Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

BAK umepatwa na kitu gani? Ul;itoweka ghafla na hadi leo hii hujawahi kuonekana hata kupost chopochote, umekufa? umzima? Uko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hash- Power7113
Hash- ni kifupi cha my surname
Power- coz i believe i have super power from within me, inayoweza kufanya chochote
7113- Ni secret digits zinazomaanisha my real being, in a spiritual world.
 
Kwi kwi kwi lol! Nipo poa Mkuu Elli natumai nawe uko poa kabisa. Mvuto uliokuwepo hapa jamvini miaka ya nyuma haupo tena.

BAK umepatwa na kitu gani? Ul;itoweka ghafla na hadi leo hii hujawahi kuonekana hata kupost chopochote, umekufa? umzima? Uko wapi?
 
Kwi kwi kwi lol! Nipo poa Mkuu Elli natumai nawe uko poa kabisa. Mvuto uliokuwepo hapa jamvini miaka ya nyuma haupo tena.
Dah aiseee ulipotea sana sana, I am sure umekuta nyuzi nyingi sana zikiulizia uwepo wako, karibu kaka. Offcourse unachoongea ni kweli kabisa, tunaingia JF kwa mazoea tu lakini hakuna tena mada za maada kivile, ukianzisha mada ya maana inaishia kuchanganywa tu na upuuzi mwingine. Kwema lakini?? Next time ukiondoka utoe taarifa aiseee
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Pole sana banaa haikuwa nia yangu kukuweka roho juu kiasi hicho. Ahsante sana kwa kujali welfare yangu kwa kiasi hicho. Namshukuru Muumba wetu niko bomba sana. Ubarikiwe sana.

We jamaa ulitoweka hadi ukanitia wasiwasi ujue.
Usije ukarudia tena.
 
Mimi hili jina langu limebeba machungu sana......

Mtu niliyekuwa namwamini kiasi cha kushare naye kila habari yangu...ndiyo huyo aliyekuja kuniharibia mambo yangu mengi sana kiasi cha kubadili kabisa maisha yangu........

Kwa kifupi mtu wangu wa karibu alinipiga jungu sehemu yangu ya ridhiki iliyokuwa inanipa jeuri hapa mjini na huko kijijini.....

Ama kweli KikulachoChako......
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Pole sana banaa haikuwa nia yangu kukuweka roho juu kiasi hicho. Ahsante sana kwa kujali welfare yangu kwa kiasi hicho. Namshukuru Muumba wetu niko bomba sana. Ubarikiwe sana.

Bado macho yangu yanashindwa kuamini kuwa ni wewe au ni mzimu wako......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jina langu linasadifu ubora wa mafuta ya alizeti ya Sunola. Nlikuwa nkichanganya mafuta napatwa na mwasho hatari, ila nkitumia hayo mafuta tajwa sipati aleji so nlipendelea ntumie jiana hilo ni brand nzur
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom