Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,555
Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani.

Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995.

Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale zisizoambatana na utekelezaji.

Nawaona CCM kama genge la watu wanaotumia fursa ya kuwa na dola kujishika madarakani na kuendelea kufaidi kupitia unyonge, ujinga na umaskini wa watanzania.

Naiona CCM kama mlundikano wa wajinga waliojipenyeza kwenye madaraka kwa upendeleo na kufanikiwa kushika dola na nafasi nyeti za nchi yetu bila kuwa na weledi stahiki na wanatumia nafasi hiyo kujinufaisha na kuwanufaisha wapendwa wao.

Nimekuwa nachukizwa mno na ubabaishaji wa CCM katika masuala ya maendeleo ya nchi yetu

Najua CCM ndio chanzo cha matatizo ya nchi yetu na pia ndiye mchawi wa maendeleo yetu kwa maana halisi

Kila wakati nimehamasisha watu kutoipigia kura yoyote CCM wala kuiunga mkono serikali ya CCM.

Ninaona waziwazi uzembe, uvivu, ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM kwa namna ambayo nawaona watanzania wengi kama misukule tu kwa kuendelea kuikubali CCM ilhali inachangia katika kuongeza umaskini wa watanzania.

Sioni kwanini CCM wabaki madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa wakati hali ya uchumi bado ni mbaya. Najua Ulaya na Amerika tunapoomba misaada kila siku, chama hakikai madarakani kwa zaidi ya miaka 8, kitawekwa kiingine.

50% ya watanzania wangekuwa kama mimi CCM wangeshaondoka zamani na tungekuwa mbali sana kiuchumi nchi hii.
 
Sioni kwanini CCM wabaki madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa wakati hali ya uchumi badi ni mbaya. Najua Ulaya na Amerika tunapoomba misaada kila siku, chama hakikai madarakani kwa zaidi ya miaka 8, kitawekwa kiingine.

Mimi niliikataaa tangu 1984
20240310_131344.jpg
 
Muda wa mageuzi haujafika.
 
Ndivyo unavyofikiri inapaswa kuwa, kwamba tuendelee kusubiri?
Sio ninavyofikiri, matendo yetu ndivyo yanavyotuonyesha. Mifano michache hapa chini.
01. Mtu kasombwa na lori kwenda kujaza uwanja ili akaongopewe, jioni akirudi anakuja kulalamika eti maisha magumu, wakati alikaa juani akiunga mkono sera mbovu.
02. Akiambiwa porojo na wanasiasa wa chama chake anakenua meno, wakati mwingine akiwa anajua kabisa kuwa hapa nadanganywa.
03. Wawakilishi wetu kutojua hasa kilichowapeleka kwenye mabaraza ya kutuwakilisha, wamegeuka jumla.
04. Kutojitokeza kudai haki zetu kwa serikali kwa pamoja
 
Sawa kabisa.
 
1995,kama SIO WIZI wa kura,yule mzee aliyeng'atuka kutoka kwenye siasa na kuamua kurudi kunichagulia mimi president (nilisikia majirani wakiteta kuwa ameombewa kuwa mwenye heri, chupu chupu niuvunje mlango wao)ccm ilikua iwe out!,Mr. Clean kumbe ndio fisadi mkuu, piga mnada mashirika yote ya umma,10% yake kajenga hotel pale Egoli city
 
Mimi no mwanaccm na kadi ninayo kabisaa!!

CCM ni chama mdomoni lakini ukichunguza Kwa undani sio Chama Cha siasa Bali ni :-

1.Taasisi ya kichawi kabisa iliyotoka kuzimu kabisa ikaja kivingine lakini no nembo ya kichawi.
2.Ni taasisi ya dini kubwa maarufu ambayo iliandaa mtu wa kusimamia kipindi Cha mpito ,Baada ya wakoloni kuona waswahili wanadai uhuru wakawaingiza mkenge Kwa kumkaribisha muhusika!!
3.Ni Dola kamili inayoamua hatma ya maisha yetu,yenyewe ndio imeamua nani awe tajiri nani awe was kawaida na nani awe fukara na maskini kabisa!!

Bahati nzuri Mungu ataenda kuitumia kivingine Ili kuleta ukombozi was kweli Kwa kanuni Ile Ile "Mungu humfanya shetani kuwa mjinga na mpumbavu sikunzote" yaani hubadili mipango mibaya ya shetani kuwa wokovu Kwa watu wake kama story ya yusufu vile!!!

Hapo mbeleni uchawi wa ccm utapotea na ukuu wa Mungu utadhihirika ndani ya CCM!!

Ndio maana Hadi leo KADI yake ninayo na mimi ni mwanaccm halisi!

Hivyo TU!!
 
Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani.

Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995.

Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale zisizoambatana na utekelezaji.

Nawaona CCM kama genge la watu wanaotumia fursa ya kuwa na dola kujishika madarakani na kuendelea kufaidi kupitia unyonge, ujinga na umaskini wa watanzania.

Naiona CCM kama mlundikano wa wajinga waliojipenyeza kwenye madaraka kwa upendeleo na kufanikiwa kushika dola na nafasi nyeti za nchi yetu bila kuwa na weledi stahiki na wanatumia nafasi hiyo kujinufaisha na kuwanufaisha wapendwa wao.

Nimekuwa nachukizwa mno na ubabaishaji wa CCM katika masuala ya maendeleo ya nchi yetu

Najua CCM ndio chanzo cha matatizo ya nchi yetu na pia ndiye mchawi wa maendeleo yetu kwa maana halisi

Kila wakati nimehamasisha watu kutoipigia kura yoyote CCM wala kuiunga mkono serikali ya CCM.

Ninaona waziwazi uzembe, uvivu, ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM kwa namna ambayo nawaona watanzania wengi kama misukule tu kwa kuendelea kuikubali CCM ilhali inachangia katika kuongeza umaskini wa watanzania.

Sioni kwanini CCM wabaki madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa wakati hali ya uchumi bado ni mbaya. Najua Ulaya na Amerika tunapoomba misaada kila siku, chama hakikai madarakani kwa zaidi ya miaka 8, kitawekwa kiingine.

50% ya watanzania wangekuwa kama mimi CCM wangeshaondoka zamani na tungekuwa mbali sana kiuchumi nchi hii.
Naunga mkono hoja

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom