Je, unamfahamuje prof. Rwekaza Mukandala wa UDSM?

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
WanaJF,
Mimi namfahamu Prof. Rwekaza Mukandala kama ifuatavyo, na wewe unamfahamuje?

1. Ni Prof. wa ukweli wa Political Science.

2. Ni mwanzilishi wa REDET.

3. Ni mtu mzuri sana ktk utendaji wake asipoingiza mambo ya kisiasa ktk utendaji wake.

4. Anajua sana kujenga Network.

6. Ameweza kubadilisha jina la Mlimani Campus na sasa ni JK.Nyerere Mlimani Campus kwa kumbukumbu ya Baba wa Taifa

7. Ni mshauri wa karibu wa Mkuu wa nchi katika mambo ya siasa.

8. Ndiye aliyesaidia CCM yetu kuwa na Slogan ya ARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA (2005) na mwaka 2010 sasa ikawa (ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI)

9. Ni mtu wa Usalama wa Taifa, kwani huwa tunakutana kwenye vikao vyetu vya siri.
10.

PIA NAMFAHAMU PROF. R.MUKANDARA kama;

1. Mtu aliyepata nafasi ya VC-UDSM kama zawadi toka kwa Mkuu wa nchi, kwani dondoo zinaonyesha hata tatu bora hakuingia kabla Mkuu wa nchi hajashinikiza mchakato wa kumpata VC uanze upya.

2. Ni mkabila sana, kwani hata REDET imejaa Wahaya tu mfano mzuri fuatilia wanaopelekwa kufanya tafiti mikoani utaona hilo.

3. Toka awe VC-UDSM, migomo imekuwa mingi kuliko vipindi vingine vya uongozi, na hii inasababishwa na yeye kutaka kutekeleza matakwa ya Serikali, kwani Mkuu wa nchi ni rafiki yake mkubwa sana; hivyo hafikirii njia nzuri ya kutafuta muafaka na wanafunzi na badala yake anaapply model ya Mkuu wa nchi kutumia dola-Polisi ktk kila kitu-nyote ni mashahidi yanayoendelea nchini kwasasa.

4. Namfahamu kama mtu aliyeushinikiza uongozi-Senate ya UDSM kumpa Mkuu wa nchi Ph.D ya Law pamoja na kwamba kuna taarifa kuna kundi kubwa sana ya Wakufunzi pale UDSM waligoma.

5. Ni mtu anayefuja rasilimali za nchi na chuo kwa ujumla, kwani nyumba ya VC-UDSM haikaliwi na mtu toka alivyoingia kwenye madaraka kwa kisingizio cha Usalama. Kwani waliomtangulia hawakuwa salama? Hii ni gharama kubwa sana ktk uendeshaji wa familia.

6. Yeye na makamu wake 2 kuna taarifa za uhakikaa kwamba hata familia zao wanaendeshwa na madereva wa chuo na magari ya chuo. Tatizo kubwa inakuwa pale dereva wa Chuo anapolazimika kusubiri familia zao wakiwa wameenda kwenye KLABU za Usiku na hata sherehe. Na mafuta yanayotumika yanatoka UDSM.

7. Anaposafiri kwenda kwao-Bukoba, kuna taarifa kwamba Dereva na gari ya UDSM anaendesha L.Cruiser mpaka Bukoba wkt yeye anapanda ndege, ili akifika huko, then anatembelea gari ya Chuo. Ujue hapo kuna Mafuta ya Dar-Bukoba na kurudi, pia kuna allowances za dereva, n.k. n.k.
8.
9.
10.
11.

Mzalendo ebu tufahamishe jinsi unavyomfamu Prof. R.Mukandala.
 
ana kijiji pale makongo. Nakumbuka wakati nafanya kazi pale udsm, aliapply ile ya jk kwa kutembelea kila idara pale chuo lakini hapakuwepo na outcome yoyote.
 
Tangu aingie, UDSM imeshuka ubora kwa Africa kutoka ya 13 mpaka sasa ni ya zaidi ya 30.
 
Ni mshenzi tu hana lolote na atakuwa fisadi mkubwa huyu
 
alikuwa aachie ngazi uVC mwaka huu baada ya awamu yake ya kwanza kuisha ila inasemekana ameongezewa awamu ya pili sasa sijui ile sera ya huu wakati wa mwanamke yeye imemkosa vp??
 
anatembea na Bernadeta Killian, llicha ya kumpatia scholarship ya fullbright kufanya Phd, amempatia u dean wa shule ya journalism and mass com wakati hajawahi kusoma uandishi wa habari wala kuwa exposed huko, na sasa amempa u professor baada ya kumpa ukuu wa idara pale chuoni mara tu aliponusa nafasi ya U VC.
 
1. ukuta wa nyumba yake ya kifahari iliyopo makongo juu unaweza kujenga nyumba ndogo za vyumba vitau km zinazojengwa NHC hata nne au tano.!
2. Na huwa ananyoa nywele zake saloon moja iko pale mwenge karibu na police post.!
 
anatembea na Bernadeta Killian, llicha ya kumpatia scholarship ya fullbright kufanya Phd, amempatia u dean wa shule ya journalism and mass com wakati hajawahi kusoma uandishi wa habari wala kuwa exposed huko, na sasa amempa u professor baada ya kumpa ukuu wa idara pale chuoni mara tu aliponusa nafasi ya U VC.

Alitembea pia na Rose paschal na Lilian Colman (pspa class of 2007) . Lilian amempa kitengo pale research unit na zaidi ya yote huyu binti amemchongea scholarship ya Norad kwenye course ya International bussiness (katika moja ya schools hapa udsm) wakati huyu mrembo hana hata background ya masomo ya bussiness
 
anatembea na Bernadeta Killian, llicha ya kumpatia scholarship ya fullbright kufanya Phd, amempatia u dean wa shule ya journalism and mass com wakati hajawahi kusoma uandishi wa habari wala kuwa exposed huko, na sasa amempa u professor baada ya kumpa ukuu wa idara pale chuoni mara tu aliponusa nafasi ya U VC.

acha kudanganya jamvi. Unamaanisha vc anauwezo wa kumpa yeyote u-prof.
 
Back
Top Bottom