JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Hatimaye siri ya TANMO kutembea kifua wazi yabainika,kumbe ni masharti ya mganga wake aliyemdanganya kuwa akikaa bila kuvaa shati miaka miwili atateuliwa kuwa mods wa jukwaa la mambo ya kikubwa,

Na kwa taarifa za muda huu ni kwamba hata alivowataja wakuu hapo Paw na Invisible ni katika kuwakumbusha ombi lake la kupewa u Mods wa jukwaa la mwisho,habari kamili uk,wa mwisho.
 
Last edited by a moderator:
HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya Kongosho kuchoropoa mimba ya Asprin,mmewe ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia Asprin maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko icu
Hahaha hahah hahah uwiiiiii jaman lol!

Hatimaye kilichomtoa Bishanga mkuku huko unga limited cha bainika,inasemekana ni baada ya kushindwa kutwanda mpunga kikamilifu,habari za kuaminika zinasema kadhia hiyo ilimfanya arudi kwa magoti kumbembeleza Kongosho ambaye alimkuta yuko kwa Asprin anakula raha na kuishia kuanzisha uzi wa msako.......................!!
 
Usikose JF udaku la kesho ugundue sakata lililosababisha Husninyo kubadili jinsia na kuwa Mama Ashrat ghafla.
 
TANMO na Bishanga msipokanusha uzushi wenu mlonizushia ODM wa wajukuu, kesho asubuhi nahamishia vikojoleo vyenu usoni. Mtakoma kama mna vibamia visivyotahiriwa. Msijesema sijawakanya... Shauri zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom