mkuu,kushikilia jina ndiyo kitu gani..? By the way kama upo Dar kwanini usiende ofsin moja kwa moja ukajihakikishie?
 
Faida za limited liabilities kulinganisha na partnership ni :-

- Ikitokea hasara kama kushindwa kesi mahakamani Mshindi (Decree Holder) anaweza kuuza hata mali zako binafsi maana ni unlimited.

- Kwenye kodi ni kampuni tu ndiyo linatozwa kodi kinyume na aina nyingine ya uendeshaji biashara ambapo kila mtu anatozwa kodi.

- Kutofautishwa kati ya kampuni na wana hisa hivyo kampuni inahuishwa kama mtu (legal personality) na kufanya kazi mbali na wana hisa.

- Kampuni linaweza kuendelea kufanya biashara hata kama wana hisa wakiondoka au kufa mpaka litakapo katizwa aidha kwa makubaliano ya wanahisaa (Voluntary Wounding up ) au kwa amri ya mahakama .

- Kusajili ni mhimu maana unajipambanua zaidi ki weledi kwenye biashara yako hivyo unafungua fursa zaidi katika kukua au kupata mitaji i.e mikopo n.k na kujitofautisha na biashara isiyo rasmi (informal sector).

- Usajili wa kampuni mpaka kuanza biashara unachangamoto na mahitaji mengi mfano unatakiwa kuonyesha kodi ya pango ya ofisi iliyopo au kama umelipa kodi ya nyumba (property tax), barua kutoka kwa mtendaji.
Kitu ambacho tunatakiwa kupambana navyo ni kukatwa kodi kabla ya biashara haijaanza ukiwa unasubiri TIN wakati kuna biashara kupitia TIC wanapewa tax holiday ya miaka mitano. Mimi naamini wananchi nao wangefikiriwa jinsi ya kuondolewa gharama za ufunguzi wa biashara pamoja na kuwapa msamaha wa kodi kwa mda ili wakomae kibiashara.
 
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

-------------------------------------
Brela ndio wanahusika
 
HI wakuu
nimefanikiwa kuserach jina brela nikapata approval ya jina moja ivi...sasa wananiambia nilipe fee ya 50,000 tshs kama ada ya kushikilia jina kwa siku 60..kuna haja ya mimi kufanya hivyo>?or else what should i do next ili kupata certificate yangu

Matapeli hao ingia website ya brela unafanya search ya jina la biashara au kampuni yako online kisha jina likikubalika wana kuambia ukalipie benki tsh 20,000 tu. Kama jina halijakubalika inaonyesha hapo hapo. Hii ni information age kama hauko well informed utapigwa sana na matapeli.
 
Urban86 katika company name clearance kuna kuwa na option ya reserve ikiwa wewe muhusika hauitaji kusajili hivi karibuni kwa jina hilo la company lililopitishwa na muda huohuo unahitaji brela wakutunzie kwa muda fulani,system haiwezi fanya utapeli kwa kutoa hiyo option ya kulipia reserve name ni maamuzi yako kama uta reserve ama la ,ndipo hiyo fee hutokea ila sio lazima kufanya hivyo na jina lako baada ya muda flani litakuwa huru kwa mtu yoyote kuliomba na hautakuwa na haki ya kulalamika kama haukureserve.Kwa upande wa Businessname hakuna fee ya ku reserve.
 
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

-------------------------------------
Hello Ndugu, Tafuta wanasheria na hasa wenye uzoefu na hizo kazi watakusaidia kukupa mwongozo. Hata ukienda brela huwezi kupata taarifa zote na kwa ufafanuzi maana wana watu wengi wanaowahudumia.
 
Ni vigumu kusajili company bila kua na mwanasheria,utaibiwa tu bure,hata hivo sio bei sana kusajili company,usijidanganye kua ukienda brela ndo utafanikisha kusajili on our personal capacity,mambo hayako hivo.
 
Back
Top Bottom