Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

Kama maji yangekuwa busu ningekutumia bahari, na kama kumbato lingekuwa jani basi ningekutumia mti, na kama mapenzi yangekuwa ya milele ningetumia muda wangu wote nawe. Usiniache.
 
Ukiwa na mpenzi kiwembe unamtisha na hii:

Kama unanipenda kama ulivyonieleza tafadhali kuwa mwangalifu, umebeba dhamana kubwa ya maisha yangu, ukinitenda nami nitakwenda kaburini.

 
Nina uhaba wa mssg coz simu yangu huwa sikawii kuiflash ila acha niweke hii moja.
Bila wewe najihisi empty katika moyo wangu. Nakupenda sana Firstlady thats why nifikiriapo mapenzi naipata picha yako haraka. Naumia nikiwaza juu ya uhusiano wetu, naona unaanza kupata mitihani ila ni juu yetu kuulinda. Nakupenda na uko peke yako ktk nafasi hii. Wewe ondoa shaka.
 
njoo nimekuandalia kamba ya bigijiii na mti wa mchicha ujinyonge taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu

hapo hafi mtu, ni usanii tu. Umeona eeeeh . . .

Halafu umetaja mchicha umenikumbusha kule kwa Maria Roza nimewahi kusoma ukichanganya supu ya Mchicha na Tangawizi viagra haioni ndani . . .
 
leo naona kaachiwa ndo mana anachaaat hivi we subiri tu AD akitokea uone atakavyokimbia lol
hapo hafi mtu, ni usanii tu. Umeona eeeeh . . .

Halafu umetaja mchicha umenikumbusha kule kwa Maria Roza nimewahi kusoma ukichanganya supu ya Mchicha na Tangawizi viagra haioni ndani . . .
 
nikinywa mji nakuona kwenye glass ingawa nyumbani kwangu nimejaza mabilauli tu ah ah ah

yaani Pearl nawe umezidi v2ko jamani...hahaha nimecheka kwa nguvu zote...asante ka kuniongezea cku za kuishi.
 
leo naona kaachiwa ndo mana anachaaat hivi we subiri tu AD akitokea uone atakavyokimbia lol

Ina maana wewe na yeye SIYO?

Ila yeye na AD NDIYO?

Sasa mbona mnapeana SMS tamu tamu? AD akija itakuwaje na nadhani ni Mdada wa Rugby yule. Mtamuweza ugomvi wake?

Mimi nitakuwa standby kuokoa watu, just in case.
 
Kila nikitembea nahisi bado ipo amakweli umejaaliwa na unajuwa tumia chako kipaji. Mcn u ma firstborn, ur so energetic n got it frm dad I tnk. Flyng kss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom