jamani nisaideni hapa ...

My dada gfsonwin kweli huyu mtu kakudatisha..lol!
Umesema nikikutajia utanipa zawadi ya nini vile?...
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe mie naogopa kuchema :):) ila funguka akuelewe labda naye pia anaumia roho kimya kimya.

Last edited by a moderator:
ha ha ha hah! hawakuwez tania wagogo weye, haya mpya nitajie kwanza ninaye mfeel humu jamvini. niko nachungulia kwa opo nakusubiri.

bado nasoma comments za watu sijafika mwisho bado, naomba uturahisishie kidogo kwa ku-define gender tu manake nina watu watatu nawahisi lakini gender tofouti, so.......
 
bado nasoma comments za watu sijafika mwisho bado, naomba uturahisishie kidogo kwa ku-define gender tu manake nina watu watatu nawahisi lakini gender tofouti, so.......

aiyaa sasa nikikupa genda si nimekupa jibu? haya basi ni me
 
aiyaa sasa nikikupa genda si nimekupa jibu? haya basi ni me

safi sana umenisaidia kuondoa mmoja, sasa nimebaki na 2 kichwani, ngoja niangalie profiles zao vizuri kisha niibue mmoja, ila naogopa kukosa, lol!
 
safi sana umenisaidia kuondoa mmoja, sasa nimebaki na 2 kichwani, ngoja niangalie profiles zao vizuri kisha niibue mmoja, ila naogopa kukosa, lol!

usikonde bana kukosa na kupata hakukubadilish hekima yako kaka. vp lkn bado uko fungateni?
 
Hehehehe mie naogopa kuchema :):) ila funguka akuelewe labda naye pia anaumia roho kimya kimya.

BAK miye nimesema mtaje ukipatia unapata zawadi lol! hiyo ya kumwambia labdanisha mwambia atii.
 
Last edited by a moderator:
sista gfsonwin umeingia mitini kwavile nimepatia? najua unakimbia kunipa hiyo ticket ya seluu
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom