Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

Kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha, niko radhi mbivu zako kuzikosa,kulilo kuendelea kujitesa, kumbuka nilikupenda.
 
Hakiyanani baby unanidatisha, ukitembea unatingisha, mwenzio unanipagawisha, kwako nimefika na hili namanisha, nakupenda.
 
Kila nalolifanya miye kwako ni baya, hivi huoni hata haya, kila kukicha kunitia ubaya wewe mwana hizaya? Nakuchukia katika hii dunia!
 
Ukitolewa nje na wewe unamkandya kama kwa SMS hii:

Uzuri wa sura yako kwangu si lolote mamaa, mimi ni bonge la ……., napendwa na wengi, jua kukupa yangu mapenzi si kwamba kumpata mwingine siwezi, kwaheri na kila la kheri.
 
Mapenzi ni sanaa inayotaka umakini ili ubaki kwa mtu akilini, usitake kuleta zako sanaa, mimi ni jumba la sanaa na katu huwezi niadaha! Stay blessed always.
 
Oops! Mpenzi hakika mapenzi ni Mbalamwezi, kukuacha siwezi hakika daima nitakuenzi! Nakupenda mpenzi!!
 
Nilitaka kukutumia penzi langu lote lakini mhusika wa posta amenieleza ni kubwa sana!!!

Unapoishiwa cha kuandika na baby gal anataka SMS nzuri unatuma hii:

Unajua nini, katika ulimwengu huu hakuna nimpendaye kama wewe na nahitaji ulimwengu wote ujue kuwa sitakusahau daima!
 
Kazi zimenifanya nichelewe ktk thread hii ila nimeangalia mssg nyingi nimeziona kama zina kasoro vile au ndo tuseme mm siko kutokana na uandikaji wangu. Au ni uoga wa kuja kukosea njia. Mi mssg bila ya jina la mlengwa huona kama imekosa ladha.
Napenda mssg iwe kama ivi: "Afrodenzi ww ni wangu wa milele hata wachawi wanajua hilo"
 
Mmh, hapa ipo kazi:

Kama moyo wako ungekuwa jela, ningependa kuhukumiwa kifungo cha maisha niwe nawe milele!

Kazi zimenifanya nichelewe ktk thread hii ila nimeangalia mssg nyingi nimeziona kama zina kasoro vile au ndo tuseme mm siko kutokana na uandikaji wangu. Au ni uoga wa kuja kukosea njia. Mi mssg bila ya jina la mlengwa huona kama imekosa ladha.
Napenda mssg iwe kama ivi: "Afrodenzi ww ni wangu wa milele hata wachawi wanajua hilo"
Mikwaruzo aha aha haya bana
 
Ipo siku utaniuliza "kitu gani muhimu kati yako na maisha yangu?" nitakujibu "maisha yangu" na utafura hasira na kuniacha bila kujua kuwa wewe ndiye maisha yangu.
 
Kazi zimenifanya nichelewe ktk thread hii ila nimeangalia mssg nyingi nimeziona kama zina kasoro vile au ndo tuseme mm siko kutokana na uandikaji wangu. Au ni uoga wa kuja kukosea njia. Mi mssg bila ya jina la mlengwa huona kama imekosa ladha.
Napenda mssg iwe kama ivi: "Afrodenzi ww ni wangu wa milele hata wachawi wanajua hilo"

Mkuu, you can modify them as much as possible. the content is what matters. Tunafanya filtering . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom