Mkuu Mbu, umesema point kubwa sana. Mimi ningemuunga mkono Mrs Mtaba na uamuzi wake wa kutafuta njemba wa nje kama angekuwa hajaamua kumsamehe Mumewe. Kwa maoni yangu neno "Nimekusamehe" lina uzito mkubwa sana kumtamkia mtu aliyekuomba samahani kwa makosa yake. Sasa unapomtamkia nimekusamehe halafu ukaenda kufanya mambo ili kutoa ngoma draw hili mimi naliona lina walakini mkubwa. Labda neno "nimekusamehe" limeshapoteza uzito wake katika jamii yetu. Mtu anakwambia nimekusamehe lakini bado ana kinyongo na anaamua kwenda kulipiza kisasi. Naam usijiweke mtu kati kwenye kukataa samahani hauko kwenye kukubali samahani hauko.
Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Hii ni short term solution. Kila ndoa ina matatizo yake na mi mtazamo wangu ili mtu uwe na amani basi lazima ndoa yako iwe na amani pia. Kulikoni kukimbilia kutafuta boyfriend ambaye hujasema terms za uhusiano wako naye, ingekuwa vema kujaribu kudadisi ni kwanini mmeo ameamua kurudi nyuma baada ya kuaga na kukuoa. Duuh, hizi ndoa bwana, sasa kama kila mtu anaanza kwa boy/girl friend huyo mtoto mtamtafuta saa ngapi?Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.
Nahisi hii post imewekwa kwa utani au kutafuta mawazo ya watu incase hili tatizo likimtokea afanyeje.

We mwanamke mwenzangu aliyekudanganya kuwa matatizo ya ndoa hutatuliwa kwa kulipiza visasi nani?. Hivi unafikiri hata ukijakamatwa ukijitetea kuwa umesukumwa na vitendo vya mumeo utaeleweka? Mke mwenye busara katu asingefanya hayo zaidi ya kumwita mr na kumwuliza wazi huku ukimtolea ushahidi wako! Asipokusikiza mwone mjinga amua hatima ya maisha yako lakini katu si kumlipizia kwa kumtafuta boyfriend hapa nyite mnaonekana kama wajinga!! Pole.
Nitakupa mfano mimi wangu nilidiscover kama yako na nikachunguza na kukusanya ushahidi wa kutosha kisha nikamkalisha chini na kumweleza A to Z na kwa kuwa hakutegemea kuwa ningejua na mbaya zaidi nilijua zamani sana akabaki anashangaa nimewezaje kupretend kuwa sijui na maisha yakawa yanaendelea? Nilipohakikisha nimempa feedback ya uchunguzi wangu sikutaka ajitetee wala nini kwa sababu angenishinda (yeye amejaliwa kuongea sana) so nikampa uamuzi either he leave for that lady or I leave for the lady. Akasua sua siku za kwanza akidhani natania hadi aliponikuta siku moja nimefunga vyangu na mwanangu mabegi mlangoni ndo akavoluntia kuondoka yeye. Sasa yuko kwa mamake.
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
ni jana tu nilitoka nilitoa mfano wa ma best frnd nae alifanya kama mrs alivyofanya, mwanzo wa thread nikafikiri ni yeye lakini sio, mie cmlaumu mrs kwa maamuzi aliyoyachukua hiyo kwake yeye ndio inampa unafuu na yupo happy kama anavyosema, amejichokea akaona maamuzi ya kuchukua ndio hayo,mtu alielezea ishu yake ya ndoa mtu mwngine anaweza iona cmple na akampa ushauri huu na ule, lakini mwenzie ameshajichokea, ishu ya kusema aombe talaka mana hamfanyi vizuri kwa mumewe kwani huyo mumewe amefanya vizuri kwake? mkiwa mnatoka nje ya ndoa zenu mjue madhara ni makubwa donge mnalotuwekea rohoni ni kubwa sana, mie naheshimu maamuzi ya yoyote anayoweza kuyachukua kutokana na kuteseka/kuchoshwa na ndoa yake na kusema huyo mume akija jua ndio itakuwa mbaya zaidi mjue na mtu mpaka amefikia kuchukua uamuzi huo bac kaona kama mbaya mbaya tu... hapa nipo 50-50 mana na mie yakinikuta cjajua nitachukua uamuzi gani.[/QUOTE]
nyamayao eeh nyamayao eeh hapa umeniacha natafakari
imekula kwako mama!!huyu jamaa aliamua kukupa hiyo stori baada ya wewe kuanza kumueleza ya kwako ili kukunasa vizuri! una uhakika gani kuwa naye alimdaka mkewe akimegwa nje?? mbinu tu hizo mama za kukunasa, wewe sema tu ulikutana na mzinzi mwenzio...Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.
ni jana tu nilitoka nilitoa mfano wa ma best frnd nae alifanya kama mrs alivyofanya, mwanzo wa thread nikafikiri ni yeye lakini sio, mie cmlaumu mrs kwa maamuzi aliyoyachukua hiyo kwake yeye ndio inampa unafuu na yupo happy kama anavyosema, amejichokea akaona maamuzi ya kuchukua ndio hayo,mtu alielezea ishu yake ya ndoa mtu mwngine anaweza iona cmple na akampa ushauri huu na ule, lakini mwenzie ameshajichokea, ishu ya kusema aombe talaka mana hamfanyi vizuri kwa mumewe kwani huyo mumewe amefanya vizuri kwake? mkiwa mnatoka nje ya ndoa zenu mjue madhara ni makubwa donge mnalotuwekea rohoni ni kubwa sana, mie naheshimu maamuzi ya yoyote anayoweza kuyachukua kutokana na kuteseka/kuchoshwa na ndoa yake na kusema huyo mume akija jua ndio itakuwa mbaya zaidi mjue na mtu mpaka amefikia kuchukua uamuzi huo bac kaona kama mbaya mbaya tu... hapa nipo 50-50 mana na mie yakinikuta cjajua nitachukua uamuzi gani.[/QUOTE]
nyamayao eeh nyamayao eeh hapa umeniacha natafakari
nikusaidie kukutoa kwenye tafakari, cjui nitafanyaje mana wakati ndio utasema, ucjeenda kwamba nitafanya kama mrs hapana kwangu mie hiyo njia c dhabiti.