Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
si yy moangaji kwenye nyumba yangu?
Akihama moyoni mwako unahama naye kivipi? LOL
Akihama moyoni mwako unahama naye kivipi? LOL
Akihama kwako kwenda kwenye moyo mwingine?
hawezi anapata huduma adim kuhama ngum ah ah ah sitaki mawsali tena plzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Ahaa ahaa lol yaani sweetdada niko tayari kukupa mshahara wangu wa mwaka mzima kuliko kulikosa penzi lakolol. TF mi silali nakuwaza wewe tu. you are the only one i've ever loved hahahha
when i see you my heart skips..lol
Wewe ni wangu wa milele hata wachawi wanajua hilo.