Je, Zanzibar inasonga mbele au nyuma?

Kila umri unaporefuka, mali za Zanzibar zinazidi kuteketezwa na Tanganyika. Leo imekua tunakusanyishwa kodi, na zinahamishwa kwenda Tanganyika kuwanufaisha wao. Hii ni dhulma ambayo tunaweza kuilinganisha na Hitla. Ili upite uadilifu, ni lazima Tanganyika waache tabia yao hii chafu.

Nilitaka kushangaa , stori za mbaazi kukosa maua....
 
PAKACHA NA WENGINE,
Maneno KUSONGA NYUMA yasiwape taabu.
Maana ya neno SONGA kwa Kiingereza ni MOVE.
Hivyo nlimaanisha "MOVE BACKWARDS".
Unajua tena upungufu wa kiswahili.

Tuendelee na mada wakuu.

Kuhusu ZANZIBAR, Watu wengi walidhani kuwa, Muungano wake na TANGANYIKA ungezidisha maendeleo kwa kasi.
Nadhani walwaza vibaya.
Au siyo wakuu?

Exaudi babaangu wewe wafikiri kiswahili cha darasani, wenzio wanafikiri kivisiwani ,usitaje neno NYUMA hawa jamaa wanastuka sana!!
 
1. Kodi gani Mkuu bara inakusanya Visiwani kwa Uchumi mdogo hivyo??

2. Mwansfalsafa1 amesema vema: vision, hardwok and diversification! Sasa kunaguka kwa bei ya Karafuu utalaumu Bara?

Hata hivyo ndugu zetu wa Viswani wanakribishwa Bara kama Bakresa na wale Wapemba kule kariakoo kuna opportunities nyingi..na soko kubwa!! Sioni haja ya kuendelea kulalamika!

High time tukapunguza kulalamika!
 
mbaazi ikikosa maua usingizia jua. Wazanzibar wengi tunalalamika hata kwa yale yasiyopaswa kulalamikiwa. Ebu angalia kwa uchache tu.... Tanganyika ina mali nyingi sana kama dhahabu, almasi, kahawa, katani, pamba, gas asilia n.k ... wakati kisiwani kwangu zanzibar tulitegemea sana zao la karafuu na bandari kwa uchumi. Hivi vyote vimekosa soko la kimataifa na mitaji ya uendelezwaji wa bandari. Ukiangalia kwa undani ukwepaji mwingi wa ushuru ufanywa zanzibar ... sasa mtaendeleaje? Soma taarifa ya CAG ya kuanzia 2006 utaona matatizo yenu. Jamani tusilaum wengine kwa matatizo yetu wenyewe
 
Ukiangalia kwa undani ukwepaji mwingi wa ushuru ufanywa zanzibar ... sasa mtaendeleaje? Soma taarifa ya CAG ya kuanzia 2006 utaona matatizo yenu. Jamani tusilaum wengine kwa matatizo yetu wenyewe

Kwa bahati nzuri kutokana na kile kinachoitwa Muungano Tanganyika ina uwezo wa ku-control bandari ya Zanzibar. Jee ingekuwa Muungano haupo na Tanganyika haina milki ya Bandari ya Zanzibar, Tanganyika ingekuwa ingekuwa katika hali gani? -tafakari hilo.
 
Ni aibu Zanzibar hata Mchele wanaagiza bara wakati ardhi nzuri iko Visiwani kibao!

Sasa hapo nani wa kulaumiwa? Hivi Bara wanaagiza nini toka Zanzibar???
Hmm. Tulishawaona Bara hapa wakaagiza sukari kutoka nje, na tena basi pesa ya kulipia (Dola) wakawa hawana wakachota kutoka katika kibweta cha Zanzibar. Jee vipi hau kwani Bara hawana mabonde ya kulima miwa ? na hawana viwanda vya kusindika sukari?
 
zanzibar ingeangalia visiwa vingine vimefanyaje kupata maendeleo. Waangalie sehemu kama Monte Carlo, nk. Tafuta njia za kuvutia watalii, kama tax free zone, legalising gambling, nk
You sound very good. Laiti wangekuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Wewe unajua hata wakipata muwekezaji tu kutoka nje mfano (Uarabuni au Ulaya) anachekechwa kwanza na Tanganyika kwa kisingizio cha kuangalia mstakabala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa Usalama wa Taifa maslahi ya Kitaifa.
 
Zanzibar -wazanzibar ni WAVIVU...Period!!!wapi ulishaona nchi ya wavivu ikaendelea???Angalia hii takwimu:::asilimia 95% ya wazanzibar waishio UK wanaishi kwa benefits,asilimia 90% ya wazanzibar wote waishio Europe wanaishi kutegemea benefits.
Sasa mlishaona wapi nchi ya wa benefits ikaendelea????Na wakibahatika kupata vijisent wanajenga bongo sio kwao madongo kuinama Pemba.
Habar ndo hio......
 
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe
 
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe

Pakacha,

Ndugu yangu sasa matusi ya nini tena? Au na wewe unaishi kwe benefits Mkuu??

Hoja hujibiwa kwa hoja na sii matusi!
 
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe

Sasa unabisha au unatukana????jaribu shuka kidogo hapo london,UK....elekea Barking mahala wanapoishi wengi then chukua sample ya wazanzibar 10,NAKUHAKIKISHIA 9 WANAISHI KWA BENEFITS.Bado wabisha!!!!!!!
 
Ndiyo naelewa Mnaishi kwa- benefit. Mimi niko kwangu hapa Mombasa ndani ya Kibanda changu
 
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe

Mkuu mtu akisema kitu kama hiki na akaweka takwimu we muulize vizuri kuhusu hiyo takwimu. Kama ni kweli asemacho basi ni kupigania mabadiliko. Mtu akikuambia tatizo una tukana badala ya kuli tatua mkuu? Mbona Wabara washasemwa sana lakini hawatukani?
 
Kila umri unaporefuka, mali za Zanzibar zinazidi kuteketezwa na Tanganyika. Leo imekua tunakusanyishwa kodi, na zinahamishwa kwenda Tanganyika kuwanufaisha wao. Hii ni dhulma ambayo tunaweza kuilinganisha na Hitla. Ili upite uadilifu, ni lazima Tanganyika waache tabia yao hii chafu.

Nilitaka kushangaa , stori za mbaazi kukosa maua....

Mkuu lakini Zanziba si ina forodha yake yenyewe ya ushuru? Zanzibar pia si ina serikali yake? Sasa kweli kama serikali ya Zanzibar imeshindwa kusimamia mambo yake ilaumiwa Tanganyika? Na hata kama unacho sema ni kweli basi viongozi wa Zanzibar ni wazembe. Mwizi akiiba wakati mlinzi kalala utamlaumu nani? Huku kuilalamikia Tanganyika kila kitu ndiyo kutafanya Zanzibar isi tafakari nini haswa chanzo cha matatizo yake. If you come down to it Tanganyika is not the problem.
 
Mpumbavu wewe ( Na wallahi kama hapa ni pale kijiweni ningekutukana)
Wazanzibari si watu walioko nje!!!!!!. Ni wale walioko kule kwenu Chokocho na walioko kwetu Kizimkazi. Mpumbavu wewe

Sasa unabisha au unatukana????jaribu shuka kidogo hapo london,UK....elekea Barking mahala wanapoishi wengi then chukua sample ya wazanzibar 10,NAKUHAKIKISHIA 9 WANAISHI KWA BENEFITS.Bado wabisha!!!!!!!

Sasa mkuu Pakacha hapa mkuu Mauza uza kasha kupa takwimu na jinsi ya kuthibitisha wewe mwenyewe kama hauja ridhika.
 
Mafuta Zanzibar

Maelezo:
Hizi ni video za vikao vya baraza la wawakilishi la Zanzibar na Director wa Opec alietumwa kuenda huko visiwani kuwashawishi wazanzibari jinsi gani watafaidika na mapato ya mafuta ikiwa watachanganya suala zima la mafuta kulifanya liwe la muungano.Hii ni mara ya mwanzo toka nizaliwe kuona viongozi wa Zanzibar na Afrika kuja juu kwa manufaa ya raia wasio na hatia: zaidi Bonyeza Hapa MZALENDO.NET video
 
Back
Top Bottom