Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

A ruby is a pinkish red to blood-red colored gemstone.
Mimi nikajiita kiswahili Rubii 😎
Mimi ni wa Thamani.
Corundum-215330.jpg
 
Mimi ni fundi afu mara moja moja nalipuka kama mnyamweI afu nikitembea natembea miondoko ya kimarekani ko watu mtaan huniita bishoo au bitozi
 
Ndio maana nlbadilisha from hopejunior to hope urassa ....hii hope ni tumaini /huwa nina matumaini kwa kitu chochote/changamoto ninachokutana nacho maishani...sikati tamaa
 
Back
Top Bottom