Imenibidi...

Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
...Una-balance nini sasa?? Mizania ya wapi hiyo..Unadhani unamkomoa huyo Mr. wako? Na huyo jamaa uliyeamua akumege ujue mwisho wenu hautakuwa mzuri!!! nakuhakikishia hilo na utakuja ku-confess hapa hapa ulipotaka ushauri!!!!
 
Mrs Mtaba wewe usifanye mambo kaka mtoto mdogo. Hivi kwelii unajisikije umemegwa nje ya ndoa unakuja kiunafiki kwa mumeo bila hata aibu.

Nafikiri una kasoro fulani hivi ambazo hata huyo anayekumega wa nje atakufurumua soon, keep your marriage live, kama ameenda nje mwache aende yeye wewe ukienda ni hutaeleweka naonekana kahaba tu.

I dont like your statements eti naona raha kumegwa nje? Angalia inawezekana kumegwa kwako hovyo hovyo kunakusababisha kutokupata watoto, na Mwenyezi Mungu anaangalia kama akikupa watotot ukaawacha ndani kwenda kumegwa nje wa nini. Utaishia ugumba we endelea na upumbavu wako huo.

Hovyo kabisa!
 
...Una-balance nini sasa?? Mizania ya wapi hiyo..Unadhani unamkomoa huyo Mr. wako? Na huyo jamaa uliyeamua akumege ujue mwisho wenu hautakuwa mzuri!!! nakuhakikishia hilo na utakuja ku-confess hapa hapa ulipotaka ushauri!!!!

Haijawahu kutokea hata siku moja penzi la wizi likaisha vizuri!!!!
 
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.

Mrs Mtaba are you okay??
 
Huyu maza mapepe tokea long time, alikuwa na vi-articles vyake hapa jamvini siku za nyuma kuhusiana na udhaifu wa mume wake, hana jipya. Mrs. Mtaba nakutakia Ukimwi mwema. Godamn it
 
wEWE sHAPU WEWE!
WHAT makes you think men are supreme and superior kiasi cha kufikiria wao wanahaki ya kucheza na mioyo ya wake zao? Mwosha kuna siku anaoshwa kama hivi alivyoosha Mrs Mtaba.

I like the underlined part!

My God!!! Kama hii ndiyo spirit yako, basi nimepoteza sana respect kwako!!! Kumbuka

  • two wrongs wont make it right
  • revenge is evil
  • kuosha/kuoshwa ni spirit ya waliokosa dhamira katika maisha
  • Na kama kweli waamini dhana hiyo, basi disclose kwa mwenzako basi muendeleze libeneke
  • hii dhana inaendeleza disharmony bila kushabikia separation.. so hurting kwa kwenda mbele
Nimesikitishwa sana hasa kwa kuzingatia uko mbele sana kwenye mambo ya jamii

ANyway haya ni maoni yangu tu!!!
 
Aaaa,nashindwa sijui niseme nini nimesoma michango ya watu from pg1 up to 13,kazi ipo,jamani huyu mama alikua na hizi tabia hata kabla ya kuingia kwenye ndoa,hakuna tabia mpya inayozaliwa ndani ya ndoa,hakua mwaminifu kabla ya ndoa na ndo anayoyaendeleza,kwanza wewe ni dini gani? maana tunaaswa na viongozi wetu wa dini kwa habari ya kusamehe wenzetu,sasa kama wewe mr alikuomba msamaha kwa nini ulilipiza? na inavyoonekana wewe si mwadilifu kabisa.nimeshangaa sana unavyojibu,kama kweli wewe ni mwanamke unatudhalilisha wanawake wenzako walioko hapa,yaani kwa jinsi tu unavyotoa maelezo yako na watu kama nyie ndo mnasababisha watu wengine wakate tamaa ya kuingia kwenye ndoa.

Wewe mama wewe hivi ulimpenda huyo mume wako kwa dhati kabla ya kuoana? au kulikua na shinikizo katika uhusiano wenu? napata hisia wewe ndo ulim-convince kaka wa watu akuoe ili uendeleze tabia zako chafu ukiwa mrs, looo nakupa pole zako.
 
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
 
Haa, jamani we mama wewe mbona unajichanganya sana? Anyway am out naona sikuwezi
 
Niliwaeleza tangu awali huyu mama/baba anatka attention au kuna jambo anatenda so amekuja kuprovoke ili yakimsibu ajue namna ya kujikimu...kama kweli ni mwanamke na ameolewa naomba MODE muweke kitufe cha POLE kila mumewe akichangia mada na gonga POLE siajabu akawa anampiga
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

We mama/dada/ hivi do u still have some sense in your thick skull???yani unaona kwenda nje ya ndoa yako ndo suluhu ya shida yako?? na sasa kama ulienda nje kwa nini umerudi JF kuomba ushauri/kueleza? ulitaka nini hasa from JF kwa sababu inaonekana wazi u handled your problem very well to the extent of cheating on your husband eti unalipiza kisasi......lol thats absurd jamani. mnatufundisha nini ambao hatujakuwa kwenye ndoa bado??am sooooo disappointed in you and all those women ambao wanafanya same thing kwa sababu waume zao wanalala nje ya ndoa!!!!
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Sasa wewe unahisi kuna kitu umebalance hapa?kama mnataka kubalance subirini kuleteana ngoma nyumbani,umefanya ujinga wa mwaka na yeyote atakaye kutetea ni mjinga mwenzako,lazima kuna mapungufu mumeo kayaona kwako,ulikuwa unatakiwa ujitahidi yafahamu na kurekebisha,kwa mtindo uliofanya hautokusaidia tena ndio unaweza hatarisha ndoa yako kabisa,na ukiachwa amini usiamini na huyo jamaa atakuacha,hapa mmeonyesha jinsi gani mafahali wawili mmeishi kimakosa kwenye hilo zizi!!!https://jamii.app/JFUserGuide marriages and its fellows!!!
 
Ni kweli kabisa huwa wakati mwingine kwenye ndoa kunazuka tafrani ambazo zinaweza zikakupumbaza ukadhani kwamba nje ya ndoa unaweza kupata amani...lakini ni kuzidisha matatizo na risks nyiingi sana za hatari.Zaidi sana ni kujitia hasara za kifedha.Suluhu iliyo bora kabisa iko pale chumbani kwenu...Fikiria mara ya pili.
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

Sio pendekezo langu, nimisukumo ya hapa na pale. Life is short everyone needs to enjoy it.

Yes,it is.And by doing that you are potentially making it even shorter.Watch out,woman!

Think a bit about this:Mumeo anamega girlfriend wake wa zamani(most likely huyu girlfriend anaye wake pia maana mumeo si alimamua kuoa na kumuacha?).Wewe unamegwa na mume wa mtu ambaye mkewe anamegwa nje pia(na mume/boyfriend wa mtu?).Do you see the chain mamii?

At the end of the day uamuzi ni wako:kuishi au kufa taratibu!
 
Inasikitisha sana, sasa mkikutana jioni kila mmoja katoka kumega/kumegwa nje mnakaa mezani mnaongea au ?

Maisha ya ndoa sio kushindana, i.e sio kipimo cha maovu/makosa akufanyiayo mwenzako nawe ulipize kisasi...hutakuwa haujengi,unabomoa.

Kama kweli imekutoka moyoni kumsamehe,achana na huyo wa nje uliyenae..madhara ya mahusiano nje ya ndoa: Kipato;Mapenzi kupungua kwa mwezi wako; Kutofanikiwa (b'se Mungu hutujalia kwa yaliyo ya haki); Ugomvi usioisha bila sababu; Watoto kukosa mapenzi ya wazazi; Dhambi so utaenda motoni; Uume/Uke zote duniani ZAFANANA; Kuishi kwa wasiwasi; Ndoa kuvunjika (ni rahisi mwanamke kusamehe kuliko mwanaume); n.k

Plse, achana na mahusiano ya nje kwani hata mwili wako utakuwa hauutendei haki
 
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.

Na mm naomba chance nimege siku moja ukimega mara mbili sio mbaya si unakuwa kama umeteleza hata Mungu anasemehe kwa n'tu alie teleza Mrs Mtaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom