Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Mikataba ya uhuru unaijuwa?vitu vingine huwezi kuvijua vingi havitokei kwa bahati mbaya
 
Hayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?
Hao watu wa wamakanisa hawajaomba kwa serikali,wageomba pia wangepewa eneo.
Na pia wakristo ibada zao ziko tofauti na waislamu,waislamu unaweza ukajenga msikiti mmoja,waislamu wa madhehebu yote wakaswali humo,kwa sababu ibada ziko aina moja.Waislamu hawatofautiani kwenye ibada.
Lakini fikiria wakristo kila kanisa lina ibada tofauti,kuna wanaolia,wanaimba,wanaopiga magoti,wanaocheza mziki,wanaofunga macho ,wanaobudu sanamu,kuna wasiobudu sanamu,kuna mqshahidi wa Yehova,kuna wasabato,nk.Sasa hawa wote kila mmoja umjengee kanisa lake,eneo lote si litakuwa limemalizika kwa makanisa.
 
Povu jingi akili kisoda. Umeambiwa kujenga kwenye maeneo ya umma au serikali. Unaelewa maana yake? Hajazungumzia misikiti mingi au michache. Wewe vipi?
Nchi hii kuna ardhi mali ya mtu binafsi? Wapi huko?
 
umejibu vizuri lakini wakati mwingine jaribu kuepuka kumjibu mtu kwa kumdhalilisha na hasa linapokuja swala la imani maneno kama (huna akili,mpumbavu,mjinga) yanaweza kusababisha ujumbe wako kwake usifike mweleze kwa unyenyekevu kwa kuwa anahitaji kujifunza pia.
Nimemuuliza hana akili?
 
Hayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?
Hao watu wa wamakanisa hawajaomba kwa serikali,wageomba pia wangepewa eneo.
Na pia wakristo ibada zao ziko tofauti na waislamu,waislamu unaweza ukajenga msikiti mmoja,waislamu wa madhehebu yote wakaswali humo,kwa sababu ibada ziko aina moja.Waislamu hawatofautiani kwenye ibada
It about jealous and nothing else

Lakini fikiria wakristo kila kanisa lina ibada tofauti,kuna wanaolia,wanaimba,wanaopiga magoti,wanaocheza mziki,wanaofunga macho ,wanaobudu sanamu,kuna wasiobudu sanamu,kuna mqshahidi wa Yehova,kuna wasabato,nk.Sasa hawa wote kila mmoja umjengee kanisa lake,eneo lote si litakuwa limemalizika kwa makanisa.
 
Nyie watu mna roho mbaya sana na mnatamani muitangaze nchi ni ya dini yenu na nyingine zote marufuku sema mnashindwa,huko serikalini si mmejazana sasa mnashindwa nini kujenga za kwenu pia, si mnaona wenzenu wanafaidi!
Mimi mkristo kuongezeka kwa hiyo misikiti naona ni jema ni uelewa tu wa mtoa mada kutokujua umuhimu na mchango wa hizo nyumba za ibada
 
Serikali inajenga misikiti au imetoa kibali ijengwe??
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
 
Wafuasi wa mudy hutulizwa kwa misikiti tu.
Waislamu ukijenga msikiti mmoja,madhehebu yote yataswali humo,kwasababu ibada zao ni moja.
Kwa wakristo ibada ziko tofauti,wako wanaabudu sanamu,wapo wasioabudu sanamu,wapo wanaopiga kwaya,wapo wanaopiga vinanda,wapo wasiopiga vinanda,wapo wanaolia,wapo wanapiga magoti,wapo wanaocheza mziki nk.
Utajenga makanisa mangapi,katika eneo dogo,na bado viongozi wanatakiwa walipwe mishahara,ajira ya kuongoza ibada.Katika uislamu muumini yoyote,akiwa kasoma madrasa,anaweza kuingoza ibada,bila kuajiriwa wala kulipwa.
Wakristo pia kuzikana ni tofauti,huwezi kuzikwa kwenye madhebu sio yako.
Kuna jirani yangu,alifiwa na mwanawe,na makaburi yapo karibu na hapo,alaniambia wanakwenda zika sehemu ambayo ni mbali na hapo,nikamuuliza kwa nini,akasema yeye sio madhehebu hao,haruhusiwi kuzika hapo,nikashangaa sana.
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Duh!! Mbona sio jambo baya,..
 
Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.

Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.

DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Kwa dar no
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Ushamba unakusumbua huo msikiti wa fali leo ndio umeona na kuleta huku ushamba wako waulize wenyeji huo msikiti uko hapo tangu mwaka gani?kwatalifa yako kuanzia fali mpaka eneo lote la ikulu Magogoni lilikuwa eneo la msikiti kalaga bao na ushamba wako
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Yaani serikali ya Tanzania siku hizi ina dini, basi kama ni hivyo tutaona rangi zote
 
Back
Top Bottom