Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

sidhani kama unajua unachozungumza. Hivi unaelewa umuhimu wa patent, na copyrights katika invention? Hivi unafahamu umuhimu wa financing katika invention?

Kama wewe unaishi Tanzania, basi nenda ka file patent, alafu utaniambia utatoa rushwa kiasi gani kupata hiyo patent document. Na hata kama ukipata hiyo patent, akija mtu mwenye hela/fisadi anaweza ku revoke hiyo patent yako, ingawa ni kunyume na sheria bila wewe kufanya chochote .. tena kama wewe ni kabwela ndio kabisaa utabaki kuzungushwa mwaka mzima....

Patent na copyright za hapa kwetu hazifanyi kazi kwa watu masikini kutokana na rushwa na ufisadi. Na hili ndilo linalofanya wanamuziki wetu hawaendi mbele, ingawa wanatoa single nzuri kila leo.

We unadhani kama serikali haitakuwa na mikakati katika copyright na patent, kulinda innovation za watu, nani mwingine ataweza kufanya hivyo? Alafu unasema huwezi kutegemea serikali, do you know what you are saying?

kama patent itakuwa inalinda makampuni makubwa, mafisadi na watu wenye hela, inamaana watu makabwela hao hawana innovations?

Hivi yule aliyetengeneza helikopta kwa engine ya pikipiki unadhani atasongaje mbele bila msaada toka kwa serikali, au chombo kingine chenye mikakati ya kukuza vipaji? Unadhani anayo hela ya kufungua kiwanda yeye kama yeye akaanza kutengeneza helikopta?

Hata kwenye vyuo US kuna Center for Entrepreneurship ... hapa kwetu vipo wapi? Na hii ndio mikakati nayozungumzia, ambayo mara nyingi huwa ni mikakati ya serikali, ingawa yeyote yule anaweza kuanzisha.

Soma history la Lary Page na mwenzake wa google, then utaona how they got financing for their business. They had a good idea, and then found people to finance it.

How many people have good ideas here in our land, but don't know where to get investors? Kama watanzania, tumejipangaje katika kukusanya innovative ideas kwa watu, then kuzifinance ili zile kama zile za facebook, na google? Kama hiyo mikakati hakuna, unategemea hizo innovation zitoke wapi?

Mkuu hata mimi nilikuwa na idea ya kutengeneza Very Powerful engine kwa ajili ya Cars na Flying cars mwaka 1995 lakini sikuona mtu wa kunifinance ila Ndoto bado ipo kwani Michoro ipo Kichwani from mwanzo hadi Mwisho wa Project yangu
 
Uliangalia Operation Entebe jamaa wako juu, maana ni miaka mingi sana lakini walifanya kweli kiutu uzima kwanza kabisa nilikubaliana na mapailot wao they was trained coz the land blindly on land of Entebe pia kwenye red sea walipita mita chache sana kutoka kwenye maji ili Rada za maadui zisiwaone na ndivyo ilivyokuwa maana nchi yao imezungukwa na maadaui.
Wanakitu cha ziada hawa jamaa.

angalia IDADI ya ndege za kivita za kimarekan, Idadi ndogo sana zimetengenezwa na wamarekan wenyewe, bt asilimia kubwa sana zimetengenezwa na Jews, hawa wa2 n wapekee sana!
 
Ngoja waje wale wavaa vipedo na matonge kichwani. Wataanza kutoa kashfa na kujitoa mhanga..
 
angalia IDADI ya ndege za kivita za kimarekan, Idadi ndogo sana zimetengenezwa na wamarekan wenyewe, bt asilimia kubwa sana zimetengenezwa na Jews, hawa wa2 n wapekee sana!

hahaha halafu zikakamatwa kimya kimya iran, wakaanza wenyewe kuna ndege yetu imepotea kumbe jamaa washaihack.

guys acheni hekaya za ujews hawana lolote kama kubarikiwa walibarikiwa kina yakubu, yussuf, na hao waliopita kabla yetu wayahudi wa sasa washamix sana ni wazungu wanaojiita wayahudi. hizi ni proof nawapa mwenye akili ataelewa.

1.anonymous alivyowatesa hao mnaowaita waizraeli
we are anonymous
we are legion
we do not forgive
we do not forget
expect us
we-are-anonymous-we-are-legion-we-do-not-forgive-we-do-not-forget-expect-us_o_1969639.jpg


mwaka jana mwezi wa 11 jumla ya website 9000 za izraeli, email za wizara na pass zake, account za benki na takataka kibao vilihackiwa na hawa jamaa vikawa hadharani, mwez wa 4 mwaka huu wakahack nyengine 6000 mwez wa nane mwaka huu wamehack tena, sasa watu wenye akili kuliko wote duniani why security yao kila siku mbovu? wachina nao kila siku wanaihack marekani israeli hawezi watetea hawa?

Anonymous takes down over 9000 Israeli sites, wipes databases, leaks email addresses and passwords | Hang The Bankers | He Who Controls the Money Supply, Controls the World

2.ushoga
nchi namba moja asia na middle east yote kua na mashoga wengi, na kuna law kabisa inaitwa sodomy (kiswahili sodoma) ilianzishwa toka 1963 ikihusisha na oral sex, wenyewe wanajisifu kuwa wanaongoza dunia kulinda tendo la ndoa la jinsia moja soma zaidi wikipedia hapo chini
LGBT rights in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia

je bible inasemaje kuhusu ushoga?
BIBLE VERSES ABOUT SODOMY

"Leviticus 20:13 - If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood [shall be] upon them"

angalia mwenyewe naamini una akili
 
Hah hah hah,
yan hawa jamaa, imani yao ni kwamba mtoto atakaye zaliwa kwa baba/mama mu izrael kutoka kwa baba/mama wa nchi nyingne bac wao hum term kama n MUIZRAEL, hawa jamaa ni waajabu sana uki review ktk lile 2kio la september 11, kabla ya 2kio wengi wao walikuwa washarudi makwao, et waliamua 2 kurud,

Nchi yenyewe 2 imetengenezwa 2 ile, kutokana na ubabe wa wamarekani enz hzo Bwana Chief ndo mana migogoro haiish Yan Nchi nzima imewekewa wigo, ni ka nch kadogo sana yan kama uchukue Mkoa wa RUVUMA peke yake, na kwa jins wanavyoongezeka wanazid 2 kuchukua ardh ya wa pakistan, ka nch kana Jaa na Wana wa Force watu weus kurud Makwao!
 
Guys inakuwaje tena jukwaa la tech. Mnaleta mijadala ya kidini. Kama wameanzisha jews o arabs so what it is gud for them there is no point kujisifu na ku argue vitu ambavyo viko useless kwetu sisi
 
Kuna haja ya Watanzania kwenda kujifunza huko Israel na hata kilimo hasa sehemu za jangwa kama wamefikia hata kulima na kuzalisha nyanya na kulisha dunia kuna haja ya kwenda kujifuna huko
 
Back
Top Bottom