JF Udaku: Toleo la Mei 2012

Jei Efu Udaku Toleo la Mei lazua balaa. Inbox ya TANMO yajaa ghafla PM kutoka kwa Lizzy,, zote ni kumuomba TANMO asitoe habari zake kwa madai kwamba kuna Kabuzi amekapata. Ahofia kibuzi chake kumkimbia
Mkuu TANMO mwaga razi,rusha *****,puliza pilipili,leo mpaka kieleweke.
 
Mbona umetoa habari kwa ufupi..
Mazungumzo baada ya habari yanawajia hivi punde...Na mwandishi wetu.
Reporter news zako ziko robo and nusu ..Umepita DSJ TANMO
 
Last edited by a moderator:
Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele: --Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa: -Yupo Mod Maarufu wa Kike. -Smile naye alilia penzi la Kibabu kijijini. -Kimwana manywele wa Jei Efu aapa kujipa life Ban baada ya Kibabu kumlaghai na kisha kuingia mitini. -Babu Asprin, Bishanga, DC watajwa. --Baada ya JK kutangaza nia ya kuvunja Baraza la Mawaziri: -Babu Asprin ajifanya mtaalmu wa kusafisha nyota. -adai anatoa pete ya kumfanya mtu kuwa waziri. -watu maarufu kibao wafurika nyumbani kwake. --Yumo pia Mzee Mwanakijiji. --Mtakatifu Ivuga amsababishia Mwali kulala Selo, ni baada ya kukopa Gongo ya mama muuza na kisha kuingia mitini. Mwali aapa kujivua pendo. --Baada ya kugundua kuwa Amyner ni dada yake toka nitoke, Bagah ampigia magoti Erick52 apunguze tabia yake ya ukware. Yasemekana wanafahamiana jinsi wanavyoharibu watoto wa watu. --Baada ya kuonjeshwa penzi la Cantalisia, Mphamvu aapa kumpindua Rejao. Canta akesha akiomba kikombe hiki kimpite pembeni, Rejao aapa kumshusha mtu Busha. --Lile sakata la Vibabu vya Jei Efu laibua sura mpya. Vibibi navyo vyaapa kulipiza kisasi na vijana wa Jei Efu. Loya Klorokwin achekelea. --Imegundulika: kumbe Golden Mpolee ni Dume, yasemekana ni fundi Gereji pale Tabata. Mwenyewe aingia mitini baada ya siri kufichuka. --Ban la Lizzy laleta mzozo, ni Baada ya Nyara za Serikali Ngabu na Bishanga kutaka kuzipiga hadharani. --Mtu Chake alia kuteswa na Preta. Adai kila siku anapigwa na wakati mwingine analala njaa. Atoa wito zianzishwe Asasi za kutetea haki za wanaume. --Wadada wa Jei Efu wang'aka, ni baada ya kusikia Tetesi za Mwenzao kupata penzi la Invisible, wadai Invisible hawatendei haki wengine. PAW ataka kusuluhisha, atolewa nduki.. Mapendo. TANMO

..kwanza sitaki kuamini kuwa dada yangu. CANtalisa..anatoka na watu wawili. Mphamvu..na Rejao...

...pia mimi na Preta wewe tuache tu ndio Style yetu. TANMO
 
Last edited by a moderator:
HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya Kongosho kuchoropoa mimba ya Asprin,mmewe ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia Asprin maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko icu
 
Last edited by a moderator:
hhA HA HA HA, Umedata wewe mzee.

Kwanza ndo umemkimbiza Husyn jf.

HABARI KAMILI:
na mwandishi maalum
-Baada ya Kongosho kuchoropoa mimba ya Asprin,mmewe ajua,amtwanga talaka na kibondo juu,yuko icu.
-Mama Matesha naye ainyaka live,ammmwagia Asprin maji ya betri,uso nyanganyanga,yuko icu
-@Nyagi ngabu amkosa bishanga risasi,kisa wivu,atiwa nguvuni na kubondwa na manjata,yuko icu
-@Cantalisia amfumania rejao na Amyner,amnyofoa rejao korodani Rejao hoi,yuko icu
-@Husninyo amlipua babu DC hadharani,asema ndo alimpa kideti Babu DC apata mshtuko,yupo icu
-Bishanga akaribishwa kwa bashasha unga ltd,aenda usiku,atumbukia kwenye mtaro,kiuno hoi,yuko icu
-Kloro afoji cheti cha ndoa ili alipwe nauli kazini,adai yeye ni mmewe Preta,preta agundua,ampa za uso,yuko icu
 
HABARI MAALUM INAENDELEA
-@pet cash apigwa life ban,alijaribu kukwapua seva ya jf( kajizi kweli)
-mtoto ashrat afukuzwa shule,hajalipiwa karo kisa wazazi wake kukesha bar(halafu katoto kana kwashakoo)
-@banchuchu apigwa PI kukanyaga arusha,kisa wivu wa kupindukia na kupigana kwenye ma bar kila kukicha.
 
Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele: --Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa: -Yupo Mod Maarufu wa Kike. -Smile naye alilia penzi la Kibabu kijijini. -Kimwana manywele wa Jei Efu aapa kujipa life Ban baada ya Kibabu kumlaghai na kisha kuingia mitini. -Babu Asprin, Bishanga, DC watajwa. --Baada ya JK kutangaza nia ya kuvunja Baraza la Mawaziri: -Babu Asprin ajifanya mtaalmu wa kusafisha nyota. -adai anatoa pete ya kumfanya mtu kuwa waziri. -watu maarufu kibao wafurika nyumbani kwake. --Yumo pia Mzee Mwanakijiji. --Mtakatifu Ivuga amsababishia Mwali kulala Selo, ni baada ya kukopa Gongo ya mama muuza na kisha kuingia mitini. Mwali aapa kujivua pendo. --Baada ya kugundua kuwa Amyner ni dada yake toka nitoke, Bagah ampigia magoti Erick52 apunguze tabia yake ya ukware. Yasemekana wanafahamiana jinsi wanavyoharibu watoto wa watu. --Baada ya kuonjeshwa penzi la Cantalisia, Mphamvu aapa kumpindua Rejao. Canta akesha akiomba kikombe hiki kimpite pembeni, Rejao aapa kumshusha mtu Busha. --Lile sakata la Vibabu vya Jei Efu laibua sura mpya. Vibibi navyo vyaapa kulipiza kisasi na vijana wa Jei Efu. Loya Klorokwin achekelea. --Imegundulika: kumbe Golden Mpolee ni Dume, yasemekana ni fundi Gereji pale Tabata. Mwenyewe aingia mitini baada ya siri kufichuka. --Ban la Lizzy laleta mzozo, ni Baada ya Nyara za Serikali Ngabu na Bishanga kutaka kuzipiga hadharani. --Mtu Chake alia kuteswa na Preta. Adai kila siku anapigwa na wakati mwingine analala njaa. Atoa wito zianzishwe Asasi za kutetea haki za wanaume. --Wadada wa Jei Efu wang'aka, ni baada ya kusikia Tetesi za Mwenzao kupata penzi la Invisible, wadai Invisible hawatendei haki wengine. PAW ataka kusuluhisha, atolewa nduki.. Mapendo. TANMO

Sounds mouthful...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom