Je, unamfahamuje prof. Rwekaza Mukandala wa UDSM?

du makubwa juu ya huyu mzee sasa hawa c ndio wakuchinja kama kwa gadafi walivyo fanya au nchi ikichukuliwa basi ndio wakufungwa maisha mpaka siku wanakufa na magereza wanafanya mazishi wenyewe
 
Ni 300 au ulimaanisha 3000? list hiyo imetolewa na organ gani?

Si mchezo 300??? naona hizo ni idea ambazo wana UDSM wanazo na kwa macho yao wanaona UDSM ndiyo best university duniani na bahati mbaya hawajui duniani kinaendelea nini,hiyo nafasi ya 3000 basi umekipendelea na ninavyoamini itafika time vyuo vya Tz hata 10000 bet duania hazitakuwemo.... that is the fact and not fiction
 
Ni mbinafsi na mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali ya magamba. Kabla ya kupata uvc, alikuwa mstari wa mbele kusupport migomo pale udsm. Lakini pia alipata uprofessa akiwa na umri mdogo sana that is about 30.
 
mtu mwema mwenye huruma na utu aliyefanikisha kutengua sheria katili ya ku-disko kwa wanafunzi kwa kushindwa ku-clear carry-over hata kama GPA ziko above minimum. kwa hili nampa 5. for me, for that, he is a very good VC ever.
hapo si ndo tunapata production hafifu.kudisco ni poa,means you dont deserve that degree
 
1) anamijumba ambayo ahiendani na kipato chake. kwa demu lazima ALAMBE ndio afanye field za REDET AU TEMCO,
2)PESA ZA REDET ALIFANYA KAMA ACCOUNT YA FAMILIA
3)NI MKABILA KULIKO HATA UDINI WA JAH CIRE, ANGALIA AJIRA ZINAZOFANYIKA KWA SASA AU PROMOTION
4)NI MSHAURI WA KARIBU WA MKULU KWA MASUALA YA KISIASA. HATA HUU UPEPO MCHAFU UNAVYHARIBIKA YEYE NDIO SOURCE
5)AMESHUSHA HADHI YA CHUO KUTOKA TANURU LA FIKRA MBADALA HADI KUWA WANASIASA,
KILA PROF SASA ANA NDOTO ZA SIASA, MAANA KAZI HAILIPI
6)AMESHUSHA HADHI YA CHUO KUTOKA KUWA CHUO BORA AFRIKA MASHRIKI NA KATI HADI KUWA CHUO KINACHOZALISHA MBUMBUMBU WA KUDESA
7)ANA KAWAIDA KUKAA KITI CHA MBELE MISA YA KWANZA PALE KANISA LA CHUO KIKUU
8)HANA HISTORIA YA KUKAA NA WANAFUNZI WAKE KWA MIJADALA NA KUSIKILIZA HOJA ZAO NA KUPANGUA MOJA BAADA YA NYINGINE KAM ALIVYOKUWA PROF WA UKWELI LUHANGA
9)AMESHUSHA HADHI YA USOMI NA FIKRA HURU KWA KUONESHA KUWA PROF ANAYEOGOPA HOJA ZA MSINGI NA KUKIMBIA BUNDUKI NA MITUTU
10)HANA REKODI YA MAFANIKIO KIUNGOZI, ILA ANA REKODI YA MAFANIKIO YA KUDESA CLASS
 
E bwana wanajamii ebu nendeni mkalione lile jumba lake la makongo juu ni balaaa ikulu cha mtoto hadi bendera ya taifa ipo ndani ya hekaru lake huyu jamaaa ni fisadi kifaru au fisadi tembo.
 
Hah hah hah Tangania itaendelea kabisa maana hapa ninaona griti sinka wanaongezeka.Karibia tunafuta umaskini.
 
Tuseme ukweli wakuu, Methew Ruhanga alikuwa kichwa sana hata speech zake nilikuwa nazizimia. Huyu Mkandara naona u prof wake kama wa kupewa vile! Speech zake hazina kiwango cha prof.
 
a great womanizer in the campus. In short he's a ladies man!!

yale yale, watu wakisema wenyewe wanakuja juu.Nadhani ndiyo maana 'maji huruka sana coz jamaa wanajua ukichanganya na ndizi mambo swaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi
 
E bwana wanajamii ebu nendeni mkalione lile jumba lake la makongo juu ni balaaa ikulu cha mtoto hadi bendera ya taifa ipo ndani ya hekaru lake huyu jamaaa ni fisadi kifaru au fisadi tembo.

Hapa natofautiana nanyi kidogo. Lile hekalu alilijenga kabla ya kuwa VC wakuu. Alilijenga wakati yuko redet kama mkurugenzi. Nakumbuka wakati namaliza UDSM lile goma lilikuwa limesimama kama mlionavyo sasa hivi.
 
Na ndiye aliyemwambia Ki.kwete kwamba Prof. Mwakusya amemuona Dr. Balali marekani na kwamba siri imeshajulikana. Ndo ikawa mwanzo wa umauti wa Prof Mwakusya
 
Ni mbinafsi na mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali ya magamba. Kabla ya kupata uvc, alikuwa mstari wa mbele kusupport migomo pale udsm. Lakini pia alipata uprofessa akiwa na umri mdogo sana that is about 30.

Uprofessa ni juhudi ya mtu wakuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom