Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
- Thread starter
- #21
Bila yao Leo Internet ingekuwa wapi?? Bila ya michango yao Leo tungekuwa wapi?? Tazama kwa kijua hata michango yao ndio maana hata Kikwete aliwahi kwenda Kule Google California na kuongea nao