Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Bishanga ni kifupi cha Bishanga abashaija meaning 'huwakuta wanaume',life is a struggle na tutegemee sekeseke katika maisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baba_Enock

Enock was my only son and passed away on 21-June-2008 @ Mikocheni Mission Hospital (RIP)

He was a special gift to the family.

Hiyo Avantar ndiye Enock akiwa anasubiri kuingia maabara kwa ajili ya vipimo na the next day died while in the operating theatre.

Amen

Pole baba Enock jamani he was such a happy child hebu muone hapo alivosmile ingawa alikuwa anasubiri kuingia maabara!!!!

Rest in Peace Enock!!!!!
 
Majina ya wanangu yanaanza na herufi H, ninawapenda sana wanangu, so 'mamah' ndipo iliponijia.
 
Baba_Enock

Enock was my only son and passed away on 21-June-2008 @ Mikocheni Mission Hospital (RIP)

He was a special gift to the family.

Hiyo Avantar ndiye Enock akiwa anasubiri kuingia maabara kwa ajili ya vipimo na the next day died while in the operating theatre.

Amen

I am very sorry to hear about this huge loss of your dearest son. May God rest his soul in eternal peace~AMEN
 
Iza
jina langu la utotoni mamangu alipenda kuniita hivyo mpaka leo hii..
So nikisiaga mtu akiniita hivyo mahali nisipotegemea hushtuka kwani my special people in my life ndo wanalolitumia ..
I hope JF will be among them..and ni

Kifupisho cha jina langu lote..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BabaDesi....after a first-born girl, there followed two boys. So we decided to do a 'one-for-the-road' kind of, hoping for another baby girl so the family would be evenly matched, two girls and two boys. it wasnt to be. Out come another boy and so we decided to call it a day and gave him the first letters of the four girl names we had in mind if he had been a girl! since then it has been baba Desi and mama Desi. As all last-borns we are so close with the twelve years old (and the rascal knows it!) that I thought there was no need for a space between our names hence... BabaDesi!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baba_Enock

Enock was my only son and passed away on 21-June-2008 @ Mikocheni Mission Hospital (RIP)

He was a special gift to the family.

Hiyo Avantar ndiye Enock akiwa anasubiri kuingia maabara kwa ajili ya vipimo na the next day died while in the operating theatre.

Amen

RIP Enock. Very touching. Pole sana baba Enock.
 
Kilinzibar= najua mmeshajua ni nini, kilimanjaro na zanzibar kwaio nawakilisha sehemu mmoja wapo za vivutio katika nchi yetu bara na kisiwani!
 
Mama Joe is my real name. Ninapenda kuitwa mama na kwavile nashinda ofisini wananiita first name, hivo hapa niliona ndo chance! Na Joe ndo first born wangu na ninampenda sana. Pia nichangamoto kuwa nitachoandika kitakuwa ni kutoka kwa mama kweli.
 
Toka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kula ubwabwa, siku nyumbani wakipika ugali, nilikuwa nanuna na huwa sili, na nikisikia mahala kuna shuguli na kuna ubwabwa mimi nilikuwa wa kwanza kufika mpaka marafiki zangu wakaanza kuniita bwabwa, kwa kumbukumbu ya hili jina ndio maana naliwakilisha
 
Da afadhali umefafanua mimi nilikuwa na kweshen kibao, si unajua bwabwa ni tungo tata niyo ndugu yangu? Edit kidogo ungezea ka'u' basi itoke utata huu
 
Toka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kula ubwabwa, siku nyumbani wakipika ugali, nilikuwa nanuna na huwa sili, na nikisikia mahala kuna shuguli na kuna ubwabwa mimi nilikuwa wa kwanza kufika mpaka marafiki zangu wakaanza kuniita bwabwa, kwa kumbukumbu ya hili jina ndio maana naliwakilisha

kheeee kumbe we mpenda mchele eeeh!!!
 
Toka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kula ubwabwa, siku nyumbani wakipika ugali, nilikuwa nanuna na huwa sili, na nikisikia mahala kuna shuguli na kuna ubwabwa mimi nilikuwa wa kwanza kufika mpaka marafiki zangu wakaanza kuniita bwabwa, kwa kumbukumbu ya hili jina ndio maana naliwakilisha

bwabwa bana sasa tuelewe vipi mbona unatuchanganya wenzio?
 
Binti Maringo!.....Ni kutokana na marafiki zangu kuniambia kuwa nina maringo sana so i came up with this name Binti Maringo kutokana na maringo yangu!.....Lakini i am people persona nd good sense of humour...don't try!
 
natamani ungeisikia ile nyimbo...

maringo,binti maringoo
nitakukumbuka daimaa.
 
Back
Top Bottom