zaza777
Member
- Feb 6, 2023
- 11
- 30
Habari wana JF
Mapenzi yapo tangu enzi na enzi, mapenzi yanaleta hisia tofauti tofauti katika maisha ya mwanadamu iwe furaha huzuni, hasira msongo wa mawazo n.k.
Maada yangu ya leo inajikita katika maumivu ya mapenzi yanayo sababisha moyo kujeruhiwa, yanayo sababisha moyo kuvuja damu.
Mapenzi yana vituko vingi ndani yake na maumivu madogo madogo ndani yake na hayo kila mmoja wetu anaweza yavumilia na akasonga mbele.
Maumivu ya kuchapiwa mke/mpenzi unaempenda aisee hayaelezeki na hayavumiliki, na ndio maumivu makali mno kwenye tasnia ya mapenzi.
Unaweza ukahisi dunia imekuelemea, maana moyo hushindwa stahimili haya maumivu, pindi utakapo gundua mpenzi wako anachepuka hapo ndio utajua kwanini mapenzi yana nguvu kihisia na yana maumivu kuliko kitu kingine chochote kwenye haya maisha.
Naandika hii thread moyo wangu ukiwa umejeruhiwa na unavuja damuu nyingi sana na sidhani kama utapona, ngoja nielezee ni kwanini nipo kwenye hii hali.
Nipo chuo X, nina mpenzi tunapendana haswa, unaweza useme sie ni Romeo & Juliet (sometimes mapenzi ni matamu jamani). Sasa huku chuo tumejipangisha hostel za nje na chuo, yeye msichana wangu ana hostel yake private/self na mimi ninakaa na wahuni wangu kimtindo kama hostel za 0_level vile.
Sasa huwa naenda kwa manzi wangu nyakati za jioni, after all activities nikajipoze kidogo na nikapate mema ya mapenzi, nimekua na huu mtindo for two years now.
Sasa masela tunaokaa nao hostel wakawa wananiambia kuwa msichana wangu ni kicheche, aaaaah mi nikawa nawapuuzia tuu, si unajua ukimuamini mtu unakuwa husikilizi kelele za nnje?
One day nikataka nihakiki je ni kweli yasemwayo? Siku hiyo nikamuaga kiunafi kuwa leo sitokuwepo mazingira ya chuo, kuna mtu naenda msalimia mahala fulani. Sasa msichana wangu ana chumba self contained na kwa bahati nzuri funguo za hilo geto tuligawana, moja anashika yeye nyingine mimi.
Nikaona isiwe tabu nilichokifanya nikategea muda ameenda class, mishale ya saa moja jioni, mie nikaingia room kwake na nikajibanza mahala ambapo si rahisi mtu kunigundua kuwa kuna mtu mule ndani.
Basi after muda fulani msichana akaja, akaoga vizuri huku akiendelea na pilika pilika zingine, huku mie namlia rada tuu. Baada ya muda kidogo mlango ukafunguliwa nikasikia sauti za wanaume kama wawili hivi wakimpa hai manzi wangu, ohhhh sikustuka sana nikajua labda ni majirani tuu.
Baada ya ukimya kama wa dakika 5 hivi mara nikaanza sikia miguno ya mahaba inayo ambatana na kilio soft, whattt!
Huku mie baada ya kusikia hovyo miguu yangu ikatepeta na mwili ukianza ishiwa nguvu, nikanyata taratibu nishuhudie ushuhuda. Nikafika kwenye engo nikajibanza, ile kutupia jicho tuu nakuta njemba mbili zenye six_pack zipo kumpukuchua ipasavyo.
Aiseee asikwambie mtu mapenzi yanaumiza, mwanaume nilimwaga chozi la hasira na maumivu kwa wakati mmoja huku mwili wangu ukiwa hauna nguvu kabisa. Sikuogopa zile njemba nikajitokeza mbele yao!
Nikamwangalia manzi wangu kwa hasira,n a yeye huku akitahamaki kwa machozi akihisi labda anaota ndoto halafu nika sepa zangu. Aisee kesho yake sikwenda hata class, nilishinda kitandani siku nzima huku sms kibao kutoka kwa yule msaliti zikiingia kwa simu yangu.
Sikuwa hata na nguvu ya kuzisoma, ile jioni nakuja sanuliwa na masela kuwa manzi yangu yupo zahanati ya chuo akipatiwa matibabu baada kujaribu kubugia vidonge vingi ili ajiuwe! Shenz kabisa angekufa tuu!
For now I'm singo, singo forever! Ladies I'm singo, may be this love is not for me.