January Makamba na Nape Nnauye on Jenerali Ulimwengu on Monday

Gizakuu

Member
Apr 29, 2012
38
13
Nimesikia kutoka kwa rafiki kuwa January Makamba kiongozi Mzalendo aliyeko CCM na Vuvuzela la CCM Nape Nnauye watakuwa kwenye kipindi cha generali on Monday leo tarehe 21/05/2012 saa 2.30 Usiku. Na watazungumzia mambo yaliyotokea kwenye vikao vya CCM Dodoma hivi karibuni na mstakabali wa CCM.

My take.
Nini future ya CCM mikononi mwa hizi damu changa? Watafanikiwa kuvadili huu upepo mbaya kwa chama chao?
STAY TUNED!
 
kipimo cha uzalendo wa MAKAMBA ni kipi?????nifahamishe nami niweze kuwajuza wenzangu
 
Jenerali,
Tafadhali waulize pamoja na mengine yafuatayo:
-Rais wa Nchi kuchaguliwa kwa "simple majority" huku mgombea wao wa AruMeru alitakiwa kupata 50% ya kura za maoni!
-RUZUKU kwa vyama vya SIASA ilivyo mzigo kwa walipa kodi wa nchi hii ambao tuliowengi sio wanachama wa vyama hivi.
 
Mkuu WilCard umesahau na huu mzigo wa wabunge wa viti maalum
 
Mkuu Gizakuu, kwa taarifa yako, J. Makamba hana uzalendo ni mchumia tumbo, kwenye kikao cha bunge kilichopita hukona unafiki wake? Okay, au hukuona email ambayo mwanvita na yeye January walivyokuwa wana m-blackmail bosi wa ballick gold (baasha wake mwamvita), ili aweze kutoa ela za kampeni kwa January, huku mwamvita akimuahidi huyo bwana wake kuwa January atakuwa waziri wa madini....
 
Mkuu Gizakuu, kwa taarifa yako, J. Makamba hana uzalendo ni mchumia tumbo, kwenye kikao cha bunge kilichopita hukona unafiki wake? Okay, au hukuona email ambayo mwanvita na yeye January walivyokuwa wana m-blackmail bosi wa ballick gold (baasha wake mwamvita), ili aweze kutoa ela za kampeni kwa January, huku mwamvita akimuahidi huyo bwana wake kuwa January atakuwa waziri wa madini....[/QUOTE]

Hivi huu uongo mtaacha lini kuusambaza?!
 
mkifelimitihani mnalalamika mitihani migumu mara oooh walimu wanapendelea..Ballick gold ndo nini?au ulitaka kusema Barrick Gold..aundo wale wa mologolo na ngelengele na alusha ni kwetu....

Hivi huu uongo mtaacha lini kuusambaza?!
 
Nape analazimisha ccm ni chama cha wanyonge, kinatetea watu wa hali ya chini, kweli kazi hipo...
 
Wapo naona Jenerali kawabana kuhusu kuvua gamba wameishia kuhama mada na kutotoa majibu kamili, Jenerali kaamua kuachana nao!!!!
 
Kwani serikali ilokwenda bungeni kupinga dhana ya mgombea binafsi ni serikali ya nani? Hawajatoa jibu!!!! Siasa tupu naona Nape anapaza sauti tu but data hana!!!
 
Makamba na Nnauye wanatia huruma sana wanapoitetea ccm. Ni sawa na kumtetea mwizi wa kuku aliyeshikwa na kuku mkononi.
 
Very shameful, hawajibu hoja wanajibu rangi ya chama.
Heshima kwako mwanaharakati Jenerali Ulimwengu.

May take: Watanzania tujitahidi sana kuwapeleka watoto wetu shule na tuhakikishe wanaelewa wanachofundishwa.
 
Back
Top Bottom