MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Zanzibar imeanza kurudi nyuma mara tu! Baada kuanza kutawaliwa na TANGANYIKA
It is easier to blame one's failures on another person. Instead of talking the talk they should walk the walk.
Zanzibar imeanza kurudi nyuma mara tu! Baada kuanza kutawaliwa na TANGANYIKA
PAKACHA NA WENGINE,
Maneno KUSONGA NYUMA yasiwape taabu.
Maana ya neno SONGA kwa Kiingereza ni MOVE.
Hivyo nlimaanisha "MOVE BACKWARDS".
Unajua tena upungufu wa kiswahili.
Tuendelee na mada wakuu.
Kuhusu ZANZIBAR, Watu wengi walidhani kuwa, Muungano wake na TANGANYIKA ungezidisha maendeleo kwa kasi.
Nadhani walwaza vibaya.
Au siyo wakuu?
Ukiangalia kwa undani ukwepaji mwingi wa ushuru ufanywa zanzibar ... sasa mtaendeleaje? Soma taarifa ya CAG ya kuanzia 2006 utaona matatizo yenu. Jamani tusilaum wengine kwa matatizo yetu wenyewe
Tupo jamvini yakhe, Tunaomba tafadhali tueleweshe.Zanzibar ni tegemezi. Hivi hujuwi kuwa Zanzibar ina uhusiano wa kirafiki na Shinyanga? Hivi unajuwa ni kwanini?
Hmm. Tulishawaona Bara hapa wakaagiza sukari kutoka nje, na tena basi pesa ya kulipia (Dola) wakawa hawana wakachota kutoka katika kibweta cha Zanzibar. Jee vipi hau kwani Bara hawana mabonde ya kulima miwa ? na hawana viwanda vya kusindika sukari?Ni aibu Zanzibar hata Mchele wanaagiza bara wakati ardhi nzuri iko Visiwani kibao!
Sasa hapo nani wa kulaumiwa? Hivi Bara wanaagiza nini toka Zanzibar???
You sound very good. Laiti wangekuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Wewe unajua hata wakipata muwekezaji tu kutoka nje mfano (Uarabuni au Ulaya) anachekechwa kwanza na Tanganyika kwa kisingizio cha kuangalia mstakabala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa Usalama wa Taifa maslahi ya Kitaifa.zanzibar ingeangalia visiwa vingine vimefanyaje kupata maendeleo. Waangalie sehemu kama Monte Carlo, nk. Tafuta njia za kuvutia watalii, kama tax free zone, legalising gambling, nk
Zanzibar -wazanzibar ni WAVIVU...Period!!!wapi ulishaona nchi ya wavivu ikaendelea???Angalia hii takwimu:::asilimia 95% ya wazanzibar waishio UK wanaishi kwa benefits,asilimia 90% ya wazanzibar wote waishio Europe wanaishi kutegemea benefits.You sound very good. Laiti wangekuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Wewe unajua hata wakipata muwekezaji tu kutoka nje mfano (Uarabuni au Ulaya) anachekechwa kwanza na Tanganyika kwa kisingizio cha kuangalia mstakabala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa Usalama wa Taifa maslahi ya Kitaifa.
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)Zanzibar -wazanzibar ni WAVIVU...Period!!!wapi ulishaona nchi ya wavivu ikaendelea???Angalia hii takwimu:::asilimia 95% ya wazanzibar waishio UK wanaishi kwa benefits,asilimia 90% ya wazanzibar wote waishio Europe wanaishi kutegemea benefits.
Sasa mlishaona wapi nchi ya wa benefits ikaendelea????Na wakibahatika kupata vijisent wanajenga bongo sio kwao madongo kuinama Pemba.
Habar ndo hio......
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe
Asilan simo katika benefits.Pakacha,
Ndugu yangu sasa matusi ya nini tena? Au na wewe unaishi kwe benefits Mkuu??
Hoja hujibiwa kwa hoja na sii matusi!
Ndiyo naelewa Mnaishi kwa- benefit. Mimi niko kwangu hapa Mombasa ndani ya Kibanda changuSasa unabisha au unatukana????jaribu shuka kidogo hapo london,UK....elekea Barking mahala wanapoishi wengi then chukua sample ya wazanzibar 10,NAKUHAKIKISHIA 9 WANAISHI KWA BENEFITS.Bado wabisha!!!!!!!
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe
Kila umri unaporefuka, mali za Zanzibar zinazidi kuteketezwa na Tanganyika. Leo imekua tunakusanyishwa kodi, na zinahamishwa kwenda Tanganyika kuwanufaisha wao. Hii ni dhulma ambayo tunaweza kuilinganisha na Hitla. Ili upite uadilifu, ni lazima Tanganyika waache tabia yao hii chafu.
Nilitaka kushangaa , stori za mbaazi kukosa maua....
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe
Sasa unabisha au unatukana????jaribu shuka kidogo hapo london,UK....elekea Barking mahala wanapoishi wengi then chukua sample ya wazanzibar 10,NAKUHAKIKISHIA 9 WANAISHI KWA BENEFITS.Bado wabisha!!!!!!!