Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

Max na Farida hawakuvumbua internet. Cha muhimu hapa ni internet. Bila hiyo kusingekuwepo na hii site. Kwa hiyo utaona hata kwenye hili tutarudi kule kule kwa Miafrika. Very depressing indeed.

Hata hao akina Zuckerberg hawajagundua Internet. wala jamaa hajataja walogundua internet, kataja watu wa social nertwork ambako na akina Max melo wanahusika pia.
 
hawa jamaa kweli noma. ila wameshindwa kutumia brain zao kali kumaliza umwagaji damu kat yao na waarabu/wapalestina
mbona kawaida tu waje kwetu wacheck teknolojia mmbadala , koti linaning'inizwa hewani bila kunasa sehemu(sumbawanga), mtu anafufuka aliyezikwa(geita), kiongozi wa serikali anahubiri kupinga ufisadi wakati yeye ni namba moja kupiga deal(ubunifu wa maendeleo binafsi), muafrika ukimuita kwenye matatizo yeye anaibua deal(westgate kenya), mtz akiwa uganda akikosea hatakiwa kujitetea kwani atakushinda tu uliyemshtaki(mimi mwenyewe mhanga)
 
Someni "The Protocals of the Learned elders of Zion" hususani kipengele cha "re education" Utajua kwa nini wao wako pale na sisi tunakula matangopori..
 
acheni kuwafagilia washenzi walolaaniwa na mungu hawana lolote wanalo lijua kazi yao majuishi ni fitna na dhulma tu hawana jengine
kITABU CHA KWANZA KITAKATIFU KUJA DUNIANI NI BIBLIA na Injili imo ndani yake. Katika Biblia Ibrahimu amebarikiwa kuja kuwa na taifa kubwa na watoto wengi zaidi ya nyota.Yeyote atakaye mlaani naye amelaaniwa na yeyote atakaye mbariki naye kabarikiwa. Alifanya kosa gani Abrahamu mpaka leo kitabu kisichojulikana na cha mwisho kuja duniani kiitwacho quraani kiseme wayahudi wamelaaniwa?

wewe hujajagundua tuu quraani ni kitu gani? muulize Salman Rushdi atakuambia.
 
Mibaraka mingine ikaendelea kumwagwa kwa Isaka mwana wa Ibrahimu.
Mwanzo 26:3-6
26.3 Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako. 26.4 Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia. 26.5 Kwa sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu. 26.6 Isaka akakaa katika Gerari.
 
Kwa Hakika Mungu amewapa Kitu cha Ziada Watu wenye asili ya Jews maana ukijaribu kutazama Waanzilishi wakubwa wa Social Network yote ni Jews People hata asili yao, Jaribu kutazama facebook,Myspace,Youtube, hat wikipedia pia utaona mchango wa wa Jews People,
hii technology waliitumia mwaka 1967 katika vita vya siku sita. Vita hivyo mu-israel alimnyuka vibaya sana mwaarabu na kumfanya aanze vita vya kigaidi vya kuvizia watu raia wasio na hatia wala neno. Kumbuka mauaji ya Munich na entebe raidi haya yote ni mapapmbano ya muisrael dhidi ya washindwa vita ambao sasa wanatumia kuvizia raia wa kawaida.
mwaka huu Noble prize zimekwenda karibia zote kwa wayahudi. hawa watu ni kweli the choosen people acha wasilamu wawachukie maana hata mahala popote walipokaa dini ya kiislamu haikuingia kuwadhulu wabadili dini yao. wewe tazama pale ethiopia mungu alivyo walinda farashas mpaka leo wanarudi kwao bila kubughudhiwa na uvamiaji wa dini yeyote.
 
Mibaraka mingine ikaendelea kumwagwa kwa Isaka mwana wa Ibrahimu.
Mwanzo 26:3-6
26.3 Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako. 26.4 Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia. 26.5 Kwa sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu. 26.6 Isaka akakaa katika Gerari.
Gooooooooonga x3!!
 
Lilikotokea jina la Israel likiambatana na mibaraka.
Mwanzo 32:24-29
32.24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. 32.25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye. 32.26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. 32.27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo. 32.28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda. 32.29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
 
Kumbuka kwamba huyo Yakobo ni mwana wa Isaka na Mungu alimtokea mara ya pili akisisitiza kwamba atambariki.
Mwanzo 35:9-12
35.9 Mungu akamtokea Yakobo tena, aliporudi kutoka Padan- aramu akambariki. 35.10 Mungu akamwambia, Jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo, lakini Israeli litakuwa jina lako. Akamwita jina lake, Israeli. 35.11 Mungu akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uzidi ukaongezeke. Taifa na kundi la mataifa watatoka kwako, na wafalme watatoka viunoni mwako. 35.12 Na nchi hii niliyowapa Ibrahimu na Isaka nitakupa wewe, na uzao wako baada yako nitawapa nchi hiyo.
 
Sasa kuhusu swali kwamba hawa Jews (wayahudi) walitoka wapi?
Hawa jamaa ni watoto wa Yuda ambaye ni mtoto wa Yakobo au Israel ambapo katika hilo kabila ndimo alimozaliwa Simba wa Yuda yaani YESU
Mathayo 1:1-16
1.1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. 1.2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake; 1.3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu; 1.4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni; 1.5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; 1.6 Yese akamzaa mfalme Daudi. 1.7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa; 1.8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia; 1.9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia; 1.10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia; 1.11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli. 1.12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli; 1.13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori; 1.14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi; 1.15 Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo; 1.16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
 
Mmeanza porojo za hadithi za mabwana zenu wayahudi na waarabu_right..?

Nani alikuwepo wakati anambariki huyu Yakobo....miafrika kweli ndio tulivyo...puuuumbafuuuuuuuu zetu
 
Sasa kuhusu swali kwamba hawa Jews (wayahudi) walitoka wapi?
Hawa jamaa ni watoto wa Yuda ambaye ni mtoto wa Yakobo au Israel ambapo katika hilo kabila ndimo alimozaliwa Simba wa Yuda yaani YESU
Mathayo 1:1-16
1.1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. 1.2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake; 1.3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu; 1.4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni; 1.5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; 1.6 Yese akamzaa mfalme Daudi. 1.7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa; 1.8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia; 1.9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia; 1.10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia; 1.11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli. 1.12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli; 1.13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori; 1.14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi; 1.15 Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo; 1.16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Hizi ni hadithi kama zilivyo zile za mwanamalundi mkuu,...a.k.a matango pori tuliyolishwa na kukaririshwa na hawa walami ili tujione hatuna jipya.
 
Back
Top Bottom