Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,630
14,752
Wanachit chat kutokana na waandishi wa habari za udaku kulala mbele.
Kiwatengu nashika pen kuwashushia News nzito na zenye uhakika...

Karibu udaku!!

1. Hatimaye Munkari aolewa na Afisa mtendaji kata (WEO).
Inasemekana jamaa alijipatia mrembo kirahisi
kwani yeye ndiye mwenye solar kijiji kizima alichopangiwa kazi Munkari.
Na lifti za boda boda.

2. lusungo anusurika kifo, ni baada ya homa hatari ya Dengue kumpata.
Yabainika huyu jamaa ni mlinzi wa getini maeneo flani ya Tabata.

3. Arushaone aoenekana Whatsapp aunganishwa kwenye kundi moja (jina kapuni) nusura avunje ndoa za watu, inasemekana wenyeji wa kikundi hicho huweka picha zao nzuri nzuri kitu kilichompagawisha zaidi!! KOKUTONA afurahia sana uwepo wake..

4. Mwanyasi ashindwa rasmi kuihudumia ndoa.
Kijana anayekuja kwa kasi First Born amsarandia mkewe janeth1 mchana na usiku.
uzururaji unaweza kumponza.

5. Mamndenyi amkumbuka tena Bishanga..
yasemekana.
atamani kukutana nae tena!!
ikumbukwe hawa waliwahi kushikwa ugoni.

6. Karucee afungua SACCOSS yake njemba nne kwa nyakati tofauti zapishana kuihudumia.
Ntuzu Mndengereko na OLESAIDIMU hawahusiki direct..
Apania kumpiku Madame B, mwenyewe ajiita Beyonce.

7. Kaizer ahusishwa na timubazazi, aonekana akimendea binti wajukwaani kwa fujo.
Ikumbukwe main principle ya #teambazazi inayoongozwa na Babu Asprin na wajumbe wakuu Mentor mwekundu Nicas Mtei ni "eat more girls as u can"...
huruma kwa DEMBA aliyetoka nae mbali.

8. Honey Faith atangaza nia yake kwa Rogie, ni baada ya kuhongwa Tablet...
ashusha mtongozo mkali.
Anatafuta chance ya kuhamia kabisa..atakuwa nyumba ndogo.

9. Ujauzito wa Heaven on Earth wazidi kutia mashaka huu ni mwezi wa 10 na bado kijacho hakijaja.
figganigga inasemekana alienda kwa babu kujaribu kufanya ufundi. sababu ni yeye kutokuwa msababishi wa ujauzito huo.

10. 'Valentina' afika Dar kwa mara ya kwanza
aonekana akishangaa magorofa..
Mwenyeji wake aha ha kumtembeza maeneo ya jiji.

11. Imebainika ni kweli Khantwe hajawahi kuolewa
.... aonekana sehemu akiomba mtongozo kwa mwandishi wa Gazeti hili...

12. Jinsia ya Kongosho matatani tena, kumbe kuna vijana hawajawahi kuijua... Kibo10 apata wakati mgumu, Ni baada ya kujaribu kueleza alivyokuwa akidhani..

13. utafiti anaswa maeneo ya Kinondoni...yasemekana alikuwa anamtafuta miss chagga, kumbe kuitana kwao dady na daughter ni zuga tu!!

........
 
Last edited by a moderator:
Wanachit chat kutokana na waandishi wa habari za udaku kulala mbele.
Kiwatengu nashika pen kuwashushia News nzito na zenye uhakika...

Karibu udaku!!

1. Hatimaye Munkari aolewa na Afisa mtendaji kata (WEO).
Inasemekana jamaa alijipatia mrembo kirahisi
kwani yeye ndiye mwenye solar kijiji kizima alichopangiwa kazi Munkari.
Na lifti za boda boda.

2. lusungo anusurika kifo, ni baada ya homa hatari ya Dengue kumpata.
Yabainika huyu jamaa ni mlinzi wa getini maeneo flani ya Tabata.

3. Arushaone aoenekana Whatsapp aunganishwa kwenye kundi moja (jina kapuni) nusura avunje ndoa za watu, inasemekana wenyeji wa kikundi hicho huweka picha zao nzuri nzuri kitu kilichompagawisha zaidi!!

4. Mwanyasi ashindwa rasmi kuihudumia ndoa.
Kijana anayekuja kwa kasi First Born amsarandia mkewe janeth1 mchana na usiku.
uzururaji unaweza kumponza.

5. Mamndenyi amkumbuka tena Bishanga..
yasemekana.
atamani kukutana nae tena!!
ikumbukwe hawa waliwahi kushikwa ugoni.

6. Karucee afungua SACCOSS yake njemba nne kwa nyakati tofauti zapishana kuihudumia.
Ntuzu Mndengereko na OLESAIDIMU hawahusiki direct..
Apania kumpiku Madame B, mwenyewe ajiita Beyonce.

7. Kaizer ahusishwa na timubazazi, aonekana akimendea binti wajukwaani kwa fujo.
Ikumbukwe main principle ya #teambazazi inayoongozwa na Babu Asprin na wajumbe wakuu Mentor mwekundu Nicas Mtei ni "eat more girl as u can"...
huruma kwa DEMBA aliyetoka nae mbali.

8. Honey Faith atangaza nia yake kwa Rogie, ni baada ya kuhongwa Tablet...
ashusha mtongozo mkali.
Anatafuta chance ya kuhamia kabisa..atakuwa nyumba ndogo.

9. Ujauzito wa Heaven on Earth wazidi kutia mashaka huu ni mwezi wa 10 na bado kijacho hakijaja.
figganigga inasemekana alienda kwa babu kujaribu kufanya ufundi.

10. 'Valentina' afika Dar kwa mara ya kwanza
aonekana akishangaa magorofa..
Mwenyeji wake aha ha kumtembeza maeneo ya jiji.

Hii taarifa ya Mwanysi siyo kweli maana niko na janeth1 hapa kitandani tunafukuza baridi ya Arusha
 
Last edited by a moderator:
mchana kuna wanaopiga misele, ukiwa kwenye mishe zako.
mkeo anatembea....

jamani mme wangu mwongo huyu me nashinda kazin na huwa napitia kwa mama, huyu First Born ni kijana anaempenda mdogo wangu hivo nikienda kwa bmkubwa nakuta kakaa getn anamsubiri dogo atumwe dukani. Alafu dear huyu mwandishi...ntakuambia tukiwa chumbani.
 
Last edited by a moderator:
afu we jamaa wewe...jamani rafiki yangu SAYANSIkim anaweza kunitetea. mwenzio ndoa ndokwanza changa my husband anaimudu asikwambie mtu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom