Sema "Anaendelesa Mila ile ilisinda wengine"a great womanizer in the campus. In short he's a ladies man!!
Ni 300 au ulimaanisha 3000? list hiyo imetolewa na organ gani?
Ana majumba ya kifahari kila kona hapa dar! Jamaa ni fisadi haswa
hapo si ndo tunapata production hafifu.kudisco ni poa,means you dont deserve that degreemtu mwema mwenye huruma na utu aliyefanikisha kutengua sheria katili ya ku-disko kwa wanafunzi kwa kushindwa ku-clear carry-over hata kama GPA ziko above minimum. kwa hili nampa 5. for me, for that, he is a very good VC ever.
9. Ni mtu wa Usalama wa Taifa, kwani huwa tunakutana kwenye vikao vyetu vya siri.Does that make any sense to you?
a great womanizer in the campus. In short he's a ladies man!!
E bwana wanajamii ebu nendeni mkalione lile jumba lake la makongo juu ni balaaa ikulu cha mtoto hadi bendera ya taifa ipo ndani ya hekaru lake huyu jamaaa ni fisadi kifaru au fisadi tembo.
Ni mbinafsi na mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali ya magamba. Kabla ya kupata uvc, alikuwa mstari wa mbele kusupport migomo pale udsm. Lakini pia alipata uprofessa akiwa na umri mdogo sana that is about 30.
Ni mjuaji na mbishi haambiliki yaani ubishi mwanzo mwisho..