nitakupa tiket ya kwenda seluu almost $190 hivi
ha ha ha hah! hawakuwez tania wagogo weye, haya mpya nitajie kwanza ninaye mfeel humu jamvini. niko nachungulia kwa opo nakusubiri.
bado nasoma comments za watu sijafika mwisho bado, naomba uturahisishie kidogo kwa ku-define gender tu manake nina watu watatu nawahisi lakini gender tofouti, so.......
aiyaa sasa nikikupa genda si nimekupa jibu? haya basi ni me
safi sana umenisaidia kuondoa mmoja, sasa nimebaki na 2 kichwani, ngoja niangalie profiles zao vizuri kisha niibue mmoja, ila naogopa kukosa, lol!
usikonde bana kukosa na kupata hakukubadilish hekima yako kaka. vp lkn bado uko fungateni?