Jamani, hapa ndipo tulipo fikia?

chillo clan conscious

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
852
1,559
Salamu humu ndani.

Ikiwa mida ya asubuhi sana kati ya saa 10 au 11 alfajiri hii ya tar ya leo, nipo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mia mbili mia tatu ambazo zinanisaidia kutatua changamoto zangu za tofauti tofauti za kimaisha.

Nilikuwa mitaa flani hivi ya mbezi beach nikapaki kausafiri kangu pembeni ya bar maarufu mitaa hii ya mbezi chini.

Nikiwa kwenye kausafiri kangu nasikiliza mziki unaotokea kwenye hiyo bar huku kwenye simu yangu mara nicheze game la draft(hii hunisaidia zaidi kupunguza matumizi ya bando hivi) na pia likinichosha narudi humu JF kusoma habari tofauti tofauti ndipo nikasikia sauti za yowe (mtu kuhitaji msaada) "uwiiiiiiiiih niachieniiiiii, mtaniuaaaaaah, niachieni niondoke nyumbani, sirudiiiiiiiiiiiii tena".

Sauti hiyo ilisikika mara kwa mara.
Basi kwa kuwa pale walikuwa wamesimama kati kati ya barabara ya vumbi ambayo ndo inatumika kwa kupita ama kutaka kupata maegesho ikabidi wahame wakaja karibu na nilipo egesha chombo changu cha kazi.

Kwa haraka lile kundi lilikuwa na watu zaidi ya 10 mpaka 20 hivi, niliwaona watu tofauti tofauti wakiwemo walinzi wa eneo lile, dereva wa boda boda, bajaji na mashahidi wengine ambao kwa wakati huo sikujua wanafanya shughuri gani.

Nifupishe Soga. Baada ya kukaa pembeni na kumzingira mshutumiwa huku mshutumiwa huyo akilalama ya kuwa kumzingira kwake anakosa hewa ya kutosha pia kulalama ya kuwa kamba alizofungwa mikononi kwa kupitia mgongoni zinamuumiza anaomba afunguliwe kwa wakati ule ombi lake halikuwa si ombi mbele ya masikio ya kijana mmoja ambae aliekuwa ana mtuhumu.

Niweke wazi sasa mshutumiwa huyo ni mwanamke ni kwa muonekano wa kimavazi na vile alivyochoshwa na pombe pamoja na maelezo yake ya kudaiwa ni wazi shughuri yake ni UKAHABA.

Baada ya kuanza kuhojiwa huyo dada mwanzoni alikuwa ana lalama ya kuwa hajaiba na hajafanya hilo kosa, ndipo nilipo sikia sauti ya kiume ikilalama ya kuwa anataka pesa yake elfu kumi (10,000)/= ama apewe huduma anayotaka pia arudishiwe chenji yake ambayo ni elfu tatu(3,000).

Maneno ya mtoaji hela (mtaka huduma) akiongea mbele ya kundi sasa la watu ambao kwa wakati huo wamefika kama 20 vijana na watu wazima wachache.

"Umesikia mimi nimefika hapa na Tsh elfu kumi nikaongea na mal....ya wakanikataa kut.....mana nao kwa gharama ya elfu kumi, ndipo nikamuone mal....ya huyu nikakubaliana nae nika mto......be kwa gharama ya buku 7, sasa nimempa hela yangu na anakataa nisi mto.....be me natafuta hela yangu kwa tabu sana nakamaa usiku kucha alafu anachukua hela yangu kirahisi kama hivi ,hapa anipe hela yangu yote au nika mto.....be kisha anipe chenji yangu.

Maelezo ya yule mtoa huduma ni kuwa anataka wote wapelekwe polisi ili.

Baada ya kusikia maelezo wakati huo bado sikutoka kwenye kausafiri kangu nikajiuliza ina maana dunia sasa ndo imefikia hapa, jana hapa nilisoma uzi mmoja hivi mtu akielezea maana halisi ya NY.....GE kama nakumbuka vizuri moja ya jibu ambalo kwa sasa naona ni maana halisi kwa viumbe hai hasa binadam ni kwamba "NY.....GE ni ile hali ya mtu kuwa na hamu kupitiliza mfano wa kutokwa na akili"(kama sijalinukuu vizuri basi jibu ni mfanano na hayo maelezo hapo),ndio maana muda mwengine baada ya kutekeleza tendo hilo mtu kwanza hujishangaa mwenyewe na kujuta "heeee hivi ni mimi,mbona nimefanya kitendo cha kijinga sana".

ANGALIZO
Jamani ndugu zanguni hasa sisi vijana wa kiume basi tuwe makini sana na hizi hisia zetu zinaweza kutupeleka pabaya sana, kuna ndugu zetu wengi sana wameshakufa, wamepata magonjwa pamoja na kufungwa kutokana na ngono zembe, embu fikiria mtu anae dai hela yake kweli kadhulumiwa ila sio kwa kudai kule.

Hiki kichwa cha chini kisitupeleke mbio kiasi hiki.
 
Nyeee mbaya sana zisikie kwa mwenzio tu....
 
Mkuu ungeenda mtolea iyo 10,000 ukamsaidia na namna ya kumfikisha kwake either apatiwe bajaji or pikipiki.

Sema nini muuza uchi ni muuza uchi tuu
 
Back
Top Bottom