Usajili wa Kampuni Brela

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
232
180
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina linakuwepo kwa ajili ya usajili.

Halafu hata CEO au MSAJILI wa BRELA hapatikani kuonoda sintofahamu inayojitokeza.
 
Mkuu, kiutaratibu ni lazma ufanye 'name clearance' kabla ya kuanza usajili ili kijiridhisha kuwa jina unalotaka kutumia halina ufanano na jina lingine. Huo ulikua ni wajibu wako na ulipaswa kulifanya na jambo hilo huweza kifanyika katika mfumo wao.
Uzuri wakikukatalia kwenye jina hutoa na sababu ambayo wewe mwenyewe unaweza kuithibitisha
 
Mkuu haya unayoyasema siyo mageni kwangu. NAME CLEARANCE siyo hoja yangu. Hoja yangu ni kwa nini hata baada ya jina kuwa cleared from their portal bado wanakwambia kuna jina linafanana na hilo. Na ukumbuke kwamba baada ya name clearance unaingia gharama nyingi ikiwa ni pamoja na gharama za mwanasheria ku-sign au ku-certify MEMARTS kwenye sehemu inayotakiwa na kutengeneza muhuri kwa ajili ya kugonga form zao unazozipata online.

Unakuwa umepita name clearance stage vizuri kabisa. Wanapokataa usajili baada ya name clearace inabidi urudie hatua zote hizo na kulipa gharama upya ikiwa ni pamoja na kutengeneza muhuri. Muhuri unatakiwa ugongwe kwenye form kabla ya usajili. Muhuri wa kawaida au SEAL ni kama sahihi ya kampuni. Wewe uliona wapi kampuni ambayo ni non-existent ikawa na muhuri. Kwa ajili ya usajili BRELA hili linawezekana. Unakuwa na muhuri hata kabla ya kusajiliwa! Hii ni ajabu sana. Tatizo hili limempata rafiki yangu na linaonesha BRELA kutokuwa na weledi au umakini katika kutimiza majukumu yao.

Imagine unaambiwa TEMBO LIMITED ni sawa na ELEPHANT BREEDERS LIMITED. Hao ndiyo BRELA.
 
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina linakuwepo kwa ajili ya usajili.

Halafu hata CEO au MSAJILI wa BRELA hapatikani kuonoda sintofahamu inayojitokeza.
Habari, wasiliana na kituo cha miito BRELA kupitia namba 0222 212 800 ukiwa na namba ya ombi lako (tracking number) kwa msaada zaidi.
 
Eleza hapa kama kuna tofauti kati ya TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED. Hii ndiyo muhimu ili na wengine waelimike.
 
Mkuu mbona hujibu hoja? Kumwambia mtu apige simu huo msaada, ilibidi usome uelewe then umjibu na sio kusema kipiga simu! Na hata hiyo simu uliyotoa wenda ukiipiga haipokelewi
 
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina linakuwepo kwa ajili ya usajili.

Halafu hata CEO au MSAJILI wa BRELA hapatikani kuonoda sintofahamu inayojitokeza.
Mimi kwa uelewa kiasi wa maswala hayo kama utakaja kusajili jina fulani la Biashara au Kampuni inabidi kwanza ufanya name seach uone kama kuna ufanano au lah kama lipo lilishasajiliwa huwezi kupata... hiyo so kwako tu.

na kama ni Kampuni unataka kusajili kwa muda ujao wewe unapashwa kufanya name reservation yaani uhifadhi jina hilo ndani ya siku (60) na ulipie gharama husika jina hilo halitasajiliwa na mwingine

#kwahiyo sisi kama wadau tunataka kusajiliwe kampuni ambayo zipo tayari kwenye kanzidata? zingine ni chuki tu.
 
Mkuu haya unayoyasema siyo mageni kwangu. NAME CLEARANCE siyo hoja yangu. Hoja yangu ni kwa nini hata baada ya jina kuwa cleared from their portal bado wanakwambia kuna jina linafanana na hilo. Na ukumbuke kwamba baada ya name clearance unaingia gharama nyingi ikiwa ni pamoja na gharama za mwanasheria ku-sign au ku-certify MEMARTS kwenye sehemu inayotakiwa na kutengeneza muhuri kwa ajili ya kugonga form zao unazozipata online.

Unakuwa umepita name clearance stage vizuri kabisa. Wanapokataa usajili baada ya name clearace inabidi urudie hatua zote hizo na kulipa gharama upya ikiwa ni pamoja na kutengeneza muhuri. Muhuri unatakiwa ugongwe kwenye form kabla ya usajili. Muhuri wa kawaida au SEAL ni kama sahihi ya kampuni. Wewe uliona wapi kampuni ambayo ni non-existent ikawa na muhuri. Kwa ajili ya usajili BRELA hili linawezekana. Unakuwa na muhuri hata kabla ya kusajiliwa! Hii ni ajabu sana. Tatizo hili limempata rafiki yangu na linaonesha BRELA kutokuwa na weledi au umakini katika kutimiza majukumu yao.

Imagine unaambiwa TEMBO LIMITED ni sawa na ELEPHANT BREEDERS LIMITED. Hao ndiyo BRELA.
Jina halitakiwi kufanana kimaana, kimatamshi, au kimaandishi sasa nikiuliza swali la kizushi nini maana ya ELEPHANT kwa kiswahili nipe jibu kimya kimya na ufanano katika name clearance walau uwe ni chini ya asilimia tano unashauriwa hivyo.... au wapigie kituo chao cha miito

zaidi nipe Tafsiri ya neno TEMBO kwa lugha ya kimombo pasina shaka utasema ni ELEPHANT, hapo ndo utafahamu kuwa walikuwa sahihi kutosajili Jina ambalo lilisha sajiliwa kwa kumlinda aliyewahi

ukichukuwa TEMBO LIMITED NA HIYO ELEPHANT BREEDERS LIMIDET HAPO TOFAUTI NI NENO BREEDERS TU.

KUPITIA HIYO HIYO TEMBO WAWEZA ONGEZA VITU VINGINE NA JINA UKAPATA NI USHAURI TU.
 
Eleza hapa kama kuna tofauti kati ya TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED. Hii ndiyo muhimu ili na wengine waelimike.
Habari, TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED ni majina ya kampuni tofauti ambayo yote yanaweza kusajiliwa endapo majina haya hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampuni.
 
Habari, TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED ni majina ya kampuni tofauti ambayo yote yanaweza kusajiliwa endapo majina haya hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampunij
Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA.
Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina linakuwepo kwa ajili ya usajili.

Halafu hata CEO au MSAJILI wa BRELA hapatikani kuonoda sintofahamu inayojitokeza.
Habari, majina ya kampuni yanaweza kusajiliwa BRELA endapo majina husika hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampuni, hakikisha unafanya kwa usahihi huduma ya uangalizi wa jina la kampuni yako kabla ya kutuma maombi ya usajili wa kampuni husika.
 
Habari, TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED ni majina ya kampuni tofauti ambayo yote yanaweza kusajiliwa endapo majina haya hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampunij

Habari, majina ya kampuni yanaweza kusajiliwa BRELA endapo majina husika hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampuni, hakikisha unafanya kwa usahihi huduma ya uangalizi wa jina la kampuni yako kabla ya kutuma maombi ya usajili wa kampuni husika.
Mkuu nna cash 2mil je kwenye usajili wa kampuni nnaweza kuweka mtaji kama 100mil badala ya 2mil niliyonayo cash?
 
Social Media Banner.jpg

For services on Business names & Company Registration, contact us.
 
Mimi kwa uelewa kiasi wa maswala hayo kama utakaja kusajili jina fulani la Biashara au Kampuni inabidi kwanza ufanya name seach uone kama kuna ufanano au lah kama lipo lilishasajiliwa huwezi kupata... hiyo so kwako tu.

na kama ni Kampuni unataka kusajili kwa muda ujao wewe unapashwa kufanya name reservation yaani uhifadhi jina hilo ndani ya siku (60) na ulipie gharama husika jina hilo halitasajiliwa na mwingine

#kwahiyo sisi kama wadau tunataka kusajiliwe kampuni ambayo zipo tayari kwenye kanzidata? zingine ni chuki tu.
Soma vizuri ujielimishe kilichoandikwa toka mwanzo upata nafasi nzuri ya kuchangia. Chuki ya nini?
 
Habari, TEMBO LIMITED na ELEPHANT BREEDERS LIMITED ni majina ya kampuni tofauti ambayo yote yanaweza kusajiliwa endapo majina haya hayapo kwenye kanzidata ya msajili wa makampuni.
Sahihi kabisa. Wale wachangiaji (those who misdirected themselves) wanacho cha kujifunza kutokana na hili jibu. Hata wale wafanyakazi wa BRELA wanaosababisha uchelewashaji wa usajili wa makampuni kwa sababu zisizokuwepo wajifunze kutokea kwenye jibu la BRELA wenyewe.
 
Jina halitakiwi kufanana kimaana, kimatamshi, au kimaandishi sasa nikiuliza swali la kizushi nini maana ya ELEPHANT kwa kiswahili nipe jibu kimya kimya na ufanano katika name clearance walau uwe ni chini ya asilimia tano unashauriwa hivyo.... au wapigie kituo chao cha miito

zaidi nipe Tafsiri ya neno TEMBO kwa lugha ya kimombo pasina shaka utasema ni ELEPHANT, hapo ndo utafahamu kuwa walikuwa sahihi kutosajili Jina ambalo lilisha sajiliwa kwa kumlinda aliyewahi

ukichukuwa TEMBO LIMITED NA HIYO ELEPHANT BREEDERS LIMIDET HAPO TOFAUTI NI NENO BREEDERS TU.

KUPITIA HIYO HIYO TEMBO WAWEZA ONGEZA VITU VINGINE NA JINA UKAPATA NI USHAURI TU.
Soma jibu la BRELA wenyewe ujielimishe zaidi.
 
Mkuu nna cash 2mil je kwenye usajili wa kampuni nnaweza kuweka mtaji kama 100mil badala ya 2mil niliyonayo cash?
Habari, kwenye usajili wa kampuni mmiliki anaweza kuweka mtaji wowote ambao anajua ataweza kuufanyia biashara yake hata kama kwa muda huo asiwe nao mkononi au benki. Hii ni kutokana na kwamba zipo njia mbalimbali ambazo mmiliki anaweza kutumia kukuza mtaji wake wakati wowote ikiwemo kukopa benki au kuongeza mwekezaji mwingine mara tu baada ya usajili ili kuufikia mtaji anaohitaji kufanyia biashara. Hata hivyo inashauriwa mmiliki kusajili mtaji ambao unauhalisia na biashara anayofanya au anayokusudia kufanya.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi!
 
Back
Top Bottom