Haaa haaa Pearl bana! Ndo zilikuwa zako nini kabla hujamnasa Shem?
Sweetdada nashindwa kula sababu yako wewe karibia nitakufa lollol..usanii mtupu
Haaaa haaaa wapi tena huko? Yu wapi Superman?
Sweetdada nashindwa kula sababu yako wewe karibia nitakufa lol
Napenda niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako. Je nafasi ipo