JF Udaku: Toleo la Mei 2012

nitonye ajinyonga baada ya kuona Sweetlady anatoka Sisi kwa Sisi guest house na Klorokwini

Hii habari imepikwa haina ukweli, ndugu wasomaji nachukua nafasi hii kukanusha kile alichokisema Erickb52. Jambo hili likiachwa likaendelea litaifanya ndoa yetu kuvunjika.

Ndugu waandishi wa habari erickb52 amekuwa na tabia ya kumsalandia my wife sweetylady ili khali akijua sweetylady ndiye pumziko langu la moyo.
 
Last edited by a moderator:
nitonye ajinyonga baada ya kuona Sweetlady anatoka Sisi kwa Sisi guest house na Klorokwini
Mwandishi wetu Erickb52 aliendelea kufafanua kwamba Loya huyo ambae aliamua kutinga eneo la tukio akiwa kavalia suti la kofi olomide na sweetlady akiwa kavalia pajama la taiwan walionesha zahiri nyuso zao zikiwa na furaha ili kuwajump roho wapinzani wa penzi lao
 
Habari za kuaminika zinanaendelwa kusema kuwa klorokwini alionekana kavaa nguo ya ndani juu ya suluari bila kujua huku akionyesha mbwembwe kwa sweetlady ambaye naye alionekana kutibuka nywele utadhani kakurupushwa na mbwa wa polisi
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi wetu Erickb52 aliendelea kufafanua kwamba Loya huyo ambae aliamua kutinga eneo la tukio akiwa kavalia suti la kofi olomide na sweetlady akiwa kavalia pajama la taiwan walionesha zahiri nyuso zao zikiwa na furaha ili kuwajump roho wapinzani wa penzi lao

Inasemekana baada ya krolokwini kuona njama zake za kutaka kummendea mke wa nitonye ambaye ni sweetylady zimeshindikana, ameamua kumtumia Erickb52 kuanzisha propaganda kuvunja ndoa yao
 
Last edited by a moderator:
Hii habari imepikwa haina ukweli, ndugu wasomaji nachukua nafasi hii kukanusha kile alichokisema Erickb52. Jambo hili likiachwa likaendelea litaifanya ndoa yetu kuvunjika.

Ndugu waandishi wa habari erickb52 amekuwa na tabia ya kumsalandia my wife sweetylady ili khali akijua sweetylady ndiye pumziko langu la moyo.
Wana Chit-Chat naomba kuwahakikishia habari ninazozitoa kuhusu hili tukio na klorokwini na sweetlady pale guest house ya Sisi Kwa Sisi....
Mimi nikiwa kama mmiliki wa Glosary iliyo karibu na guest hiyo nilienda kuchukua daily bread ndipo nilipowaona wakitoka humo...Lol
Niliumia sana kuona nitonye kasalitiwa kiasi hicho
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana baada ya krolokwini kuona njama zake za kutaka kummendea mke wa nitonye ambaye ni sweetylady zimeshindikana, ameamua kumtumia Erickb52 kuanzisha propaganda kuvunja ndoa yao
habari zinasema kuna walioshuhudia tukio hilo,kwa majina ni mpenzi wangu Amyner ambaye nilikuwa nae TANMO na wengine ingawa siwataji majina yao kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Asante mwandishi wetu, usiuze cd yote jamaa watanishusha busha
Taarifa zinaendelea kusema kuwa wakiwa njiani...alitokea Babu mmoja aliyejulikana kwa jina moja Asprin akiwa ameongoza ana M-bibi mmoja kikongwe maarufu kwa jina la Kongosho na kumchukua Sweetlady na kupotea nae kusikojulikana hadi sasa...uchunguzi bado unaendelea
 
Last edited by a moderator:
Rejao aibuni.

Yule memba mashuhuri kwa urefu wa pua lake anaekwenda kwa jina la rejao jana amejikuta akiabika mbele ya umati uliohuzuria sherehe ya aniversary ya ndoa yake na Cantalisia. Memba huyo katika kutaka kuonesha mbwembwe mbwembwe za sherehe hiyo aliamua kumbeba Cantalisia ambae kabla hata kumfikisha usawa wa magoti alijikuta anaanguka nae na kuteguka kiuno. Rejao ambae uzito wake hauzidi kilo 50 alijikuwa anakuwa kituko katika hafla hiyo kwa kumuinua jimama huyo ambae mpaka tunakwenda hewani na habari hii basi habari za kilo zake halisi zina utata
 
Last edited by a moderator:
Breaking News Judgement baada ya kuachwa na Husninyo aamua kwenda kijijini kwao ambako alikimbilia Kabakabana baada ya kupewa mimba na @Uporoto1 na kuamua kuanza maisha mapya wakiwa kama familia....
Habari za uhakika toka kwa mwandishi wetu Smiling Saint zinasema walionekana mitaa fulani ya mji wa jirani wakielekea kwenye gulio.....Kijana wetu alifanikiwa kuwachukuwa picha moja naomba kuiwakilisha hapo chini.....
Nyeri Vision 2013.jpg
 
sikubali, mhariri nakata rufaa.

Mbona kila kasha yangu? Eti hata sisifiwi.

Konnia aapa kula sahani moja na gazeti la jf udaku, asema ata lifilisi. Amuomba Cookie alifungie milele.
 
sikubali, mhariri nakata rufaa.

Mbona kila kasha yangu? Eti hata sisifiwi.

Konnia aapa kula sahani moja na gazeti la jf udaku, asema ata lifilisi. Amuomba Cookie alifungie milele.
Tena bado mzee mzima sijaingia, bado nina hasira na ka fifty souzend
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom