January Makamba na Nape Nnauye on Jenerali Ulimwengu on Monday

Mwanzo- mwisho hakuna chochote cha maana walichojibu, Si Nape wala J. Makamba.
 
Kutokana na majibu mepesi na ya mzaha na hali ilivyo kwenye chama letu kwongwe ni sawa na mgonjwa wa kansa kumpa panadol kuwa apone. Eti ccm wanapambana na rushwa nani ameshawahi kufungwa kwa rushwa?
 
Naona Nape anatoka povu tu,nadhani amekuja kwenye huo mjadala bila kujiandaa na hajui anachokiongea,hajajibu swali hata moja.huyu kijana nimemuondolea hata heshima kidogo niliyoukwa nayo kwake. Anadai ccm hii haiwezi kuwa sawa na ya mwalimu.!!!

Nape kilaza swali lilivyoulizwa yeye kajibu tofati, muuliza swali alimaanisha chama kimepoteza maadili yake na si chama cha wakulima na wafanyakazi badala yake ni chama cha mafisadi, haya najua nape huwa upo humu jibu nimekutafunia!
 
Nawashauri ccm waangalie uwezo wa nape kwenye hiyo nafasi amepwaya sana!anadhani hii ni tz ya mwaka 47 watu wapo vijijini ila wana data za kila siku ccm inavyowaibia.
 
nimesikia kutoka kwa rafiki kuwa january makamba kiongozi mzalendo aliyeko ccm na vuvuzela la ccm nape nnauye watakuwa kwenye kipindi cha generali on monday leo tarehe 21/05/2012 saa 2.30 usiku. Na watazungumzia mambo yaliyotokea kwenye vikao vya ccm dodoma hivi karibuni na mstakabali wa ccm.

My take.
Nini future ya ccm mikononi mwa hizi damu changa? Watafanikiwa kuvadili huu upepo mbaya kwa chama chao?
Stay tuned!
makamba hana uzalendo wowote..yeye mwenyewe anakumbuka alivyomwaga fedha kule bumbuli,,takukuru waliarifiwa ila hawakutia miguu kabisa,,,,abishe
 
Ktk kipindi cha chaneli ten on monday,ambapo wageni walikuwa nape na januari wamepata wakati mgum ktk kujibu maswali ya jenerali ulimwengu kwakweli kama vijana wenzetu nape na makamba nawaomba kufanya maamuzi magum kuepukana na chama hicho maana hapo kilipofikia hakiwezi kubadilika zaidi ya kupotea ktk medani za siasa.nawaomba mda uliobaki ni mdogo wa kufanya mabadiliko karibu ktk m4c now tuwaache wazee huko mimi nimeshaanza m4c.
 
Nawashauri ccm waangalie uwezo wa nape kwenye hiyo nafasi amepwaya sana!anadhani hii ni tz ya mwaka 47 watu wapo vijijini ila wana data za kila siku ccm inavyowaibia.

ndugu yangu marire tatizo si nape ila ni chama lake limeooza hata umuweke obama au bush kwenye hio nafasi hawezi fanya kitu...hebu fikiri jk ni mwenyekiti wa kikao na chama pia ni rais halafu wanakaa kama chama wanatoa muongozo kwa serikali yao si ni vichekesho?

Na mimi nilipata nafasi ya kuwasikiliza.Ilikuwa upuuzi mtupu.Ninalotaka kuwaambia CCM ni kwamba, watanzania tunaona ujinga wao,na tunaakili ya kuweza kutenganisha chuya na mchele.Tunawasubiri 2015.

Back
Top Bottom