Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 414
- 500
Habari wakuu,
moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost.
Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa hiyo ya kujikimu maarufu kama boom.
Kama chuo kinahofia watoto kuacha chuo baada ya kusign izo pesa basi waweke mfumo mzuri ili walio tayari kulipa ada moja kwa moja kutoka izo pesa zikatwe uko uko kuliko kumlazimisha mwanafunzi kwenda kukopa hela za riba kulipa ada kisha ndo asign boom.
Lakini pia izo pesa ni za mkopo mtu atalipa kwani akiondoka nazo si ni za kwake fikilieni kwenye hili mbona vyuo vingine havina huu utaratibu.
Mfano mzuri mtoto wa first year ada million moja na laki moja kwa semester anatakiwa alipe laki 5 na nusu na amepangiwa boom tu bila ada hata kidogo chuo kiweke utaratibu akatwe laki 3 boom la kwanza na laki mbili na nusu la pili iingie kwenye ada kuliko kumtaka alipe yote kabla ya kusign boom la kwanza.
Nawasilisha