kusajili biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  2. daydreamerTZ

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo 1. Kusajili kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and...
  3. Ibrahim Nzunda

    Faida za kusajili Jina la Biashara (Business name)

    Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name). Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa. Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike Hivyo...
  4. Mchaga

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: === === === ===
Back
Top Bottom