- Thread starter
- #21
Pamoja sana mkuu, course gan wewe?
BVM vp wewe kijana?
Pamoja sana mkuu, course gan wewe?
una 50%
asante kk
BVM vp wewe kijana?
agrcultural eng
ila nyingine si una uwezo wa kujiongezea ama?
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
ila nyingine si una uwezo wa kujiongezea ama?
tutakuwa campus moja mkuu..so tutameet au sio
upo. ila kuna changamota naipata,kuna njia nyingine inatumika kupata hz % mbona wengne wananiambia nina 80% wengne 40% na wengine 30% mbona sielewi mkuu embu nisaidie plz
yap joh ila nahc mim ntakua new hostel vp umepata tetes za course yako kwamba utakua hostel zp?
Mkuu zeduduz vp hapo nimelamba 3,343,000 na tution fee ni 1,263,000 itatakuwa % ngapi mkuu
kaka mi najua una 50% maybe kama kuna error 40% ni Yako Hiyo 80% kakudanganya
new hostel..tuko wote mkuu
Ze dudu me nna mil 3na laki 4.5 afu ada 1mil udism ebu nambie apo.
n me nko udom ada laki nane;;;;wamenipa milion mbili laki mbili na elfu tisini na saba na mia tano;;;help me'''